Je, huyu ndiye IGP ajaye? Mfahamu Kamishna Awadhi Juma Haji, anayesimamia Operesheni za Polisi

Hapa bado sijaelewa una maana gani?

Atawapigaje wapinzani bila sababu? Ni lazima atakuwa na sababu za kuwapiga hata kama si sababu halali.!
Wapinzani walitii Amri kwa kuanza kupanda Makarandinga lakini BILA SABABU Afande Awadhi akaanza kuwapiga.

BILA SABABU!

Ili kurudisha HOPE Raisi Samia amfukuze kazi huyu Kamanda mara moja na apandishwe Kizimbani.
 
Ni ndugu na Mnishi yule mpiga kodiani na kuimba Moshi
 
Nyoko nyoko labda Kamishina ushuzi na wazenji kwa kujamba hawajambo, Hana sifa ya kuwa IGP
 
Wapinzani walitii Amri kwa kuanza kupanda Makarandinga lakini BILA SABABU Afande Awadhi akaanza kuwapiga.

BILA SABABU!

Ili kurudisha HOPE Raisi Samia amfukuze kazi huyu Kamanda mara moja na apandishwe Kizimbani.
Unayo matumaini sana na huyo Rais wako Samia, sijui huwa matumaini hayo unayatoa wapi!

Mkuu, 'imhotep'; Kamanda Juma Awadh hawezi kuwapiga/washambulia viongozi wa CHADEMA bila sababu. Ni dhahiri anazo sababu za kufanya hivyo.
 
Huyu ni kada wa chama cha mapinduzi...anahusika na uenezi wa chama na kuhujumu upinzani
 
Nakumbuka nikiwa na Coster zangu daladala, siku moja dereva wangu akanipigia simu amekamatwa na traffic pale American Chips.
Nilipofika mkubwa mmoja Toka Oyster Bay akaniambia bila laki hutoki na mengineyo, nilikuwa na elfu themanini na tano jamaa akachukua nikarudi nyumbani na baadaye nikauza magari yangu na kuachana na biashara kichaa
Disclaimer: Hii haiusiani na mada hapo juu bali soga tuu.
 
Mpaka hapa kwa CV hii bwana kingai haingii,hata umri hampati,kingai mtoto mdogo wa depo ya 2000.

Enzi za ukuu wa traffic kinondoni alikuwa maarufu sana,maana asikushike umetanua,ni ndani.
 
Hawezi kupewa huyu. Hana utulivu na ni mbabe na mtu wa mabavu. Usione sasahivi katulia sababu ameshakuwa kamishna. Nafasi ya IGP inahitaji kichwa kilichotulia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…