Je, hili la kuhusu 'Uume' hutokea na kwa Wengine? Na inatokana na nini?

Je, hili la kuhusu 'Uume' hutokea na kwa Wengine? Na inatokana na nini?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Unakuta Wewe Mwenyewe kabisa ukijiangalia na hata Kujipimia Kimoyomoyo Maumbile yako ( Uume wako ) ama unauona ni mdogo au wa Kawaida lakini kila Mwanamke unayekutana nae ataulalamikia kuwa ni Mkubwa, huwa Unawaumiza na hata ukitaka kuwa nao tena Wanakukwepa.

Je, kuna Uwezekano kwa Macho yako Kuona na Akili yako Kukuambia kuwa una Uume mdogo lakini kumbe Kiuhalisia ukawa nao mkubwa hadi Wanawake Kuulalamikia na Kuukimbia ukiwaomba tena Tamu zao Siku zingine?
 
Je, kuna Uwezekano kwa Macho yako Kuona na Akili yako Kukuambia kuwa una Uume mdogo ( Mboo Ndogo ) lakini kumbe Kiuhalisia ukawa nao mkubwa hadi Wanawake Kuulalamikia na Kuukimbia ukiwaomba tena Tamu zao Siku zingine?
Nchi ina vijana wa hovyo wengi sana
 
Ukubwa au udogo ni relative. Yaani lazima ulinganishe angalau vitu viwili ndo unaweza kusema hiki ni kikubwa au kidogo. Wanawake kama walivyo wanaume maumbile yao hayako sawa. Unaweza kuwa mkubwa kwa mwanamke A lakini ukawa mdogo kwa mwanamke B.

Ishi maisha yako, fanya mambo yako. Usijilinganishe ...as long as mpenzi au mke wako ameridhika inatosha
 
9df25dfb-6c70-44bd-84ae-a5dac1f71ccf.jpg
 
Bora hilo swala la ukubwa uambiwe na daktari lakini sio hawa viumbe.

Kama wanaweza kuigiza kufika kileleni unadhani watashindwa kuigiza kuwa una uume mkubwa??
Sehemu inatoka kichwa cha mtoto unadhani kuna kipi kikubwa ambacho watashindwa kuhimili.

Kama unahisi una kibamia basi huo ndio uhalisia ndugu haijalishi wanakwambia nini. Na ukitaka kujua size yako halisi gombana nao usikie mchanganuo wa maumbile yako vile utakavyomithilishwa na kila kitu kidogo ukijuacho.

By the way kama inasimama, unafika mshindo basi mengine yote anasa tu.
Kitakwimu huwa hawahesabu wameingiliwa na wangapi wenye maumbile makubwa bali wangapi wamechomeka regardless of size or duration of intercourse.
Ikipenya, keshaliwa huyo mengine ni mazungumzo baada ya habari.
 
Unakuta Wewe Mwenyewe kabisa ukijiangalia na hata Kujipimia Kimoyomoyo Maumbile yako ( Uume wako ) ama unauona ni mdogo au wa Kawaida lakini kila Mwanamke unayekutana nae ataulalamikia kuwa ni Mkubwa, huwa Unawaumiza na hata ukitaka kuwa nao tena Wanakukwepa.

Je, kuna Uwezekano kwa Macho yako Kuona na Akili yako Kukuambia kuwa una Uume mdogo lakini kumbe Kiuhalisia ukawa nao mkubwa hadi Wanawake Kuulalamikia na Kuukimbia ukiwaomba tena Tamu zao Siku zingine?

Anyway njia rahisi ya kujipima ni ukiwa umesimama wima usijipinde hata kidogo hakikisha uume wako upo errected kisha ulaze tumboni , ukivuka kitovu una uume mkubwa kupita kiasi ukifunika kitovu una uume mkubwa na ukiwa chini ya kitovu kidogo ukaacha kanafasi una uume wa kawaida (wengi wanajiona wana mdogo) .

Ila ukiacha nafasi kubwa kati ya ulipolalia na kitovu basi una uume mdogo .

UKITAKA KUONDOA AIBU KWANINI USIOE KABISA MKUU ILI MKEO NDIYO AWE ANAJUA ULICHONACHO?
 
Back
Top Bottom