Je, hivi huwa wanawaza kama ambavyo sisi wengine tunawaza juu yao?

Je, hivi huwa wanawaza kama ambavyo sisi wengine tunawaza juu yao?

NAkubaliana na wewe, lakin je huoni kama tatizo bado liko pale pale hata kama tutaamua kujifanya kama ni kawaida tuu??
Upo sahihi mkuu ,ila jambo linaweza kuwa tatizo kwako ,jambo hilo hilo linaweza lisiwe tatzo kwa mwingne, ni jinsi tu ubongo wako unavyochukulia jambo , apo tatzo ni ubongo wako ulivyotafsiri wale wa vaa uchi , ila unaweza tafsiri pia kwa upnde chanya kwa hao hao wavaa uchi ikawa afya kwako zaidi, jali sana afya ya ubongo wako inavyotafsiri vitu.
 
Ukikaa kufikiria akili za mwanamke utaumia sana, mwanamke anaweza kufanya chochote ilimradi kufurahisha kadamsi au mwanaume na yeye bila kunufaika na chochote, na wengi wako hivyo.Watafute wachenza ngoma utashangaa, anaweza kucheza ngoma malipo ikawa ni chakula na bia tu.
Wachezaji ngoma wote ni wanawake?
 
Alafu ndio wimbo ambao unapigwa saivi hapa....asee kweli Jux na G nako wameuotea huu wimbo.
 
Back
Top Bottom