Je, huyu ndiye mwamba wa Afrika kwa sasa?

Je, huyu ndiye mwamba wa Afrika kwa sasa?

Naona ndugu yako anafunga ndoa
 

Attachments

  • Screenshot_20231008-164345_1.jpg
    Screenshot_20231008-164345_1.jpg
    44.1 KB · Views: 3
Leo ndo nimeamini kuishi mbali na wife huku ukitekeleza maandiko sio jambo la afya kwa mwanaume. Eti kuna picha hapo imenifanya nidinde!! Na leo pia ndo nimebaini nilikuwa sahihi kwa 100000% kukataa kwenda seminari.
 
Katika siku za hivi karibuni, nime kuwa niki kutana na Picha za huyu mwamba.
👉 akiwa ana Pigana na wanyama was ardhini au hata majini.

Jamaa ana pigana kwa Uwezo mkubwa. wanao mjua watu ambie je ni mtu wa wapi???
👉Ona mfano wa mapigano yake🤔🤒

Kwa Sasa Africa, tuna kila sababu ya kujivunia. Kilicho baki ni kupata mapambano tu🤒.

View attachment 2774641View attachment 2774643View attachment 2774645View attachment 2774646View attachment 2774647View attachment 2774648View attachment 2774650View attachment 2774651View attachment 2774652View attachment 2774653View attachment 2774654View attachment 2774655View attachment 2774656View attachment 2774657View attachment 2774658View attachment 2774659View attachment 2774660View attachment 2774662View attachment 2774663
Photoshoped
 
Back
Top Bottom