Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya CHADEMA dhidi ya Sabaya?

SABAYA vs MBOWE pale HAI ARENA- MBOWE JANA HAJALALA
Mbowe ndio unaweza kumlinganisha na huyo bwege wako Sabaya? Utakuwa wewe ni taahira!
Mwamba umesingiziwa kesi dunia nzima imejua na kupiga kelele na kujadili sio hapa Afrika tu bali EU hadi America. Mama yenu (kama Presidaa) mwenyewe kuonyesha kuwa mwamba ni mwamba kweli kamuita dakika kadhaa baada ya kutoka mahabusu waongee ampoze kabla hajajaa sumu kutoka kwa wengine. Bado tuu hujaona ukuu wa mwamba? Usipende kulinganisha mtu mashuhuri na vitu vya ajabu
 

the avatar tells all
 
Ushindi wa Sabaya si kwamba hakutenda, ushindi unatokana na upande wa mashitaka haukujipanga vizuri kwenye kesi. Wale waliotendewa ninaamini wanayo haki ya kufungua kesi binafsi za kuporwa kwa kutumia ushahidi uleule.
 
Mbowe anashirikana na ccm kina kikwete sasa upizani unatoka wapi
Mr new culture anatafuta pesa kwa ajili ya wanao na biashara zake ziende vxr huko ngambo

CDM s chama Cha kukiamini
 
Hayo majinga akili zao ni kiduchu sana ndo maana hata hayajui kinachoendelea.
 
MBOWE NI GAIDI TU KWA USHAHIDI NA ATAKUJA AJIBU TU
 
Msiyempenda karudi
 
Una maswali ya kijinga hadi unafanya JF ionekane kama Facebook
Na ujinga na matusi ya wana chadema ndio yameishusha hadi ikawa genge la wahuni ikiwemo wananchi kuwatoa Bungeni.
 
I'll kesi so kwamba Sabaya Hana hatia ni Mambo ya procedure hayakukaa vizuri. Halafu hakimu ndio alizingua kabisa.
Kweka aliacha shahidi mwenye ushahidi muhimu asije kufanyiwa cross examination ili kulazimisha hukumu.
Kama shahidi yule angeletwa mahakamani tangu awali Sabaya angeshinda kesi ile.

Ndio maana hata judgment ya rufaa imekataa retrial.
 
Mtakaa mkijisifu kwa mambo yasiyo na tija sawa na wagonjwa majeruhi walioko hospital.

Aliegongwa na Mercedes Benz akimcheka aliyegongwa na Bajaj ilhali wote wamevunjika miguu!
 
Na hii ilikuwa term nzuri sana ya kujifunzia! Kwamba kama wewe sio mwana Chadema ni opposite yake, yaani mjinga.
Ila hao Wajinga ndio wanaendesha nchi ambayo mjanja unalala na kuamka ukisalimia watu bila shida na mambo yakienda...au?
 
Ushindi wa Sabaya si kwamba hakutenda, ushindi unatokana na upande wa mashitaka haukujipanga vizuri kwenye kesi. Wale waliotendewa ninaamini wanayo haki ya kufungua kesi binafsi za kuporwa kwa kutumia ushahidi uleule.
Ni haki yao kikatiba.

Uliona wapi jambazi anaetoa taarifa kwa mkuu wa wilaya.
Na uliona wapi jambazi ambaye baada ya kupora fedha anawapeleka na kuwakabidhi polisi wale aliowapora?

Kweka alijitahidi sana kumfurahisha baba mkwe ila sheria ni msumeno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…