Je, hii ni Mikataba ya Kimangungo katika jina la Uwekezaji?

huyo mwenyewe anaambiwa ata anajali sasa.
 
Sioni sababu ya Moderator kuumerge uzi wangu kwenyi hii title..
Wapumbavu nyinyi...
 
Unaniamulia cha kuandika!?
Hii ni lugha. Uandishi unamfanya msomaji aone ulichomaanisha pasipo kukisema. Si lazima kusema nimeidharau Korea ndipo msomaji aelewe. Na hiyo ndiyo sanaa ya lugha.
 
Hii ni lugha. Uandishi unamfanya msomaji aone ulichomaanisha pasipo kukisema. Si lazima kusema nimeidharau Korea ndipo msomaji aelewe. Na hiyo ndiyo sanaa ya lugha.
You are stupid.
 
Hii comment ilifaa iwe uzi kamili.
 
Cha ajabu Kasi ya kuingia mikataba mibovu kama hiyo imeongezeka sana Tanganyika ila zenjibar hakuna!
 
Bora hata hiyo no 8 ina afadhali...
Kuanzia Bunge na Serikali wameshindwa kabisa kutunga sera nzuri kwa ajili ya kuwekeza kwa vijana.Kuna vijana wamesoma kilimo,teknolojia,ufundi,uvuvi,misitu.Hawa wote wanahitaji wawezeshwe kwenye uwekezaji na uzalishaji ili wasihangaike kupanga foleni za kuomba ajira.Pia kama tungekuwa na sera nzuri za kuwekeza kwenye sanaa na michezo tungeondokana na wimbi la vijana kutafuta ajira za maofisini..
Kwa mfano kuna Benki ya Maendeleo ya Kilimo lakini hata haileweki na haiwekezi kwa vijana ili kuinua sekta ya kilimo kwani tunahitaji vijana wngi wawe wazalishaji na sio wachuuzi.
Jambo la mwisho Serikali irudishe Benki ya Nyumba,sijui kwa nini Benki hii waliiua.
 
Hawa weupe wametajirika sana Kwa mali zetu,wameiba sana mali zetu na kuwafanya Babu zetu watumwa,dawa ni kuwakopa na kutowalipa tuh.
Yaani unywe pombe za Mmarekani halafu wakati wakuondoka nae ukifika ugome? Huna uwezo huo.
 
Hatupingi uwekezaji lakini mbona mikataba yote ni Siri kubwa ??


Sisi wananchi wa Tanganyika hatujui tunapata Nini?

Wabunge Wetu na bunge letu haruhusiwi kuona kilichomo kwenye mikataba hiyo

Kama uwekezaji una faida kwa mchi mbona Dola imeadimika na shilingi yetu inaxidi kuporomoka?

Kama uwekezaji una faida kwa nchi mbona mwigulu na mama yake Kila siku wanasaini mikataba ya mikopo ili kufidia nakisi ya bajeti

Kama uwekezaji una faida mbona uchumi Wetu unazidi kuporomoka na Hali zetu zinakuwa mbaya kuliko Hata kabla ya kuwekeza

Sheria inawataka hao wawekezaji kujisajiri DSM stock exchange je wametmiza matakwa ya Sheria?
 
"katika jamii ambayo watu werevu hawataki kifundisha vijana, basi watoto wao watakuja kufundiswa na wapumbavu"

DANGANYIKA sisi tunayataka wenyewe, haya ni mavuno walichopanda wazazi wetu, nasi tujue kabisa wanetu watakuta hali mbaya zaidi ya hii, ni sababu tu tumeamua kuukalia kimya huu upumbavu kwa wimbo wa amani idumu, hakuna amani ya kweli kama wengine wanabonjoa na kuuza DANGANYIKA.
 
Ipo siku tutajua hatujui, na sisi pia ni watumwa, naomba professor mmoja aandike kitabu cha utumwa wa kiuchumi
Kuna kitabu aliandika prof. Sith chachage" makuwadi wa soko huria"
Hakudumu sana huyu bwana alikifa sijui ni kifo Cha kawaida au??
 
Mkuu wakishamaliza kuuza Kila kitu na nchi ikabaki bila vyanzo vya mapato eti ndo wataachia wapinzani waangaike nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…