Je, hivi huwa wanawaza kama ambavyo sisi wengine tunawaza juu yao?

Umeandika kweli......ila baada ya ibilisi muogope sana asiejali pesa yake inaingia kwa njia gani....mtu yupo radhi kabisaa kuuza utu na heshima yake abadani....huyo hashindwi kukuuza hata wewe hahahha

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
In short you are reminding everyone to mind ones business.
 
slay Queen wanajali sana pesa na mihonekano yao, kwao pesa mbele lakini wana akili sana hao wadada me nawajua pia wana moyo wakusaidia sana ndugu zao na kama akikupenda kwa dhati utamfaidi sana.
 
Vunja mifupa kama meno bado yapooooo
Utakuja lia ukipoteza muda wako

In their prime wacha watumie mengine watajuta mbele

Ndo wanasimliga mimi nilitesa sana ujanani apo wakiwa na stress 5G maana attention walizo zoea kupewa zinakua hazipo tena
 
Kwa kifupi uingizaji wa pesa usio na katika mfumo rasmi ni hatar sana.
na hapa ndipo ilipo tofauti ya masikin na tajir.
Masikini wanakimbizana na kutafuta pesa (vyovyote vile iwavyo chochote kilicho mbele anatembea nacho)
Laki.n matajir wanapambana ku establishi mifumo ya kuingiza pesa ambayo hata wasipokuwepo mifumo itaendelea kuingiza pesa.

Dada ako Kitombile siku akishindwa kwenda kukata uno kwenye video na kupapaswa papaswa mataka hakuna pesa inaingia.
 
slay Queen wanajali sana pesa na mihonekano yao, kwao pesa mbele lakini wana akili sana hao wadada me nawajua pia wana moyo wakusaidia sana ndugu zao na kama akikupenda kwa dhati utamfaidi sana.
Kumbe wanakufuga mkuu!?
Hivi unapataje mtu (ndugu) ujasiri wa kupokea pesa mtu anayoihenyea kwa kujidhalilisha na flow yake haina assurance yoyote?.
 
Wameamua kuishi kwenye uhalisia wao......mwanamke ni kiburudisho, mwanamke ni chombo cha starehe
 
Kwani siwanalipwa
 
Vunja mifupa kama meno bado yapooooo
Utakuja lia ukipoteza muda wako

In their prime wacha watumie mengine watajuta mbele

Ndo wanasimliga mimi nilitesa sana ujanani apo wakiwa na stress 5G maana attention walizo zoea kupewa zinakua hazipo tena
Exactly.Hili liko waz haina ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…