Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Jifunze kubalance shobo dunda
 
Duh, Kuna watu wanaweka vijembe hao,mtu anaweka status si chini ya picha 10 why?, ni mwendo wa kuskip na kumute tu.

Hivi inawezekana mtu akaview status yako afu asionekane kwenye viewers ?,I mean akaview kimya kimya bila wewe kujua??
Yes hata mimi naview status za watu kimya kimya bila kuonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm tena sana tu yani ya kwanza ikiwa ya ukiwaki tu ujue ndio nimemaliza kuangalia hivyo.
 
U are grown up ass. Wengine wanatakiwa waige mfano wako
 
Una akili za kitoto bado
 
Namute status ya mtu
-anayeweka picha nyingi hadi zinasoma...........
-mtu yeyote ninayefanya naye kazi huwa nammute pia namuweka kwenye except list
-mtu anayeweka video ya wimbo full
-status za vijembe, sijui kwio na vingine. Piga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…