Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

Tunapenda kujadili vitu vya kipumbavu kabisa aiseee hii tz inabd impate mtu wa kunyoosha zaid

kilicho akilini kitumie
Kwa mawazo yako ni chakipumbavu maana huna elimu ya fedha na uchumi lakini kifedha hilo ni kosa tena kubwa maana hiyo risiti ina utata kwa sababu ina amount mbili tofauti yaan ya maneno na tarakimu hazifanani kihasibu lakini , ila kisiasa hakuna tatizo hapo
 
Teh teh
 
Hapo jakuhitajiki "management" ya aina yeyote ile. Ni simply a " cashier's receipt" ya hundi aliyopokea na ipo very clear kuwa ni ya million thelathini.

Halafu jifundishe "terminologies" za mambo ya uhasibu, ni "finance management" siyo"(financial) management". Ukisema "financial" labda iwe"manager" siyo "management".

Unaniuliza mimi kuhusu "management"? Just for your information, I am in the corporate League, way past mananagement mayhem.

You are simply a very lucky person to even have a pleasure of discussing nonsensical issues like this one with me. Thanks to social media.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza. Kumbuka hilo.
 
Unashangaa nini? Afadhali ya huyo mwandishi alifanya kosa la kuongeza herufi S baada ya mllion. lugha hiyo ni ya kigeni. Wengi wenu humu ndani hata kiswahili hamkijui vizuri na mnaboronga kila siku.
Ange Google translation
 
😊😊😊 Mwanadamu anafanya makosa kwenye uandishi, lakini sio katika maandishi ya namba, kupunguza au kuzidisha zero inaweza kuleta tafauti kubwa
 
Leo umetulisha matango pori hiyo risiti haileweki ina thamani mbili tofauti za pesa acha kuwa mshabiki ukili tu kuwa huyo Mhasibu/ mwandishi kakosea na ni mzembe asiyejielewa hata kwa maneno ya kiingereza hiyo angeandika kwa kiswahili nani angemshangaa! Maana risiti inamaneno ya lugha 2
 
Thirty million only na sio thirty millions only. Kwangu ni minor error hiyo, japo kwa wanaofuatilia umakini wataongea tu. Hakuna aliyeko perfect.
 
Bibi kwa kujifagilia tu huna mpinzani.
Umesema vizuri usidharau usiemjua lakini na wewe umeishia kumu-undermine jamaa.
What if ndio boss wako au huyo mnaekaa nae meza moja kwenye shughuli zako?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaratibu wa mahakama, wanakupa kontrol namba unakwenda benki kulipia unawaletea risiti ya benki wanakupa yao, hiyo risiti ni ya mahakama na ndio ya mwisho hakuna nyingine, hivyo hakuna haja ya kuwa na wasiwasi huo.
 
Kiuhasibu aijakaa sawa hapo ni 30,000/= hili isilete changamoto wakati wa ukaguzi yafaa hiyo iachwe na kuandikwa nyingine Mpya isiyo na makosa.
 

hata benki unapokea pesa kama ukiandika hivo.siasa ni mtoto wa kafiri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shida ipo katika sifuri tatu za mwisho ambazo zimekatwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nasema Ni mambo ya kipumbavu kwa sababu hakukuwa na ulazima wa kuweka humu Zaid ya kumuelimisha aliendika hyo stakabadhi

Kuweka humu haitosaidia kumuelimisha huyo aliekosea Jambo jema na busara Ni kumuelemisha hapo hapo alipo na kuchapa mwendo

Kuweka humu Ni kutafuta kiki za kipumbavu tu kwa mtu mmoja kukosea.kwa maana hakuna binadamu aliekamilika hata Mara Moja huo uhasibu nilishaupitia miaka hyo iliyopita na Nina elewa Kuna vitu ukivipa nafas vitapoteza muda wako wa kufikiria mambo ya msingi.

Wakati inaandikwa nadhani mhusika alikuwepo kwann asimwambie kuwa amekosea????

Mpaka anapewa stakabadhi anaiyona imekosewa kwann asiende sehemu husika kwa aliekuwa juu ya alieandika ili iwe cancelled na stakabadhi ilirudishwa mahala pake ikiwa cancelled?????

Kuleta humu Ni unafki na majungu tu

kilicho akilini kitumie
 
Mhasibu inaonekana alilewa Kvant akajikuta anaanzia kuandika namba kutoka mkono wa kushoto kwenda kulia badala ya kinyume chake, ni hatari sana hiyo risiti unaweza kukataliwa na mamlaka zingine
Kwahiyo kihasibu mnatakiwa kuanza kuandika namba kutokea kulia kwenda kushoto?
 
Nakubaliana na hoja km ingekuwa ni vocha na cheki kwa benki wangeuliza kupata justfication hasa kwenye s.
Pia ukaaji wa kitabu cha erv maandishi wakati mwingine yanapandana kwenye kuandika kwa tarakimu maana risiti moja inakopi km 3 km sikosei.
Kwa jambo km hilo alipaswa awe makini na taadhali kubwa.
Mwisho kuhusu cheti feki..hii haimaanishi kashindwa hilo ndio hana cheti au cheti chake si sahihi nimeshuhudia mtu ana cpa ana fanya kazi chini ya kiwango kuliko mhasibu wa NABE.
 
Kama unaziona thamani mbili tofauti" hapo basi utanisamehe sana kukwambia kuwa shule ulienda kusomea ujinga.

Kama stakabadhi ina makosa basi mjinga ni aliyeipokea stakabadhi hiyo si aliyetowa. Kumbuka hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…