Hapo sasa. Aiifunga nani nchi ikafungikaAfunguae? Ilikuwa imefungwa?
2025 badamu batamwagika aminiAwamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama.
Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni.
Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
View attachment 2132065
View attachment 2131649View attachment 2131650
Mbona povu sana..yani umeandika vihoja baadala ya hoja.Kusafiri kwa Mama na Vasco Dagama km unavo muita, ni kuthaminiwa adhimu sana, ....huwezi mtu yeyote pata mwaliko ukiwa mjingamjinga ivi tu!!! hii ni dhamana ya nchi ile anayo kwenda kule,,
kwa akili zako za shule ya kata hiyo unadhani ni hela yako ya Madafu, iliyo jaa majasho ya kulima mchicha Bonde la Msimbazi. ambayo hata kodi hulipi unashindia bondeni msimbazi kukwepa na kuogopa --kamata kamata ya kodi!!
wewe umeweka tu naniliu yako hiyo nyuma ya key board yenye Rubber band tano hapo hujui kitu!! ngoja wenye akili tukuelimishe!! kinacho msafirisha Mama ni tunu yake ya jinsi alivo yeye km yeye!! pamoja na akili zake! Busara zake! Hekima zake! mchango wake!!
Yaani kifupi hawa wa hivi! ni maajaliwa tena mnooo na jumuia za kimataifa!! utameza chupa bureeee!! hata Mama akitoka kwenye kiti hicho leo, atakula shavu Dodo, kwenye jumuiya za kimataifa na alianza kitambo sana tu kujulikana kiivo!!
si unamuona yule demu katotot ka Malecela kalivo pangua gia pamoja na mtima nyongo wa jiwe?? so!! Mama kukubalika kimataifa! ni km ilivo kuwa kwa binti malecela !
kwa hiyo anaalikwa na wao! kwa hela zao! kwa ndege zao, chakula chao, Magari yao Hotel zaoo!!! akawagawie busara bure wewe Mkaanga chips na muuza mchicha unalialia nini?? unatujazia saver tu hapa bureee!...ni wazi pasi shaka kuwa....
Wewe hata, Chrismass, kitcheni party, Birth day tena za jiranizako, za ndugu zako, rafikizo ulio soma nao, pamoja na kuwapa michango yako ya hela taslimu!! hualikwagi ng'ooo, unaonekana kirahisi sana,
labda uwalie timing katkati ya sherehe, kama mie muongo kataa!! pamoja na kutoa michango yako miingi kufanikisha shughuli hiyoi!!
maajabu ukiwashtua sasa??? ''jamani inakuwaje? mbona ivi? utajibiwa kirahisi tu ''shemeji tulikusahau jamani tuwie radhi'' .....kuna sufulia ya pilau imebaki ngoja tukupakulie ukale na watoto'' ndo mkoga hivi!
Mwaliko wa Mama! Vasco D. ni wao km wao! Nyotaile Babu weye!!! na huyo Vasco bado mpaka leo ni mialiko tu kwa kwenda mbele!! ukiona vepe saga chupa kunywa!! Jiwe hakuwahi kualikwa akanuna akawa anamzodoa!! Boss wake wa zamani!!
wakati wote walikuwa Mawaziri bila hiana huyo Vasco dagama akamuweka jiwe kwenye Baraza lakela Mawaziri bila hiana, kuumbe jiwe alikuwa nyoka tu yule!!! anamzodoa Mzee wawatu!...
Taaangu akiwa Bulldozer Jiwe hakuwahi kuitwa popote asiwazuge kwa sababu hkn aliye taka kimeo!! hata sura yake tu ilifubaa!!..anagalia vasco dagama alivo changamkiwa pale south!! kuliko jiwe !!! Piga ua galagaza....Mmama kazia hapo hapo!!! wapelekeee!! wapelekeee!!
Mki ---Mind...Ardhi ipo!! itawameza tu!!.... mwendo mdundo Mwake humo humoooo!!!!!!! mwana!!!!!! hakuna kupindisha!!!!! Moto mchibuyu!!!!! Mama ni sisi na sisi ndo Mamaaa!!! Aksante Zanzibar!!!
Unahangaika bure,hakuna ziara ya hasara kama unakereka hamia UkraineAwamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama.
Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni.
Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
View attachment 2132065
View attachment 2131649View attachment 2131650
Kwanza ni sifa njema kufananishwa na Vasco Da gama,mvumbuzi mashuhuri..Huyu ni zaidi ya Dagama
Ni kweli kabisa uko sahihi!! ,........ kwa akili hizi zangu navo zijua ningeshangaa sana kama wewe hasa ungeelewa falsafa zangu adimu hizi lazima uwe na mtizamo wa ki ivo!! kwa sababu ya uelewa wako! naamini si rahisi hata kidogo!!Mbona povu sana..yani umeandika vihoja baadala ya hoja.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani tena Mvumbuzi wa Dunia!!! heee!! na huyu tulimsoma madarasa ya chini hukoooo!! tukiwa wadogo sana ndo uone sasa ukweli tuanao piga kelele kila siku wa matokeo ya shule za kata zilizo kuwa zimesheheni walimu wa UPEKwanza ni sifa njema kufananishwa na Vasco Da gama,mvumbuzi mashuhuri..
Vasco alikuwa hazuruli Mzee.
Walikuwa useless kama Hawa wa Sasa wanaosema Samia mzurulaji..Yaani tena Mvumbuzi wa Dunia!!! heee!! na huyu tulimsoma madarasa ya chini hukoooo!! tukiwa wadogo sana ndo uone sasa ukweli tuanao piga kelele kila siku wa matokeo ya shule za kata zilizo kuwa zimesheheni walimu wa UPE
yaani hao waalimu walikuwa full drs la saba failures!! ..walo kuwa watoro, wakorofi, wezi wa viazi vya wana kijiji walipo upata ualimu huo wa Upe basi wao zilikuwa ni kuchalaza fimbo tuuu kwa kwenda mbele bila reasons kina Daniel Mgaya kijijini huko!
kwa akili zao kabisaa bila kumung'unya maneno walivo fundishwa huko katani kwao eti wanaamini Vasco Da gama alikuwa hana maana Mzururaji tu!!....hata Fort Jesus hawaijui! ..jamani yaani nvoona hapa!! wenye akili wanapoteza..
haya basi wameshawa elimishwa basii!! haya wajirekebishe ili wakasome tu upya!! pia hawataki!! hawataki wanasema ooh! povu!! sasa sijui tuwasaidieje ...yaani mtu anabishia hata ujinga wajameni!!...
Ukibadili herufi moja tu umekwenda na majiTulia wewe mama afungue nchi
Yaani rais hajafika hata nusu ya nchi zote duniani tayari mshaanza kulia lia.Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama.
Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni.
Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
View attachment 2132065
View attachment 2131649View attachment 2131650
Sawa mkuu lakini tatizo letu la msingi kama taifa ni nini???? Kwa nini tusingetumia hizo hela government expenditure zinazochochea uchumi? Kwa sababu ukiniuliza hayo madara yatarudishaje hela sijui. Mi nilitegemea wachumi aliowateua wangemshauri
Wamejifidia nini? Tupe ushahidi kwamba wamejifidia? Acheni fukra potofu kuzusha mambo bila ushahidiTumepigwa. Hata haelewi kuwa anatangulizwa huko ili huku wajanja wajifaidie. Kiujumla yuko kama hayupo tu. Kuna watu ndio wameshika usukani.
Punguza chuki ndugu yangu hazisaidiiAnapenda kutembea tu huko majuu hakuna cha zaidi
Wamejaa chuki, hawahoji matokeo wao wanahoji safari tuTatizo safari au matokeo ya safari?
Hoja ya kipumbavuAwamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama.
Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni.
Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
View attachment 2132065
View attachment 2131649View attachment 2131650