Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
Hilo genge lina vitunguu?Najua Hilo, sema nachangamsha genge tu🤒
Kaka mbona series za Korea una zikubali, Ila hutaki kumu appreciate mwamba, 😁🤣 😂Baada ya kuona picha mtu anapambana na tembo kimasihara hivyo nikajua tu kuwa ni Chai.
DannionGlenn wa zamani kachange ID sasa hivi nani ?
Yeah kafanya hivyo, coppy cat hawaHuyu kajiunga Alhamisi ni ID tofauti ,ukisearch glenn haji wa zamani anakuja huyu conclusion hapo Glenn wa zamani labda kachange user name na mwamba akadaka chap.