Je, ikitokea Hayati Magufuli kafufuka nini kitatokea?

Ikitokea Nyerere je???...
 
Lengo la Uzi ni ulinganisho wa yale yaliyokuwa yakifanyika chini ya Utawala wake na haya yanayoendelea hivi sasa.
Subiri ufufuo wa Yesu..hizo nyingine ni chai tu za kijiweni..hawezi fufuka full stop [emoji23][emoji119]
 

Afufuke kwa ajili gani? Kwanini Mengi asifufuke au mitume?
 
Atakufa tena.....
 
...Ile LNG imeshawasili kwenye ile address, uwezekano wa kufufuka tena haupo
 
Kwani ana hati milki ya nchi hii?
 
Haya ni mawazo kwa sukuma gang wote kwamba akili zenu bado zinafikiria "kulamba asali" kama unavyosema mwenyewe kwa sababu Nchi ilibaki ni ya WasuK tu , hali inayopelekea kutokuamini BABA yenu ndio kweli hawezi kurudi ?, Ili ujiridhishe we waulize wazee wenu mtu akishakufa huwa yu arudi?,labda kama yupo na jamaa zake WASIOJULIKANA, Ila kukuridhisha kama unaota atarudi basi akionekana tu anakwenda lockup kesha mahakamani akajibu matuhuma yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…