Je, hii ni nchi au familia?

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wale wote wanaolalamikia Mikataba mibovu baina ya Serikali ya Tanzania na makapuni Ni hivi Mkataba wa Muungano ndio Mkataba mbovu kuliko Mikataba yote Tanzania ni kauli ya Makoma wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar mhe Othman Masoud Othman aloitoa jana mkwajuni kaskazini unguja
 
Lini tunaupitia na huo mkataba wa Muungano?
 
Money talk louder than words

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba kati ya ccm na dp world haueleweki wao wenyewe waliousaini hawa uelewi.Chanzo cha mkataba huu mbovu wa dp world ni mkataba wa Muungano,huu ndio mzigo wa mwiba unaotutesa hivi sasa
 
HESHIMA SANA, mkuu 'CWR2016'.

Umeyapangilia yote vizuri kabisa kwa kila mtu mwenye akili kuyaelewa vizuri.

Hili tukio litakuwa funzo muhimu sana kwa nchi yetu kuonyesha hatua mbovu kabisa tulikofika kama taifa.

Kama hatutaweza kujifunza lolote kutokana na ujuha huu, tutakuwa kamwe hatuna uwezo wa kujifunza lolote.
 
Huyo Mswahili Mzanzibari Hamza Johari ana cheo chake Serikalini ambacho kina mipaka yake kama Mkuu wa Mamlaka ya Anga ya JMT, lakini kumbe muda wote alikuwa anafanya kazi za mkuu wa TPA sambamba na wajibu wa cheo chake kama Mkuu wa Mamlaka ya Anga. Huo wadhifa extra wa ku negotiate na DP World ambao hakustahili alipewa na nani kama siyo Rais Samia?
 
Asante.
Kama Taifa, tusingetarajia kitu kama hiki.
Sio tu kukosa umakini, lakini ni aibu, na bado hao hao wanazidi kusimamia msimamo kwenye makosa hayo hayo makubwa. Unashangaa ni nini kipo hapo nyuma.
 
CCM inanuka haitufai na chadema na demokrasia yao tukiipa nafasi watapitisha LGBT mchana kweupe... tunahitaji chama kipya kabisa cha vijana tukafanye mabadiliko tunayoyataka na wanayoyataka baba na mama zetu katika nchi hii bila uoga wowote
 
Helo
 

Attachments

  • 3CEAECD4-6126-4F44-AB31-6C11807F7171.jpeg
    34.6 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…