Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
Nisamehe mkuu, ni kweli mimi ni Glenn mpya, jamaa anajiita Dannion.Huyu kajiunga Alhamisi ni ID tofauti ,ukisearch glenn haji wa zamani anakuja huyu conclusion hapo Glenn wa zamani labda kachange user name na mwamba akadaka chap.
Alinifuata pm kuwa nisiitumie id hii, nimemuomba nibaki nayo lakini sitaitumia vibaya,nasuiria jibu lae, akigoma nitaichia mkuu