Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
The basis is here.Yani tamaa za CCM za uchaguzi ujao na za 10% za rushwa ktk hili, linayumbisha nchi kiasi hiki
The rest is longo longo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The basis is here.Yani tamaa za CCM za uchaguzi ujao na za 10% za rushwa ktk hili, linayumbisha nchi kiasi hiki
Ccm linapofika swala la uchaguzi wanaweza kutuuza sote as long as kuna mtu atawasaidia kushinda.Nilijua tu ccm watakuwa -ameshirikiana kuuza nchi. Kiko wapi sasa?
Gii nchi inaendeshwa na mbumbumbu wachache kwa msalahi yao binafsi huku wananchi tumekaa kimya kama majuha!Moja kwa moja kwenye mada,
Kwa jinsi mambo yanavyoenda, najiuliza kweli hii tuliyomo ni "level" ya nchi kweli?
Au ni familia ya mtu kaamua ajinywee pombe zake na kuamua chochote?
Hebu tazama mifano michache hapa chini:-
View attachment 2690497View attachment 2690500View attachment 2690504
Hebu soma mtiririko hapo juu,
Je, sisi wananchi ni "majuha"?!
Au hii nchi ni kama familia ya mtu, anaamua tu kusema lolote hata kama sio kweli?!
Tuendelee hapa chini..
View attachment 2690506View attachment 2690508View attachment 2690509
Hebu soma tena mtiririko hapo juu,
Huyu ni Naibu Waziri, hapo alichokuwa anazungumza kipo wapi, kilichoandikwa kinaonekana kabisa, kuanzia 'heading' ya mkataba, hadi Appendix 1, phase2.
Nauliza hawa watu, are they jokers?! Is this a country really or just someone's family?!
Sisi ni "majuha?"
Tuendelee hapa chini tena..
View attachment 2690510View attachment 2690511View attachment 2690513
Hebu tafakari.
Hiki ni kituko, these people are not serious!
Na hizo negotiations za DP WORLD na wakenya zilipigwa chini mwaka 2022.
Hivi najiuliza kweli huko CCM Kuna mtu ako serious kabisa?
Haya tazama tena hapa chini, si wanasema sio mkataba ooh bado hatuna mkataba..
View attachment 2690517View attachment 2690520View attachment 2690526
Haya soma hapo juu, hiyo ni taarifa ya kamati ya Bunge, wanatamka kabisa "kwa kuwa MKATABA...",
Pia huyu anayeitwa Hamza Johari, anasema tumeweka kipengele katka mkataba kwamba hakuna mfanyakazi wa bandari....
Hicho kipengele wamekiweka wapi? Ktk MKATABA upi!?
Hivi ni maigizo au mazingaombwe?!
Hii nchi in TISS, JWTZ, PCCB, MAHAKAMA, BUNGE, MAWAZIRI, WABUNGE, TLS, LHRC, n.k
Hao wote wameshindwa kumsaidia mh. Rais Samia.?
Yani tamaa za CCM za uchaguzi ujao na za 10% za rushwa ktk hili, linayumbisha nchi kiasi hiki?!
Wote tumekuwa Taifa la ovyo kiasi hiki?!
Hii ni nchi au familia, ni akili au matope?!
"Kuna genge linakula bila hata kushughulika, linashiba bila kazi, ndio limemzonga mh. Rais" mch. Maximilian, Bulyaga ,TemekeGii nchi inaendeshwa na mbumbumbu wachache kwa msalahi yao binafsi huku wananchi tumekaa kimya kama majuha!
Watu wanagawana ulaji na madaraka. Wanataka sie kina flani tuendelee kukamuliwa tozo.The basis is here.
The rest is longo longo
Watu wanajifanyia wanavyojisikia
Ni nchi ya JMTMoja kwa moja kwenye mada,
Kwa jinsi mambo yanavyoenda, najiuliza kweli hii tuliyomo ni "level" ya nchi kweli?
Basi inaendeshwa kifamilia, na ipo kwenye majaribio!Ni nchi ya JMT
P
Una hoja, naanza kukuelewaKuna watu walishasema humu kuwa duniani kuna nchi na mikusanyiko ya watu.
Tanzania ni mkusanyiko mkubwa wa watu.