Je, hii ni Mikataba ya Kimangungo katika jina la Uwekezaji?

Siku hizi kila nikilala nikiamka naskia katoa bandari, mara tena katoa misitu, katoa madini, katoa na bahari, hizi ni tabia za mwanamke asiyejitambua anayetuonesha kwa vitendo kabisa enzi za ujana wake alikuwa na tabia za aina gani.
Alikuwa anatoa sana kipochi
 
Ukiona mtu anakimbilia matusi badala ya hoja, ujuwe umemzidi maarifa. Usimrudishie matusi ... people might not distinguish the difference
Mwiba hutokea ulipoingilia Mkuu..
 
Mwiba hutokea ulipoingilia Mkuu..
Nionyeshe mahali nilipokutukana zaidi ya kukutaka utumie ubongo wako kutafuta taarifa kwenye internet, of which ni positive gesture
 
Nionyeshe mahali nilipokutukana zaidi ya kukutaka utumie ubongo wako kutafuta taarifa kwenye internet, of which ni positive gesture
Kwahiyo natumia ubongo wa bata sio!!!?
Not every abuse/insult is posed directly.
 
Hatari sana
 
Kwahiyo natumia ubongo wa bata sio!!!?
Not every abuse/insult is posed directly.
Kwa vile niliona unashngaa Tanzania kukopa kwa nchi ya South Korea. Niliona UMEIDODOSHA sana South Korea kwa sentensi hii hapa:
"Only...Only.. to put a signature in a paper..
KOREA!? WHAT DO THEY HAVE TO GIVE!? TO US"

Nikadhani HUIJUI SOUTH KOREA, na kukushauri kutumia Internet kuifahamu vizuri
 

Experiments za uongozi hazina tija kama wanaozifanya hawana uwezo. Tunabaki kushangaa tu
 
Sasa kama kwenye hizo ziara zake za kusaini mikataba yupo na wasanii na mr Rosti Tamu tutarajie nini
Kiongozi wa nchi anatakiwa aambatane na watu wenye akili kubwa kwenye masuala y uwekezaji na si chawa.
 
Jamani situmekubaliana anaupiga mwingi? maaneeneer na bado atauza hadi mlima Kilimanjaro ataacha tu Zanzibar kwakuwa kule ni kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…