Je, hii ni nchi au familia?

Nilijua tu ccm watakuwa -ameshirikiana kuuza nchi. Kiko wapi sasa?
Ccm linapofika swala la uchaguzi wanaweza kutuuza sote as long as kuna mtu atawasaidia kushinda.

Ndicho kinaendelea sasa.
 
Gii nchi inaendeshwa na mbumbumbu wachache kwa msalahi yao binafsi huku wananchi tumekaa kimya kama majuha!
 
Gii nchi inaendeshwa na mbumbumbu wachache kwa msalahi yao binafsi huku wananchi tumekaa kimya kama majuha!
"Kuna genge linakula bila hata kushughulika, linashiba bila kazi, ndio limemzonga mh. Rais" mch. Maximilian, Bulyaga ,Temeke
 
Kuna watu walishasema humu kuwa duniani kuna nchi na mikusanyiko ya watu.

Tanzania ni mkusanyiko mkubwa wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…