Je, hivi huwa wanawaza kama ambavyo sisi wengine tunawaza juu yao?

Je, hivi huwa wanawaza kama ambavyo sisi wengine tunawaza juu yao?

Eti unawaonea huruma video vixen unashidwa kuionea huruma familia yako, hao wadada wana michongo ya pesa kuliko wewe, na wana ndoto kibao kama hujawahi kukaa nao utaropoka hovyo hovyo, hao wana malengo makubwa kuliko mke wako huyo mwalimu, pole sana pia wanaingiza pesa kuliko mshahara wako na wa mke wako mkijulisha kwa pamoja.
Umeandika kweli......ila baada ya ibilisi muogope sana asiejali pesa yake inaingia kwa njia gani....mtu yupo radhi kabisaa kuuza utu na heshima yake abadani....huyo hashindwi kukuuza hata wewe hahahha

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
The more aware you become, the more you understand it's not your job to fix people's issues, regulate their emotions, manage their insecurities, pacify their inner wars, heal their wounds, save them from the consequences of their choices, and be the version of you in their minds.
In short you are reminding everyone to mind ones business.
 
Umeandika kweli......ila baada ya ibilisi muogope sana asiejali pesa yake inaingia kwa njia gani....mtu yupo radhi kabisaa kuuza utu na heshima yake abadani....huyo hashindwi kukuuza hata wewe hahahha

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
slay Queen wanajali sana pesa na mihonekano yao, kwao pesa mbele lakini wana akili sana hao wadada me nawajua pia wana moyo wakusaidia sana ndugu zao na kama akikupenda kwa dhati utamfaidi sana.
 
Vunja mifupa kama meno bado yapooooo
Utakuja lia ukipoteza muda wako

In their prime wacha watumie mengine watajuta mbele

Ndo wanasimliga mimi nilitesa sana ujanani apo wakiwa na stress 5G maana attention walizo zoea kupewa zinakua hazipo tena
 
Umeandika kweli......ila baada ya ibilisi muogope sana asiejali pesa yake inaingia kwa njia gani....mtu yupo radhi kabisaa kuuza utu na heshima yake abadani....huyo hashindwi kukuuza hata wewe hahahha

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwa kifupi uingizaji wa pesa usio na katika mfumo rasmi ni hatar sana.
na hapa ndipo ilipo tofauti ya masikin na tajir.
Masikini wanakimbizana na kutafuta pesa (vyovyote vile iwavyo chochote kilicho mbele anatembea nacho)
Laki.n matajir wanapambana ku establishi mifumo ya kuingiza pesa ambayo hata wasipokuwepo mifumo itaendelea kuingiza pesa.


Dada ako Kitombile siku akishindwa kwenda kukata uno kwenye video na kupapaswa papaswa mataka hakuna pesa inaingia.
 
slay Queen wanajali sana pesa na mihonekano yao, kwao pesa mbele lakini wana akili sana hao wadada me nawajua pia wana moyo wakusaidia sana ndugu zao na kama akikupenda kwa dhati utamfaidi sana.
Kumbe wanakufuga mkuu!?
Hivi unapataje mtu (ndugu) ujasiri wa kupokea pesa mtu anayoihenyea kwa kujidhalilisha na flow yake haina assurance yoyote?.
 
Nick Minaj katuonyesha mapaja ila wanaume wengi yawezekana na wewe ukiwemo hatumfikii kwa pesa na michongo.

Kim Kardashian sextape yake ilivuja lakini aliolewa ana watoto na pesa pia.

Hao wadada wanaobinua makalio usione ni hamnazo wengi wana elimu zao na mipango mikubwa kwenye life zao ni vile tumekuwa judgemental.
Wameamua kuishi kwenye uhalisia wao......mwanamke ni kiburudisho, mwanamke ni chombo cha starehe
 
Nimekuja kugundua kuwa yamkini Tunawaonea sana huruma watu ambao kwa namna moja au nyingine wala hawajal maisha yao kabisaa.

Juz kati nikiwa naelekea Arusha nikawa nachek tv, nimekaa kwenye bas wameweka vidoeo ya Jux ile Sugar Dady, (mimi sio mpenz wa kuangalia hiz video za vijana wetu kwakua nying ni za hovyo hovyo).
Bas kwakua hakuna namna ndio safar tena kilometa za kutosha inabid uzuge tu kuangalia.

BAsi nikawa nawangaliaaaa wale madada kwenyw hiz video za amapiano za kibongo bongo wanavyo cheza cheza uchii wanajibinua binua matako wazi meusiiii wengine meupeeee nyege zinanipanda na kushuka ila no sweti.

Mwisho nikajiuliza hivi hawa HUWA WANAPATA HATA MUDA WA KUFIKIRI KUHUSU MAISHA YAO YA MIAKA 3 HADI 5 MBELE ITAKUAJE??

Wanajua wataishije ?
Maaana hapa wanapata soko kwenye video za wasanii kwakua shape bado ziko intact na zinalipa ila kila siku kuna ingizo jipya sokoni watoto wabichi bichi (container mpyaaa zinashuka) wanaingia hawa soko linaisha..
Hiv haya mambo wao wanayawaza kweli?
Hiv huwa wanapata hata muda wa kutafuta idea juu ya nini wanaweza fanya ili angalau wa invest muda wao huko ili angalau wawe na kipato endelevu hata kama kidogo????

Hiv haya matako wanayo binua binua watakapokua certified single mazers hapo mbele ya safar watoto wao watazitazamaje?? Maana kwa maisha yao wanaishi ni a guarantee kwamba they r never gonna mary someone and settle for marriage life!..

Hiv hawa wataishije hawana sustainale plans juu ya maisha yao wenyewe, achana na maisha ya watoto wanaoweza kulazimika kuwazaa baada ya kupata mimba na kushindikana kuzitoa (maana ndio mfumo wao wa maisha-ila huwa inafika time no way lazima uzae).

Hiv kwel hawa wanawake na mabinti huwa wanawaza nini kwenyw akili zao.Sometimea unatamani ungefumua vichwa vyao japo uone ni madudu gani wamejaa kwenye bongo zao labda uwasaidie kuwaondoa labda watakaa sawa!!!. Yan kuna muda unatamani kama kungekua na namna ya ku resett vichwa vyao to default setting ila ndio hivyo haiwezekani.

Kwamfano binadamu mwingine average siku inapoisha ni kawaida kulala na hata kutembea na mawazo kama
  • ule mzigo pale bandari nautoaje?
  • kwann wateja wamekata dukani?
  • kesho naanzia wapi kutafutia wateja wa hudima yangu?
  • nimtafute nani wa kunisaidia kumaliza proposal yangu ya biashara nikachykue mkopo bank???
  • n.k n.k


Sasa nikawaza hivi hawa wanawake wanaocheza cheza uchi matako nje nje kwenye hiz video huwa wanawza nini kichwan wanapoamka? Au siku inapoisha?? Au wanapolala ?? Huwa wanawaza vitu gani hawa mabinti zetu???

Yan unajikuta unajitwisha mzigo wa kuwazaaaa kwa ajil yao unaingia kwenyw mawazo sana ila wao hataaaa hawana was was ..Wanachojua ni LEO!! KESHO kwao wala sio mjadala.Itakuja tu yenyewe tu!!..


UBaya sasa wao wanapocheza cheza uchi wanafikir unawataman muda wote kumbe wewe unawoangalia halad unaangalia future zao unakosa majibu.UNAWAONEA HURUMA SANA SANA lakin wao WANA ENJOY FUN MOMENTS!!

kwakwel huwa inafikirisha sana.
ila anyway , nadhan hayatuhusu sana.View attachment 2660556
Kwani siwanalipwa
 
Vunja mifupa kama meno bado yapooooo
Utakuja lia ukipoteza muda wako

In their prime wacha watumie mengine watajuta mbele

Ndo wanasimliga mimi nilitesa sana ujanani apo wakiwa na stress 5G maana attention walizo zoea kupewa zinakua hazipo tena
Exactly.Hili liko waz haina ubishi
 
Back
Top Bottom