Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hao ni mavuvuzela tuu yasiyo na lolote zaidi ya kulamba makalioAkina umkhontwewesizwe ,Comte,voicer &co hamtofautiani na hiyo mnae msheherekea[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni mavuvuzela tuu yasiyo na lolote zaidi ya kulamba makalioAkina umkhontwewesizwe ,Comte,voicer &co hamtofautiani na hiyo mnae msheherekea[emoji848]
Una maswali ya kijinga hadi unafanya JF ionekane kama FacebookKwa nini walalamikaji wakubwa ni mabosi wa chadema na wafuasi wao mitandaoni?
Mnaandika nini hiki? Amerudi rumande kwa kesi ya kujibu.
👇View attachment 2215686
Mbowe ndio unaweza kumlinganisha na huyo bwege wako Sabaya? Utakuwa wewe ni taahira!SABAYA vs MBOWE pale HAI ARENA- MBOWE JANA HAJALALA
Na hii ilikuwa term nzuri sana ya kujifunzia! Kwamba kama wewe sio mwana Chadema ni opposite yake, yaani mjinga.Naongezea kaka tindo, mtu yeyote mwenye akili huitwa mwana chadema
Mafanikio ya CCM wilayani Hai ni maumivu kwa CHADEMA.
Sabaya alipambana sana na wabadhirifu wilayani Hai ambao ndio wadhamini wa gaidi na CHADEMA.
No wonder walifurahia hukumu ile ya mchongo na sasa wamefura haki kutendeka.
CHADEMA is a disgrace to our great nation.
Ushindi wa Sabaya si kwamba hakutenda, ushindi unatokana na upande wa mashitaka haukujipanga vizuri kwenye kesi. Wale waliotendewa ninaamini wanayo haki ya kufungua kesi binafsi za kuporwa kwa kutumia ushahidi uleule.Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya chadema dhidi ya Sabaya?
Ilianzia jana huko Club House za Twitter ambapo kiongozi mwandamizi wa Chadema ndugu Godbless Lema alitoa povu la kutosha akiituhumu mahakama na mamlaka husika za Kitanzania kutotenda haki.
Pia wakili wa kujitegemea na kada mtiifu wa chadema, Fatuma Karume yeye alitoa povu lote kupitia DW-SWAHILI.
Ambapo alisema pamoja na ushindi huo, bado kuna nafasi ya kukata rufaa kwenye mahakama ya juu zaidi.
Baadae hali ikawa hivyohivyo kutoka kwa wafuasi mbalimbali wa chadema mpaka sasa.
Kuanzia Twitter,Facebook na hata humu Jamiiforums ni lawama kutoka kwa upande wa Chadema tu.
Tuhuma na kauli zinazoonekana kama vile kukatishwa tamaa kwa Chadema na wafuasi wao,kuhusiana na kushinda rufaa kwa Sabaya.
Je, kumbe ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya Chadema dhidi ya Sabaya?
Ni kwa nini Chadema na waandamizi wake ndio wawe mbele zaidi kwenye malalamiko dhidi ya Sabaya?
Tuwekeni wazi kuhusiana na hili jambo.
Hayo majinga akili zao ni kiduchu sana ndo maana hata hayajui kinachoendelea.Karudi wapi we boya? Ushabiki wenu wa kijinga ndio maana nchi hii watu wanafanya mambo ya hovyo lakini kwa vile wanavaa mashati ya kijani basi mnashangilia kijinga.
Hivi unajua kuwa Sabaya bado yuko gerezani kwa kesi nyingine isiyo na dhamana? Unajua kuwa bado ana kesi nyingine pending kule Kilimanjaro?
Ni upumbavu kushangilia kesi moja kuishinda kwa technicality kwa jambazi aliyeumiza watu kwa vile ni wa chama chako.
MBOWE NI GAIDI TU KWA USHAHIDI NA ATAKUJA AJIBU TUMbowe ndio unaweza kumlinganisha na huyo bwege wako Sabaya? Utakuwa wewe ni taahira!
Mwamba umesingiziwa kesi dunia nzima imejua na kupiga kelele na kujadili sio hapa Afrika tu bali EU hadi America. Mama yenu (kama Presidaa) mwenyewe kuonyesha kuwa mwamba ni mwamba kweli kamuita dakika kadhaa baada ya kutoka mahabusu waongee ampoze kabla hajajaa sumu kutoka kwa wengine. Bado tuu hujaona ukuu wa mwamba? Usipende kulinganisha mtu mashuhuri na vitu vya ajabu
Msiyempenda karudiKarudi wapi we boya? Ushabiki wenu wa kijinga ndio maana nchi hii watu wanafanya mambo ya hovyo lakini kwa vile wanavaa mashati ya kijani basi mnashangilia kijinga.
Hivi unajua kuwa Sabaya bado yuko gerezani kwa kesi nyingine isiyo na dhamana? Unajua kuwa bado ana kesi nyingine pending kule Kilimanjaro?
Ni upumbavu kushangilia kesi moja kuishinda kwa technicality kwa jambazi aliyeumiza watu kwa vile ni wa chama chako.
Hamuwezi mfanya loloteIla ndio mwisho wake kuthubutu kufanya Tena ujambazi
Anatoka jiandaeni tu kisaikolojiaSabaya anaendelea kunyea debe ana vimeo vingi tu atafia jela,
Kwani menyewe anaweza niniHamuwezi mfanya lolote
Kweka aliacha shahidi mwenye ushahidi muhimu asije kufanyiwa cross examination ili kulazimisha hukumu.I'll kesi so kwamba Sabaya Hana hatia ni Mambo ya procedure hayakukaa vizuri. Halafu hakimu ndio alizingua kabisa.
Mtakaa mkijisifu kwa mambo yasiyo na tija sawa na wagonjwa majeruhi walioko hospital.Mbowe ndio unaweza kumlinganisha na huyo bwege wako Sabaya? Utakuwa wewe ni taahira!
Mwamba umesingiziwa kesi dunia nzima imejua na kupiga kelele na kujadili sio hapa Afrika tu bali EU hadi America. Mama yenu (kama Presidaa) mwenyewe kuonyesha kuwa mwamba ni mwamba kweli kamuita dakika kadhaa baada ya kutoka mahabusu waongee ampoze kabla hajajaa sumu kutoka kwa wengine. Bado tuu hujaona ukuu wa mwamba? Usipende kulinganisha mtu mashuhuri na vitu vya ajabu
Ila hao Wajinga ndio wanaendesha nchi ambayo mjanja unalala na kuamka ukisalimia watu bila shida na mambo yakienda...au?Na hii ilikuwa term nzuri sana ya kujifunzia! Kwamba kama wewe sio mwana Chadema ni opposite yake, yaani mjinga.
Ni haki yao kikatiba.Ushindi wa Sabaya si kwamba hakutenda, ushindi unatokana na upande wa mashitaka haukujipanga vizuri kwenye kesi. Wale waliotendewa ninaamini wanayo haki ya kufungua kesi binafsi za kuporwa kwa kutumia ushahidi uleule.