Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya CHADEMA dhidi ya Sabaya?

Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya CHADEMA dhidi ya Sabaya?

Wanafurahia kuachiwa watu wao, akiachiwa sabaya wanakuwa na mapovu kama yote kweli siasa mchezo mchafu
 
Haki haijatendeka tangu awamu ya tano ianze na awamu ya sita inarithi upuuzi wa awamu ya sita.
Sasa kama awamu ya nne ilikuwa na HAKI chadema mlikuwa mnatafuta nini kule Mwembeyanga???
 
Sasa kama awamu ya nne ilikuwa na HAKI chadema mlikuwa mnatafuta nini kule Mwembeyanga???
Mwembeyanga mimi siijui ila naijua nchi yangu tu na raia wake pamoja na viongozi wake kama wimbo wa Taifa unavyosema mambo ya Mwembeyanga yapo huko huko.
 
Back
Top Bottom