Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Hahahahhaa..nimecheka..dah..akili za wabongo zinatutosha wenywetatizo sio kuzikwa tatizo umewafanyia nini watanzania wanao kuzika. kuzika hata Mkimzika kwa saa 1 au siku 20 ni juu yenu. Je kawafanyia nini watu wake.
Huyo jamaa kamtaja Maalim Seif! Ndiyo maana nikamuuliza hizo siku na maeneo aliyo zungushwa.Hakua Rais kamili. Tolea mfano mkapa mlilalamika sana alivyoagwa siku tatu Taifa. Nyerere alizungushwa pia
Ninavyofahamu ni kuwa hata akiwa muislam akifariki lzm itifaki za Marais wanavyofanyiwa ni lzm yafuatwe lbd tu tofauti wanaweza wasimfunie tu watu wakaaga.Ninahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu?
Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake? Mf rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?
Kuna mtu unamchulia?Ninahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu?
Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake? Mf rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?
Huyo jamaa kamtaja Maalim Seif! Ndiyo maana nikamuuliza hizo siku na maeneo aliyo zungushwa.
Halafu kuhusu Mkapa, tulilamika wapi! Maana kwangu naona ilikuwa sahihi tu! Sikusikia akipelekwa Lushoto nyumbani kwake, Dodoma Makao makuu ya Nchi, nk! Aliagwa alipofia (Dsm) na baadae kusafirishwa kwenda Mtwara kijijini kwake, na kuzikwa! Na kuhusu Nyerere alizungushwa mikoa gani? Unaweza tu kunikumbusha.
Mimi kama mimi, siwezi kulalamika kwa nini marehemu hazungushwi kila sehemu/Mkoa kama alivyo fanyiwa magufuli! Kwa mtazamo wangu, hii mizunguko aliyofanyiwa Hayati Magufuli, ni mateso tu kwake na pia familia yake! Na hasa mke wake.Mkapa alikua mstaafu hivyo wazenji hawakupata nafasi ya kutaka nao wapelekewe mwili ndo maana hata alipofariki watu hawakulalamika kunyimwa nafasi ya kumuona. Mlilalamika hapa hapa JF fukua nyuzi utaona.
Kuhusu nyerere hizoo picha zakeView attachment 1734621hayakumbuka mkuukwa hio picha
Nilitaka uniaminishe kuwa mungu yupo au laa!Sijawahi kumuona, si hadithi za kufikirika.
Lengo la maswali yako ni nini haswa ili tufikie muafaka?
Mimi kama mimi, siwezi kulalamika kwa nini marehemu hazungushwi kila sehemu/Mkoa kama alivyo fanyiwa magufuli! Kwa mtazamo wangu, hii mizunguko aliyofanyiwa Hayati Magufuli, ni mateso tu kwake na pia familia yake! Na hasa mke wake.
Inatakiwa mtu akifa, pasipo kuangalia wadhifa wake, azikwe mapema. Na sidhani kama ni lazima kila mtu kumuona akiwa ndani ya jeneza.
Kwani kiu unakata kwa kumshangaa marehemu??Ila inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.
Sabbau ya msingi ya kumchelewesha marehemu na kumzungusha Kama gari bovu Ni Nini?? Yaan nn tumepqta kama taifa kwa kumfanyisha ziara marehemu??Unaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.
Nipe kitu chenye mashiko like, why so necessary
Listen wewe mbuzi, kaanzishe uzi wako.Nilitaka uniaminishe kuwa mungu yupo au laa!
Yaani mbembelezw muungano kwa mwili wa marehemu?? Mwenyewe alisema anataka afanywe hivyo?? Nadhn nashukuru si ndugu yangu vinginevyo angekiwa ndugu yangu ningeweka historia ktk taifa!!,huwez mzungusha marehemu Kama sanamu la maonesho kwa faida zenu mnaobaki,yy kashamaliza ya duniani,Ni Haki yake kupumzika haraka,kwanza hata wafiwa wanapata faraja mapema ndugu Yao anapohifadhiwa,siku zote za kumzungusha Ni kuwaongezea majonzi wanafamiliaMkuu wakristo tumeshazoea haya mambo. Familia yake itakua imeelewa. Na bora hakua mjaluo maana wale wanakaa hadi mwezi hawajazika.
Hio mikoa waliyomzungusha kwanza dar ndipo alipofia,dodoma alipapenda,zanzibar kubembeleza muungano. Mwanza njia ya kwenda kwao chato. Kingine Hayati alipendelea usafiri wa barabara kuliko ndege kama alipokua hai alizunguka nchi nzima kwa gari na hakuchoka sembuse akiwa mfu
Sasa hiyo kiu ndio inamrudisha, aliyekufa kafa, hata tumlilie dunia nzima..Ila inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.
Ila inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.
Katika watu walipata wakati ngumu ni mama Janet aisee. Ile video ya Dodoma mpaka anapiga piga kiti ina maumivu makubwa sanaBinadam akishafariki hana jipya hata mkikaa nae mwaka mzima hakuna kitakachobadilika...naunga mkono mtu akifa chap azikwe ..kuondoa gharama,kufuru na machungu ya familia pia kupisha shuguli zingine ziendelee...Nadhani siku 3 zinatosha kwa shuguli nzima kwa Rais
Akisha kufa kafa na anakuwa maiti kama ya kiumbe chochote chenye uhai kikifa, maiti haina thamani hata ukitaka kuipa thamani bado itabaki maiti tuu , hivyo hata ukitaka kizika baada ya siku 360 haitabidili kwamba naye ni mfu kama wafu wengine.Takwa la Mungu ni bora kuliko Kiu ya kiumbe chochote achana na baadhi ya wanafiki.
Hakuna bora ktk kumridhisha kiumbe na kumuasi muumba.
Kwani Protocal ya mazishi inasemaje kiongozi wa nchi akifariki? Familia na dini ya kiongozi inahusishwa au wanaamua wenyewe kiserikali.Ninahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu?
Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake? Mfano Rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?