Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!.

Nchi inaenda tu kwa one man show, Bunge halionyeshwi maana wako bize na one man show. Haya yanafanyika kwa sababu ya kisiasa kaka Pasco wala siyo mapenzi ya dhati kutoka mioyoni.Tusubiri it is matter of time wataelewa kuwa wanafanya Comedy
 
Nyie wapinga kila kitu hamuishi., kwahiyo mtu akishuka na private jet Terminal 1 na unga wa kutosha apite tu??, Raisi akigundua tatizo aanze kukaa kikao na waziri amuelekeze machine Fulani haifanyi kazi kaiangalie,. Kuzunguka zunguka tu,kama Kuna tatizo mahali ni kutumbua hapo hapo,hakuna muda wa kupoteza.. Then nidhamu ni nidhamu tu,nyie ibatize majina ya uoga,sijui nini watumishi wa serikali walikuwa wamefika mahali pabaya,Hata wakijikojolea wakimuona raisi ni Sawa tu,hii itarudisha heshima ya nchi.Wengine tumeombea mtu kama Huyu miaka mingi sana,mnaompinga Kwa kila kitu mnazidi kupungua Kwa kasi kubwa na mwishoni mtachemka.
 
Nchi inaenda tu kwa one man show, Bunge halionyeshwi maana wako bize na one man show. Haya yanafanyika kwa sababu ya kisiasa kaka Pasco wala siyo mapenzi ya dhati kutoka mioyoni.Tusubiri it is matter of time wataelewa kuwa wanafanya Comedy
muda ni judge mzuri...miezi Sita ijayo tu
 
Nyie wazungusha mikono vipi??,mpuuzi kama Lissu kaingiaje sasa?,mnapinga kila kitu tu,Kuna uozo sehemu nyingi ukianza kufata mlolongo wa manager,Mkurugenzi,waziri hatutafika,Kuna tatizo mahali litatue hapo hapo sipo sasa sasa kama mlizozoea za kuunda time kuchunguza
 
Tatizo one man show swali la kujiuliza je hamna mteule kwenye wizara hiyo??mpk muda huo ahusike yy kufumua madudu hali mteule wa eneo hilo yupooo?je hii inatoa taswira gani ?na je ni hao watendaji pekee ndo tuwawajibishe na kumwacha mteule wake?nadhani mmenielewa hapo.
 
Hujaeleweka ndugu,
Hivi unapendekeza nchi iongozwe kwa law of the jungle, halafu, kwa uzembe huo, pengine taifa liangamie [rasilimali ziendelee kutoroshwa, na madhara mengine ya kiusalama]. Nadhani huna uzoefu wa kusafiri nje ya nchi; ukishuka JF Kennedy, Heathrow, Schiphol, and the like unakaguliwa, na ukiwa Mtanzania ndio kabisa utamulikwa hadi mapafuni. Tanzania tunakaguliwa hivyo kwa sababu inaaminika airports zetu ni JK style leadership (haphazard). Sasa Rais anapotuma the right message to the right personnel kuwa business as usual is no more wewe unaona ni kosa. Hutaki wageni wanaoingia nchini kupitia airports zetu (wengine wakiwa wamebeba 'unga') wakaguiwe! Pole ndugu. Nimlize hoja hii kwa kunukuu maneno ya JPM jana, '...hivi Watanzania nani kawaloga?'
 
Uko sahihi,Kuna watu wanahusika kabla ya raisi,kumbuka watu walikuwa wanafanya kazi Kwa mazoea,pale bandarini ile flow meter inamhusu waziri,Mkurugenzi etc ukiwawajibisha kila mtu utafukuza ofisi nzima au wizara kila siku,pale airport hivyo hivyo,ila ukipiga mkwara una wa alert na wa juu wanaohusika kwamba wazembe,ni kama warning., ukifata mlolongo wa ngazi za uongozi hatufiki nchi ni kubwa sana na ina uozo mwingi sana,ndo maana China wanapigwa risasi hadharani kama warning,angalia speed yao
 
This is governance software revamp strtegy ndugu. We are moving away from JK leadership style (Masalia?).
 
.... anachokifanya Rais ndio njia ya kufikia huko usemko/uwazako.
 
Heshima yako Pascal - hivi unakumbuka modus operandi ya Lowassa alipokuwa WAZIRI MKUU, alikuwa anatimua watu on the spot! Hakuwa na huruma hata kidogo - Pasco kasahau udikteita wa Lowassa!!

Lowassa aliwahi kumwachisha kazi mama wa watu ambaye alikuwa mkurugenzi wa Wilaya huko Arusha bila sababu za msingi tena kwenye mkutano wa adhara.

Dk. Magufuli ni. Mkali lakini at least ana UTU sana, we unafikiri uozo aliyougundua jana pale Uwanja wa ndege si angetimua wafanya kazi karibu wote kuanzia ma operators mpaka Mkurugenzi mkuu possibly na Waziri, sasa nini kilicho tokea ni nini Magufuli wa watu kawapa onyo tu, je angekuwa Lowassa angefanya nini? Jibu analo.

Leo nilikuangalia kwenye kipindi cha asubuhi cha StarTV you are unquestionably an inyelligent man lakini linapokuja suala la Dk. Magufuli una kawaida ya kupoteza dira kabisa! Tatizo lako huko so obsessed na Magufuli as a person mpaka unafikia hatua ya kujisahau kabisa - this is not healthy at all - personally I don't like your stance, sio kwamba nakuonea nataka kuwa mkweli - UMEZIDI.

We fikiria Mpaka muongoza kipidi na wasemaji wenzako uliyo kuwa nao kwenye studio wafikie hatua ya kukwambia kwamba usijaribu ku derail mada kwa kutumbukiza masuala ya Dk. Magufuli ujishtukii tu???

Mantra yako ya kusema kila upatapo jukwaa kwamba Dk. Magufuli anafanya the right thing using wrong method hatutaki kayasikia sisi, tuko vitani we subiri 2020 kama mtashinda basi ushauri wako mpatie Lowassa, sitaki kusema mengi hidipo kuwa nakushauri kwa nia njema tu kwamba jirekebishe - nyinyi si wajomba wa Dk.Magufuli kwa nini hutaki kumuunga mkono katika crusade zake zilizo tukuka au ukamkosoa kwa upendo bila ya ku resort kwenye stunt za media just to get even!!
 
.... anachokifanya Rais ndio njia ya kufikia huko usemko/uwazako.
Bro watu wanapinga tu mpaka Kuna wakati huwa najiuliza kama ni watanzania au wahamiaji.,Kuna machine za kuscan mbovu,ila zipo bado naona mtu humu anahoji kukaguliwa akifika home sio sahihi,hajui Kuna wabeba unga nk,halafu wanaleta siasa za JK za kuoneana aibu,sijui mpigie simu manager airport atoe maelezo Kwa Mkurugenzi,then mkuu wa mkoa.. Hizo zama zimekwisha Hapa Kazi Tu
 
wee siku hizi umeisha kabisa. Tangu ujiunge na dini yenu ya washangiliaji kichwani umebaki mtupu
 
h
heri nidhamu ya woga kuliko hali ya uzembe kupiga dili kukubalika kama ndio sawa.
 
Manakijiji naona wewe na mimi tunakubaliana na mambo mengi siku hizi kumbe ni mzalendo wa kweli uanchukia ufisadi kama mimk
 
Tatizo mkienda shule za kata huwa mnaenda kusomea ujinga ndio maana saizi mnasema maisha bila sukari yanawezekana na mtasema maisha bila elimu yanawezekana soon. Raisi anayo haki ya kufanya ziara kila sehemu ya nchi hii, lakini akimaliza ziara lazima aweke mfumo sawa isaidie sekta nzima. Hauwezi kuweka mfumo kwa kuongea na ATTENDANT mbele ya kamera. Magufuli ni mkemia na mathematics, anahitaji kujifunza vitu vingine toka kwa wataalam na washauri na sio kuamrisha kitu bila kuwa na background yake.
 
Umekariri ukiwa mpinzani ni kurusha makombora tu...... tena yaliyojaa dhihaka! ww kwa uelewa' wako unadhani mfumo wa utendaji haukuwepo? acheni kejeli za nitoke vp......
. kuna ubaya gani anko Magu.... kupita na kukagua airport kupita Kwake mapungufu yamebainika waziri usika atapita na kuweka sawa ..... miaka mitano( 5×12=60) sawa na miezi sitini (60-5=55) jamaa bado ana miezi 55 mifumo mipya itatengenezwa tu..... kwa sasa wacha mindset za watendaji wa serikali zibadirishwe.....After all ningemshangaa anko Magu apite airport bila kuchungulia chungulia pale..... wakati pamekuwa na malalamiko mengi ...ni sawa na baba asikie kelele jikoni ashindwe kwenda kangalia....... kunani kisa jikoni kunamuhusu mama!!!..... huo utakuwa uchawi...... hapana ubishi kwamba nchi hii inapita kipindi cha mpito .... swala la sukari ni la muda tu...... lkn serekali imejipanga....in a along run basis.... tatizo hili halitojirudia..... kwa kuongeza uzalishaji wa ndani na kuondoa miungu watu waliodominate soko hilo
 
Hakuna muda wa siasa siasa,mwaka mzima ni ubabe kwanza watu waogope.,China imefika ilipo Kwa chama kimoja na Sera za kibabe,tena wale mtumishi wa una ananyongwa,ukianza mambo ya wataalamu,washauri nk unachelewa,Kuna tatizo mahali Hata kama umetoka Ug Kwa Museveni piga mkwara hapo hapo no delay
 
hicho kitu ccm hawawezifanya, ukiweka mifumo maana yake utaziba mianya ya ufisadi automatically utaiua ccm, survival ya ccm ni loop holes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…