Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

Kusafiri kwa Mama na Vasco Dagama km unavo muita, ni kuthaminiwa adhimu sana, ....huwezi mtu yeyote pata mwaliko ukiwa mjingamjinga ivi tu!!! hii ni dhamana ya nchi ile anayo kwenda kule,,

kwa akili zako za shule ya kata hiyo unadhani ni hela yako ya Madafu, iliyo jaa majasho ya kulima mchicha Bonde la Msimbazi. ambayo hata kodi hulipi unashindia bondeni msimbazi kukwepa na kuogopa --kamata kamata ya kodi!!

wewe umeweka tu naniliu yako hiyo nyuma ya key board yenye Rubber band tano hapo hujui kitu!! ngoja wenye akili tukuelimishe!! kinacho msafirisha Mama ni tunu yake ya jinsi alivo yeye km yeye!! pamoja na akili zake! Busara zake! Hekima zake! mchango wake!!

Yaani kifupi hawa wa hivi! ni maajaliwa tena mnooo na jumuia za kimataifa!! utameza chupa bureeee!! hata Mama akitoka kwenye kiti hicho leo, atakula shavu Dodo, kwenye jumuiya za kimataifa na alianza kitambo sana tu kujulikana kiivo!!

si unamuona yule demu katotot ka Malecela kalivo pangua gia pamoja na mtima nyongo wa jiwe?? so!! Mama kukubalika kimataifa! ni km ilivo kuwa kwa binti malecela !

kwa hiyo anaalikwa na wao! kwa hela zao! kwa ndege zao, chakula chao, Magari yao Hotel zaoo!!! akawagawie busara bure wewe Mkaanga chips na muuza mchicha unalialia nini?? unatujazia saver tu hapa bureee!...ni wazi pasi shaka kuwa....

Wewe hata, Chrismass, kitcheni party, Birth day tena za jiranizako, za ndugu zako, rafikizo ulio soma nao, pamoja na kuwapa michango yako ya hela taslimu!! hualikwagi ng'ooo, unaonekana kirahisi sana,

labda uwalie timing katkati ya sherehe, kama mie muongo kataa!! pamoja na kutoa michango yako miingi kufanikisha shughuli hiyoi!!

maajabu ukiwashtua sasa??? ''jamani inakuwaje? mbona ivi? utajibiwa kirahisi tu ''shemeji tulikusahau jamani tuwie radhi'' .....kuna sufulia ya pilau imebaki ngoja tukupakulie ukale na watoto'' ndo mkoga hivi!

Mwaliko wa Mama! Vasco D. ni wao km wao! Nyotaile Babu weye!!! na huyo Vasco bado mpaka leo ni mialiko tu kwa kwenda mbele!! ukiona vepe saga chupa kunywa!! Jiwe hakuwahi kualikwa akanuna akawa anamzodoa!! Boss wake wa zamani!!

wakati wote walikuwa Mawaziri bila hiana huyo Vasco dagama akamuweka jiwe kwenye Baraza lakela Mawaziri bila hiana, kuumbe jiwe alikuwa nyoka tu yule!!! anamzodoa Mzee wawatu!...

Taaangu akiwa Bulldozer Jiwe hakuwahi kuitwa popote asiwazuge kwa sababu hkn aliye taka kimeo!! hata sura yake tu ilifubaa!!..anagalia vasco dagama alivo changamkiwa pale south!! kuliko jiwe !!! Piga ua galagaza....Mmama kazia hapo hapo!!! wapelekeee!! wapelekeee!!

Mki ---Mind...Ardhi ipo!! itawameza tu!!.... mwendo mdundo Mwake humo humoooo!!!!!!! mwana!!!!!! hakuna kupindisha!!!!! Moto mchibuyu!!!!! Mama ni sisi na sisi ndo Mamaaa!!! Aksante Zanzibar!!!
Mbona povu sana..yani umeandika vihoja baadala ya hoja.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona povu sana..yani umeandika vihoja baadala ya hoja.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa uko sahihi!! ,........ kwa akili hizi zangu navo zijua ningeshangaa sana kama wewe hasa ungeelewa falsafa zangu adimu hizi lazima uwe na mtizamo wa ki ivo!! kwa sababu ya uelewa wako! naamini si rahisi hata kidogo!!
 
Kwanza ni sifa njema kufananishwa na Vasco Da gama,mvumbuzi mashuhuri..

Vasco alikuwa hazuruli Mzee.
Yaani tena Mvumbuzi wa Dunia!!! heee!! na huyu tulimsoma madarasa ya chini hukoooo!! tukiwa wadogo sana ndo uone sasa ukweli tuanao piga kelele kila siku wa matokeo ya shule za kata zilizo kuwa zimesheheni walimu wa UPE

yaani hao waalimu walikuwa full drs la saba failures!! ..walo kuwa watoro, wakorofi, wezi wa viazi vya wana kijiji walipo upata ualimu huo wa Upe basi wao zilikuwa ni kuchalaza fimbo tuuu kwa kwenda mbele bila reasons kina Daniel Mgaya kijijini huko!

kwa akili zao kabisaa bila kumung'unya maneno walivo fundishwa huko katani kwao eti wanaamini Vasco Da gama alikuwa hana maana Mzururaji tu!!....hata Fort Jesus hawaijui! ..jamani yaani nvoona hapa!! wenye akili wanapoteza..

haya basi wameshawa elimishwa basii!! haya wajirekebishe ili wakasome tu upya!! pia hawataki!! hawataki wanasema ooh! povu!! sasa sijui tuwasaidieje ...yaani mtu anabishia hata ujinga wajameni!!...
 
Yaani tena Mvumbuzi wa Dunia!!! heee!! na huyu tulimsoma madarasa ya chini hukoooo!! tukiwa wadogo sana ndo uone sasa ukweli tuanao piga kelele kila siku wa matokeo ya shule za kata zilizo kuwa zimesheheni walimu wa UPE

yaani hao waalimu walikuwa full drs la saba failures!! ..walo kuwa watoro, wakorofi, wezi wa viazi vya wana kijiji walipo upata ualimu huo wa Upe basi wao zilikuwa ni kuchalaza fimbo tuuu kwa kwenda mbele bila reasons kina Daniel Mgaya kijijini huko!

kwa akili zao kabisaa bila kumung'unya maneno walivo fundishwa huko katani kwao eti wanaamini Vasco Da gama alikuwa hana maana Mzururaji tu!!....hata Fort Jesus hawaijui! ..jamani yaani nvoona hapa!! wenye akili wanapoteza..

haya basi wameshawa elimishwa basii!! haya wajirekebishe ili wakasome tu upya!! pia hawataki!! hawataki wanasema ooh! povu!! sasa sijui tuwasaidieje ...yaani mtu anabishia hata ujinga wajameni!!...
Walikuwa useless kama Hawa wa Sasa wanaosema Samia mzurulaji..

Ila kwa kuwa wanamfananisha na Vasco basi ni heshima kwa SSH 👇

Screenshot_20220226-223726.png
 
Yule hakusafiri mkasema saana sasa huyu anasafiri tena mnalalamika mnataka nini sasa?
 
Tumepigwa. Hata haelewi kuwa anatangulizwa huko ili huku wajanja wajifaidie. Kiujumla yuko kama hayupo tu.

Kuna watu ndio wameshika usukani.
 
Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama.

Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni.

Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
View attachment 2132065
View attachment 2131649View attachment 2131650
Yaani rais hajafika hata nusu ya nchi zote duniani tayari mshaanza kulia lia.

Mwacheni apige misele. Anaturahisishia sana utambulisho wetu!!
 
Sawa mkuu lakini tatizo letu la msingi kama taifa ni nini???? Kwa nini tusingetumia hizo hela government expenditure zinazochochea uchumi? Kwa sababu ukiniuliza hayo madara yatarudishaje hela sijui. Mi nilitegemea wachumi aliowateua wangemshauri

Tumepigwa. Hata haelewi kuwa anatangulizwa huko ili huku wajanja wajifaidie. Kiujumla yuko kama hayupo tu. Kuna watu ndio wameshika usukani.
Wamejifidia nini? Tupe ushahidi kwamba wamejifidia? Acheni fukra potofu kuzusha mambo bila ushahidi
.
Kwani tulikua hatusafiri ila
1.kuna wanafunzi bado walikua wanakaa kwenye madarasa ya miti,
2.watu walikua bado wanasafiri zaidi ya km5 kufuata huduma ya afya

3. Bado mbanano upo kwenye shule za kata na hakuna shule za kata mpya zilijengwa mpaka sasa

4. Maji mfano kule Musoma vijijini bado yalikua yanatoka kwa shida

5. Kigoma na kagera mf ngara kulikua na tatizo la maji
 
Back
Top Bottom