Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #21
Huyu atakuwa amepanda ndege kwa mara ya kwanza hivi karibuni, achana nae. Si unaona siku amepanda ndege hata akaweka avatar yake picha ya ndege? NI limbukeni wa ndege tu ndio atafanya kitu kama hichokuna watanzania wangapi wenye uwezo wa kusafiri kwa ndege kutoka Dar kwenda Kigoma? unawaita watu vilaza wakati wewe na huyo aliyenunua ndege ni vilaza wa kutupwa?
unadakia kila jambo mengine hata huyaelewi we una jilamba midomo tu
hovyooo
Kwa maelezo yako haya wewe ni kilaza haujawahi kukanyaga airport hata siku moja.
Hili suala linanipaga wasiwasi sana kuhusu hujuma ktk SGR manake kuna watu wataathirika sana kama SGR ikiwa vzr hivyo sidhani kama watakubali kirahisiWanasiasa wana mikopo bank, wamekopa pesa nyingi kununua mabus. Ukiweka train za uhakika utawafanya wafe na ugonjwa wa moyo
KabisaWanasiasa wana mikopo bank, wamekopa pesa nyingi kununua mabus. Ukiweka train za uhakika utawafanya wafe na ugonjwa wa moyo
Kumbe ilihitajika akili ndogo sana kuturahishia usafiri sisi watu wa kigoma. Enwei bado tuna muda wa kujifikiria, tuuze ata ndege moja ilitue na usafiri wa at least Mara NNE kwa week dar-kigomaKichwa cha treni ya umeme ni kama USD 3M
Behewa la abiria ni kama USD 1,300,000
Behewa la abiria la ghorofa ni kama USD 1,600,000
Behewa la kulala USD 1,600,000
Buffet car ni USD 2,000,000
Uhai wake ni kama miaka 25, na gharama za kuendesha (maintanance cost) ni ndogo sana kulinganisha na ndege
Bei ya Dreamliner moja ni kama USD 250m
Kwa hiyo Dreamliner moja inanunua mabehwa 190 ya kukaa, au 155 ya kulala, au vichwa 80 vya treni za umeme
Lakini si ndo hao hao walikuwa wanazisifia. Hasa walipoambiwa wachungulie angani kuziona zikipitaaa??👀👀 Au wenyewe wanasemaje??View attachment 2447439
Tunapoongelewa kunufaisha Watanzania wote, ni kufanya vitu kama hivi, sio kununua Dreamliner. Hawa abiria wananufaikaje na hizo Dreamliner zilizopaki?
Hivi Mkuu hizo ndege zipo au zimekuwa kama vichwa vya treni na mabehewa??udhaifu kwenye usimamizi wa taasisi nyingi za serikali ndo maana ATCL inasusua.
lakini kimsingi ndege na mabehewa vyote ni muhimu.karne ya 21 nchi inakosaje kuwa na flag carrier airline?.
nchi ndogo na changa kama Rwanda wana ndege na zinafanya kazi vizuri kwasababu ya uimara wa mifumo ya serikali ya Rwanda.Tanzania kama nchi imefeli,hata iyo reli ni mabehewa tu ndo mapya ila miundombinu ya reli ni mibovu mara kwa mara tunaona reli zinakatika na mabehewa yanaanguka.
Tusingeweza kuyanu ua wskati ule kwani wenyewe walikiwa bado wanayatumia.Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly, kuna siku ATCL imepata faida ili hata Watanzania wasiopanda ndege wafaidike na mapato yanayoingizwa na hizo ndege?
Siku zote nimefikiria kwamba tuna reli ambayo ndio inafaidisha watanzania wote - wale wanaopanda first class, second class na hata third class. Lakini huduma za reli nchini ziko taabani. Treni ya abiria kwenda Kigoma ni mara mbili kwa wiki - kwa kuwa hatuna mabehewa na vichwa vya kutosha.
Sasa hawa viongozi, huyu Magufuli, alihitaji degree ngapi kutambua kwamba ilikuwa afadhali kununua mabehewa hata 200 na vichwa vya treni vya kutosha ili kurudisha hali ya zamani kwamba treni zinafanya safari za mikoani kila siku? Kweli hilo lisingekuwa bora sana kuliko hizi ndege ambazo kila siku zinapaki bila kufanya kazi au zinakamatwa kwa sababu za mambo ya kilevi tu yanayofanywa na viongozi?
Kwa kuwa tulinunua hizi ndege kwa cash, mie ninapendekeza ziuzwe zote ili tukanunue mabehewa na vichwa vya treni vya kutosha kuanza safari za treni za kila siku na kuwanufaisha Watanzania wa aina zote na kuchangia mapato ya serikali. Hili sio suala la Chadema au CCM, ni suala ambalo viongozi wenye busara wataliona liko wazi kabisa.
nakumbuka mara ya mwisho walitangaza zinafanyiwa service.Hivi Mkuu hizo ndege zipo au zimekuwa kama vichwa vya treni na mabehewa??
Umeandika vema sana, tatizo la nchi yetu ni kukosa vipaumbele kama taifa. Kila kiongozi anakuja na mtazamo wake anafanya anayojua akiondoka anakuja mwingine na mtazamo wake pia!Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly, kuna siku ATCL imepata faida ili hata Watanzania wasiopanda ndege wafaidike na mapato yanayoingizwa na hizo ndege?