Je, ikiwa Mrusi na Mchina wakiungana kijeshi kutaka kum-maliza Mmarekani kivita itachukuwa muda gani?

🤣🤣🤣 Hawana mitambo imara kama ya mrusi. Kwenye suala la anga mrusi anatisha sana. Mitambo ya NATO si ndio kama ile anayoitumia mwizirael? Ambayo maroketi ya kienyeji yanapenya kiulaini tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawana mitambo imara kama ya mrusi. Kwenye suala la anga mrusi anatisha sana. Mitambo ya NATO si ndio kama ile anayoitumia mwizirael? Ambayo maroketi ya kienyeji yanapenya kiulaini tu
Iron dome ndie imestiwa na angalau tuliona ni kiasi gani inaweza kufanya kazi, hii ya Mrusi drones za kawaida zinapenya vizuri tu na ndizo zilizoleta madhara mengi kwa Mrusi. Ingawaje pia najua nchi za NATO zina aina nyinginyingi za air defense systems.Haya machuma bila kuyaona kwenye real time yanaweza kukupa matumaini ya uongo.
 
Yaani stori za humu utacheka ufe

Kwamba ukraini kamzuie Mrusi hivyo watu Wana mashaka na uwezo wa urusi kivita

Wakati huo urusi akitaka kupiga anatoa taarifa kesho napiga sehemu flani watu waondoke (sasa hapo ni vita Ama kumfunza mtu adabu)

Kama kweli ukraini anatoa upinzani si NATO aingilie kumaliza mchezo maana urusi hana uwezo

NATO mwenyewe anaogopa, anajua kwamba mambo yatakuwa makubwa zaidi ya pale ila sisi wabongo ndo tunaona urusi hana jipya
 
Ukraine ametoa funzo kubwa sana la vita, Urusi kamzidi tu kwenye aerial battle, ila mtu mzima alikuwa anaaibika hapa.
Kumbuka Ukraine nao wapo baadhi wana asili ya Russia so wana ile spirit ya kupambana kama ilivyo kwa Warusi.
Isitoshe wao wanapigana kufa ama kupona kuzuia warusi wasiwatalawe
 
Ninavyofahamu Mimi nchi za Urusi, China, Iran, North Korea, Venezuela na Cuba zimeingia makubaliano ya kulindana endapo ikitokea nchi Kati ya hizo itavamiwa kijeshi katika Ardhi zao, na ndiyo maana USA kila mwaka anagonga mwamba kumvamia Iran na North Korea..! Maana mziki wa Mrusi aliokutana nao kule Syria ilibidi atulize makalio chini na hatamani kabisa kuingia katika mgogoro wa Ukraine zaidi ya kuweka sanctions tu..! Na Putin kapiga ban importation zote za goods nchini Urusi kuzuia biochemical weapons vimeta na virus kuingia nchini kwake

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
NATO aingilie wapi wakati Ukraine anamtoa kamasi mtu mzima Putin.
 
Nafikiri Ukraine analindwa na Mungu mwenyewe.
Sio kwa sifa anazopewaga Russia
 
WAKUU HIVI, HIVI VITU VIMETENGENEZWA NA BINADAMU AU NI VYA SAYARI NYINGINE?
Wakati sisi tunajitahidi kwa majungu ya sisi kwa sisi wenzetu wanashika tama kuwaza vitu vipya
 
Putin anahatarisha uhai wake zaidi.
Anataka kuhitimisha zama zake vibaya..na nakuapia hawatamuacha aende kuzimu kwa amani...wameshamuona kuwa akili yake ina uchizi kwa kuhatarisha amani ya dunia
 
Nikwambie kitu katika nchi ambayo imehakikisha ina uwezo wote wa ndege vita ni Us na sio propaganda na pia sikuingia deep kuhusu usalama na capabiiity ya hizi carrier nakwambia jamaa wameinvest hatari google utapata mengi wether you like it or not.
Pro Russia huwawezi kubishana nao mkuu
 
Mkuu acha ulofa basi??? 2000kg ni gunia 2 tu
 
NATO aingilie wapi wakati Ukraine anamtoa kamasi mtu mzima Putin.
Huoni ndo ulikuwa muda mzuri wa NATO kuingilia na kummaliza urusi

Kwani NATO hawapendi urusi ashindwe hiii vita, mbona wanaishia kutoa silaha tu na sio msaada mkubwa zaidi wa kummaliza urusi.

Lini umesikia vita inapigwa mtu anatoa taarifa raia ondokeni wiki hii ntapiga sehemu flani
 
Lini hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo kiduku anarusha makombora ambayo wenzie wanayo toka miaka ya tisini[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwanini USA iweweseke hadi kuweka kikao na Kiduku ikimsihi asitishe kuzalisha hayo makombora ikiwa yeye tayari anayo, unadhani hayahofii juu ya usalama wake[emoji848][emoji847]
 
In a Day kama alivyofanya US na mashoga zake kule IRAQ ba LIBYA eeeh
 
sio wamekataa hakuna mtu anaeweza kuweka no fly zone sehem ambayo kuna RUSSIA
US walipambana na IRAQ akiwa pekee walimuangusha kwamuda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…