kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Hivi ndizo chatting zenu huko kwenye simu hizi?Ukishakosa Hela ya Kuwapa ndo utajua maumbile makubwa au madogo.. saa unawapa Hela wanalia unawaumiza saa huwapi....View attachment 2521483
Tutakaa tuweze hata kutengeneza makombora ya masafa marefu kweli?