Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya CHADEMA dhidi ya Sabaya?

Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya CHADEMA dhidi ya Sabaya?

CHADEMA hupigania haki, hivyo yoyote anayehoji haki anaonekana ni CHADEMA.
Kuna haki ngapi zinakiukwa nchini na chadema wapo kimya.

Kulikoni hii ya Sabaya na ex 'DC wa Hai?
 
Kwa nini walalamikaji wakubwa ni mabosi wa chadema na wafuasi wao mitandaoni?
kwa sababu wengi waliumizwa na matendo yake maovu lakini huwezi kusema kwamba wao ndio walimtoa madarakani na kisha kumshtaki
 
Huenda masikio yako yanachuja cha kusikia, hilo sio kosa lako bali ni aliyekuingiza kwenye hicho kitengo cha propaganda uchwara.
Kwa kuwa wewe ni mmoja wa wanachadema hapa nitakuwa natwanga maji kwenye kinu.

Ila mzizi wa uchungu huu wote tunaujuwa.

Huyu jamaa aliweka rekodi ya kumuweka bechi Mwamba toka mjengoni.
 
kwa sababu wengi waliumizwa na matendo yake maovu lakini huwezi kusema kwamba wao ndio walimtoa madarakani na kisha kumshtaki
Kwani matendo yake yalikuwa yakibagua itikadi za vyama?
 
Kwa kuwa wewe ni mmoja wa wanachadema hapa nitakuwa natwanga maji kwenye kinu.

Ila mzizi wa uchungu huu wote tunaujuwa.

Huyu jamaa aliweka rekodi ya kumuweka bechi Mwamba toka mjengoni.
Hayo ndio matamanio yako kwamba kila mtu awe na machungu.
 
kwa hiyo chadema ndio walimvua udc sabaya na kisha kumshtaki?
Hapa wanachukua chako mapema wamepewa funzo ila Kwa ukichwa maji wao watajimwambafai kama washindi katika hili,hapa wamepewa funzo la kuwa Tanzania ni yetu sote bila kujali Sha tofauti za kiitikadi,kidini,kikabila au cheo Cha yeyote na hili likisimamiwa na awamu wasiyoiamini Wala kuipenda Kwa waliokwamia awamu iliyopita😜
 
Mahamakama ileile iliyomfunga Sabaya miaka 30, ndiyo mahakama ambayo umempa ushindi wa rufaa yake. CHADEMA walifurahi sana awali wakati sabaya ametwangwa miaka 30, lakini jana walilala na majonzi mazito sana Sabaya kupewa ushindi wa rufaa yake.

Niwaombe wawe wavumilivu tu, wakubali matokeo yote ya mahakama, wakati inatoa maamuzi yanayo konga nyoyo zao na yale yanayowakwaza.
 
Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya chadema dhidi ya Sabaya?

Ilianzia jana huko Club House za Twitter ambapo kiongozi mwandamizi wa Chadema ndugu Godbless Lema alitoa povu la kutosha akiituhumu mahakama na mamlaka husika za Kitanzania kutotenda haki...
Alitenda uovu ccm inatumia kila njia kumsafisha ili mwendazake asiendelee kuchafuliwa.
 
Alitenda uovu ccm inatumia kila njia kumsafisha ili mwendazake asiendelee kuchafuliwa.
Je kama ni hivyo inakuwaje Chadema ndio mmeumia zaidi na mnalalamika kila sehemu?
 
Mnaandika nini hiki? Amerudi rumande kwa kesi ya kujibu.
👇
20220507_194928.jpg
 
Anakesi ya cocoriko alilewa akawa anangngania mchumba wa mtu ambae demu kazaa na jamaa ake na wako nae wameoana wiki ilopita saba boy alimpiga mshikaji na kitako cha bunduki jamaa alipata hadi video na kesi imeandikishwa haijasikilizwa hata hii hatoki maana alishika ak
47
 
Back
Top Bottom