Je, hivi huwa wanawaza kama ambavyo sisi wengine tunawaza juu yao?

Very sad kwakwel.
Huwa najiuliza nakosa majibu kabisa
 
Huu mwandiko ni wa Ivan wa Mwananyamala
 
Nick Minaj katuonyesha mapaja ila wanaume wengi yawezekana na wewe ukiwemo hatumfikii kwa pesa na michongo.

Kim Kardashian sextape yake ilivuja lakini aliolewa ana watoto na pesa pia.

Hao wadada wanaobinua makalio usione ni hamnazo wengi wana elimu zao na mipango mikubwa kwenye life zao ni vile tumekuwa judgemental.
 
Wao wanaamini kwamba kesho itajisumbukia yenyewe.
 
Dunia imekua ya ajabu sana,hawa watu wanaofanya vitu ambavyo wewe unaona ni vya hovyo,ndio hua maarufu na kuheshimika na baadhi ya watu kwa kutambulika kama celebrity,

Chakushangaza mfano,Kim kardashian umaarufu wake ulizidi baada ya kuvujisha sex tape kati yake na Ray J,

Mkuu angalia familia yako,hasa watoto wako,walee katika maadili mema,ukiyafuatilia ya Dunia ya leo yanaweza kukutia uchizi au utajikuta unaishi maisha ya kuiumiza nafsi yako tu.
 
Nimekua specific sana brother, BONGO!!! Hiyo ni FOR AMERICA N EUROPE.
hao sio dada zangu ninaowazungumzia.Sio ndugu zetu hao hata GDP yao haituhusu.

Ila hawa wabongo ndio the main subject hapa.

Halafu, am not judgemental in anyway katika yote niliyoyaongelea hapo.

I have just echoed my mind.

Mwisho ,kama zinalipa namna hiyo dada zako wanaweza fanya kazi hiyo hapa bongo?
 
MWANAMKE ANA NJIA NYINGI ZA KUTOKA KIMAISHA, JILILIE WEWE NA NAFSI YAKO
 
Unajitesa sna mkuu kushughulika na mambo ya wengne , mwisho wa sku na ww utapita utaiacha dunia na mambo yake.
NAkubaliana na wewe, lakin je huoni kama tatizo bado liko pale pale hata kama tutaamua kujifanya kama ni kawaida tuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…