Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Duh, Kuna watu wanaweka vijembe hao,mtu anaweka status si chini ya picha 10 why?, ni mwendo wa kuskip na kumute tu.

Hivi inawezekana mtu akaview status yako afu asionekane kwenye viewers ?,I mean akaview kimya kimya bila wewe kujua??

Yes inawezekana

Sent using IPhone X
 
Kila kitu kina mazoea mkuu mfano mimi sijawahi kuweka kabisa picha yangu WhatsApp ,pia nina rafiki yangu anamiliki simu ya mkwaja mrefu na hajawahi kujipiga picha hata moja

Sent using IPhone X
Kuna watu hawana kabisa ishu za kupiga picha hii nayo sijui huwa tunasemaje.
Mwingine unakuta hana muda na mtandao wa kijamii wowote ule.
 
Mtu unakuta kapata ki kazi fulani tu, cha kampuni ila kapiga hadi kitambulisho cha kazi kuweka status, ili tuone ,et anamshukuru Mungu, kwani Mungu ana smart phone!
[emoji31][emoji31][emoji31][emoji26][emoji31][emoji26][emoji31]
 
Duh, Kuna watu wanaweka vijembe hao,mtu anaweka status si chini ya picha 10 why?, ni mwendo wa kuskip na kumute tu.

Hivi inawezekana mtu akaview status yako afu asionekane kwenye viewers ?,I mean akaview kimya kimya bila wewe kujua??
Yah
 
Yah Kama unatumia gb au fm kwenye setting yake kuna kuhide hivyo una view kimyakimya bila mwenye nayo kujua
Duh, Kuna watu wanaweka vijembe hao,mtu anaweka status si chini ya picha 10 why?, ni mwendo wa kuskip na kumute tu.

Hivi inawezekana mtu akaview status yako afu asionekane kwenye viewers ?,I mean akaview kimya kimya bila wewe kujua??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yao wiki nzima unayajua kupitia Status.. sijui wanakuwa na shida gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…