Je, hivi huwa wanawaza kama ambavyo sisi wengine tunawaza juu yao?

Mpaka kesho na kesho kutwa
Njia kama zipi labda kaka.
Kama hao wasomi tu hizo njia hawazioni wakiwemo wasomi wanawake!!
Zitaje labda tunaweza kujua namna ya wao kusaidika .Ndio lengo la uzi huu!
 
NAkubaliana na wewe, lakin je huoni kama tatizo bado liko pale pale hata kama tutaamua kujifanya kama ni kawaida tuu??
Upo sahihi mkuu ,ila jambo linaweza kuwa tatizo kwako ,jambo hilo hilo linaweza lisiwe tatzo kwa mwingne, ni jinsi tu ubongo wako unavyochukulia jambo , apo tatzo ni ubongo wako ulivyotafsiri wale wa vaa uchi , ila unaweza tafsiri pia kwa upnde chanya kwa hao hao wavaa uchi ikawa afya kwako zaidi, jali sana afya ya ubongo wako inavyotafsiri vitu.
 
Wachezaji ngoma wote ni wanawake?
 
Alafu ndio wimbo ambao unapigwa saivi hapa....asee kweli Jux na G nako wameuotea huu wimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…