Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #21
Huyu atakuwa amepanda ndege kwa mara ya kwanza hivi karibuni, achana nae. Si unaona siku amepanda ndege hata akaweka avatar yake picha ya ndege? NI limbukeni wa ndege tu ndio atafanya kitu kama hichokuna watanzania wangapi wenye uwezo wa kusafiri kwa ndege kutoka Dar kwenda Kigoma? unawaita watu vilaza wakati wewe na huyo aliyenunua ndege ni vilaza wa kutupwa?
unadakia kila jambo mengine hata huyaelewi we una jilamba midomo tu
hovyooo