A Alfan issa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,281 Reaction score 893 May 8, 2022 #81 Wanafurahia kuachiwa watu wao, akiachiwa sabaya wanakuwa na mapovu kama yote kweli siasa mchezo mchafu
Wanafurahia kuachiwa watu wao, akiachiwa sabaya wanakuwa na mapovu kama yote kweli siasa mchezo mchafu
W WALOLA VUNZYA JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 7,154 Reaction score 7,155 May 8, 2022 #82 voicer said: Je kama ni hivyo inakuwaje Chadema ndio mmeumia zaidi na mnalalamika kila sehemu? Click to expand... Haki haijatendeka tangu awamu ya tano ianze na awamu ya sita inarithi upuuzi wa awamu ya sita.
voicer said: Je kama ni hivyo inakuwaje Chadema ndio mmeumia zaidi na mnalalamika kila sehemu? Click to expand... Haki haijatendeka tangu awamu ya tano ianze na awamu ya sita inarithi upuuzi wa awamu ya sita.
voicer JF-Expert Member Joined Jul 13, 2020 Posts 5,545 Reaction score 11,935 May 8, 2022 Thread starter #83 WALOLA VUNZYA said: Haki haijatendeka tangu awamu ya tano ianze na awamu ya sita inarithi upuuzi wa awamu ya sita. Click to expand... Sasa kama awamu ya nne ilikuwa na HAKI chadema mlikuwa mnatafuta nini kule Mwembeyanga???
WALOLA VUNZYA said: Haki haijatendeka tangu awamu ya tano ianze na awamu ya sita inarithi upuuzi wa awamu ya sita. Click to expand... Sasa kama awamu ya nne ilikuwa na HAKI chadema mlikuwa mnatafuta nini kule Mwembeyanga???
W WALOLA VUNZYA JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 7,154 Reaction score 7,155 May 8, 2022 #84 voicer said: Sasa kama awamu ya nne ilikuwa na HAKI chadema mlikuwa mnatafuta nini kule Mwembeyanga??? Click to expand... Mwembeyanga mimi siijui ila naijua nchi yangu tu na raia wake pamoja na viongozi wake kama wimbo wa Taifa unavyosema mambo ya Mwembeyanga yapo huko huko.
voicer said: Sasa kama awamu ya nne ilikuwa na HAKI chadema mlikuwa mnatafuta nini kule Mwembeyanga??? Click to expand... Mwembeyanga mimi siijui ila naijua nchi yangu tu na raia wake pamoja na viongozi wake kama wimbo wa Taifa unavyosema mambo ya Mwembeyanga yapo huko huko.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 8, 2022 #85 Siasa ndivyo zilivyo...
comte JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 9,019 Reaction score 6,825 May 8, 2022 #86 Vessel said: Kwani menyewe anaweza nini Click to expand... Peke yake kamtoa Mbowe bungeni