Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya CHADEMA dhidi ya Sabaya?

Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya CHADEMA dhidi ya Sabaya?

wakenya wanaamini hiki chama
IMG_6670.jpg
 
Ukiona hivyo ujue hiyo kesi umepigishwa kona kona nyingi mpaka kufikia jambazi kushinda rufaa. Jua tu CHADEMA ni watenda haki. Hapo wanawapigania wengi, hasa wananchi waliozurumiwa na huyo jambazi. Wanazurumiwa haki Yao pia. Hakuna mtetezi mwingine kwa wananchi wanyonge zaidi ya CHADEMA.

Stop please ! Eti Chadema wapigania haki? Ipi. Kuna chama kina matusi kama hicho. Kuna chama kinaponda na kukandamiza uhuru na Demokrasia kama hiki?

Popote walipo binadamu hasa wanasiasa be it CCM , CHadema, Act nk. Neno kupambania haki sahau. Wanapambana kwa ajili yao. Sifa zao. Nenda huko Club House. Ukipata siku hao wanachama wako wanapongeza kwa manufaa ya nchi leta hapa.
 
Kuna watu mpaka saivi wana mahaba ya vyama huwaambii kitu yani hilo gazeti ata liandike utumbo gani!!! Yeye atautetea kwa hali na mali!!!
Hapa ndio ule msemo unaosema "wajinga ndio waliwao" unapofanya kazi vizuri.
 
Nyapara wanaendelea kufaidi.
Heee kumbe kule Lupango mnapapenda sana ili mwende kusuguliwa. Kwahiyo Mhe.Mbowe anaweza kuwa katoka na Mimba kabisaaa au ikoje? Maaana kuna kakikundi ka watu pasipo kwenda Segerea kila mwaka hawajiskii vizuri kuuumbe ndio michezo yenu kuliwa na Manyapara. Leo tumejuaaaa
 
WASIE MPENDA KARUDI- NADHANI JANA MBOWE HAKULALA
Karudi wapi we boya? Ushabiki wenu wa kijinga ndio maana nchi hii watu wanafanya mambo ya hovyo lakini kwa vile wanavaa mashati ya kijani basi mnashangilia kijinga.

Hivi unajua kuwa Sabaya bado yuko gerezani kwa kesi nyingine isiyo na dhamana? Unajua kuwa bado ana kesi nyingine pending kule Kilimanjaro?

Ni upumbavu kushangilia kesi moja kuishinda kwa technicality kwa jambazi aliyeumiza watu kwa vile ni wa chama chako.
 
Back
Top Bottom