Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Kuliko CCM ni kheri fuko la mavi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha ya malikia imekupiga chenga.Mtafute mtu akutafsirie.Moja kwa moja kwenye mada,
Kwa jinsi mambo yanavyoenda, najiuliza kweli hii tuliyomo ni "level" ya nchi kweli?
Au ni familia ya mtu kaamua ajinywee pombe zake na kuamua chochote?
Hebu tazama mifano michache hapa chini:-
View attachment 2690497View attachment 2690500View attachment 2690504
Hebu soma mtiririko hapo juu,
Je, sisi wananchi ni "majuha"?!
Au hii nchi ni kama familia ya mtu, anaamua tu kusema lolote hata kama sio kweli?!
Tuendelee hapa chini..
View attachment 2690506View attachment 2690508View attachment 2690509
Hebu soma tena mtiririko hapo juu,
Huyu ni Naibu Waziri, hapo alichokuwa anazungumza kipo wapi, kilichoandikwa kinaonekana kabisa, kuanzia 'heading' ya mkataba, hadi Appendix 1, phase2.
Nauliza hawa watu, are they jokers?! Is this a country really or just someone's family?!
Sisi ni "majuha?"
Tuendelee hapa chini tena..
View attachment 2690510View attachment 2690511View attachment 2690513
Hebu tafakari.
Hiki ni kituko, these people are not serious!
Na hizo negotiations za DP WORLD na wakenya zilipigwa chini mwaka 2022.
Hivi najiuliza kweli huko CCM Kuna mtu ako serious kabisa?
Haya tazama tena hapa chini, si wanasema sio mkataba ooh bado hatuna mkataba..
View attachment 2690517View attachment 2690520View attachment 2690526
Haya soma hapo juu, hiyo ni taarifa ya kamati ya Bunge, wanatamka kabisa "kwa kuwa MKATABA...",
Pia huyu anayeitwa Hamza Johari, anasema tumeweka kipengele katka mkataba kwamba hakuna mfanyakazi wa bandari....
Hicho kipengele wamekiweka wapi? Ktk MKATABA upi!?
Hivi ni maigizo au mazingaombwe?!
Hii nchi in TISS, JWTZ, PCCB, MAHAKAMA, BUNGE, MAWAZIRI, WABUNGE, TLS, LHRC, n.k
Hao wote wameshindwa kumsaidia mh. Rais Samia.?
Yani tamaa za CCM za uchaguzi ujao na za 10% za rushwa ktk hili, linayumbisha nchi kiasi hiki?!
Wote tumekuwa Taifa la ovyo kiasi hiki?!
Hii ni nchi au familia, ni akili au matope?!
Lugha ya malkia,mleta uzi imempiga chenga.Ogopa mtu anayeongopa kwa ujasiri mkubwa!
Uongo wa wazi wazi kabisa!
Lugha ya malikia ,mleta uzi,imempiga chengaWazee wa bahasha njoeni hapa mtudadavulie kwa facts... Lord denning, Faizafoxy mfia dini, covax, GUSSIE choiceVariable HIMARS!! NB; Msijeleta ngonjera hapa kila kitu kiko open. Jibuni hizi hoja ili mnachokikitetea raia wawaelewe!!
Lugha ya malikia,mleta uzi imempiga chenga.Mtazusha kila aina ya uzusho!!
Lugha ya malikia,mleta uzi,imempiga chenga.Uzushi upo wapi hapo?
Mnawaonaje watanzania nyie?!
Lugha ya malikia mleta uzi,imempiga chenga.Jamii forums kuna vichwa kuliko vichwa water vilivyojazana kwenye Baraza la mawaziri and co. God bless CWR2016. Hawa watu wangekuwa na aibu wangejifungia kupata mbinu mpya. System nzima umeiaibisha. CCM mlishakosa aibu
Tatizo lugha ya Malikia inawapiga chenga.Mleta uzi Engish ya sheria ,ni tofauti na ya broken English.Makubaliano(MoA) na Mkataba(contract) ni vitu viwili tofauti.Ukishakuwa na Waswahili wa Pwani kama viongozi wa juu kabisa nchini wawe huru kufanya maamuzi mambo kamwe hayawezi kunyooka. Ndivyo walivyo hao!!
Tatizo lugha ya malikia,inampiga chenga mleta uzi,na wengineo.[emoji3][emoji3]...hongera aisee,
yani umekusanya evidences zote.Umepita mule mule, washajichanganya hata hawajui wanaongea nini sasa kuanzia juu mpaka watendaji wote
Umeieleza vizuri,Tatizo lugha ya malikia,inampiga chenga mleta uzi,na wengineo.
An MOU is Used when companies plan to
work together or partner on a project or similar venture.
A memorandum of understanding (MOU) is a formal agreement that OUTLINES plans for a common line of action between TWO or MORE PARTIES.
MOA(Makubaliono) ni tofauti na CONTRACT(
!mkataba wa kudumu) .
Nimekusoma vizuri sana na kukuelewa ulichoandika hapa.CCM inanuka haitufai na chadema na demokrasia yao tukiipa nafasi watapitisha LGBT mchana kweupe... tunahitaji chama kipya kabisa cha vijana tukafanye mabadiliko tunayoyataka na wanayoyataka baba na mama zetu katika nchi hii bila uoga wowote
Fuko la mavi ni la kutupa. CCM ni sumuKuliko CCM ni kheri fuko la mavi
Alionesha kivuli chake, umemuweka wazi.Nimekusoma vizuri sana na kukuelewa ulichoandika hapa.
Sina mawazo ya kupingana na chochote ulichoandika hapa, lakini naomba nawe unisome kwa uangalifu unielewe vyema.
Ni hivi mkuu 'Mtu Mweusi':
Kama unavyojionea wewe mwenyewe juu ya jambo hili wanalong'ang'ania CCM; swala la Bandari, waTanzania tutake au tusitake mradi huo, CCM imekwishaamua, kwa hiyo waTanzania hawana chochote cha kufanya juu ya hilo.
Lakini nikukumbushe, kama hukumbuki, CCM walishajiapiza kwamba "watatawala milele"; maana yake ni kwamba hawawezi kuachia madaraka kwa njia yoyote ile bila ya kuwaondoa kwa nguvu.
Kwa hiyo, CCM ipo, na itaendelea kuwepo waTanzania watake au wasitake; na wataendelea kufanya lolote watakalo wao bila kuhojiwa na yeyote.
Wakitaka huo ushoga unaokutisha sana wewe leo hii, hao jamaa utawakuta wakijitangaza hadi mlangoni kwako, na hutakuwa na lolote la kufanya.
Tafadhali, usidhani CCM haiwezi kuruhusu ushoga Tanzania, hawajapata ushawishi tu wa kuwafanya wafanye hivyo. Bila shaka unajua "ushawishi" ninaouzungumzia hapa.
Sasa geukia kwa hao CHADEMA.
Wewe umetaja hofu yao kuwa juu ya kuruhusu ushoga. Mimi pamoja na kuwa na hofu nao juu ya hilo, na wala halinipi shida kubwa sana kwao, ninazo sababu kubwa zaidi ya hiyo kuwatilia mashaka, kwa sababu sera wanazozisimamia sizielewi vizuri. Hawajawa bayana sana juu ya hilo.
Pamoja na hofu hizo juu ya CHADEMA kuwepo, sina hofu kubwa juu yao kwamba wakiingia madarakani watajitangazia uwepo wao hapo daima, waTanzania watake au wasitake. Maana yake ni kwamba, bado waTanzania watakuwa na uamzi wa kuwaondoa wakivuruga na kuwaweka wengine kutuongoza.
Sasa basi, kama baada ya kusoma yote haya yanayotofautisha vyama hivi viwili, na bado huelewi, itakuwa kwamba wewe husemi kweli juu ya sababu zako za kuwabakisha CCM madarakani. Wewe utakuwa ni CCM mwenyewe kindakindaki, ila hapa unazuga tu uonekane hupendezwi na yanayofanywa na chama chako.
Haya, kama huwataki CHADEMA, na wala huwataki CCM, mbona hujawataja ACT-Wazalendo, na vyama vingine vilivyopo Tanzania; lakini unasubiri chama kisichokuwepo?
Haya onesha, kwenye hicho kipengele, lugha niliyopotoka..Lugha ya malikia,mleta uzi,imempiga chenga.
Dah!Haya onesha, kwenye hicho kipengele, lugha niliyopotoka..