Ulichofanya hapa ni kuropokaUnazungumzia reality ipi..kwamba unadhani Tanzania hakuna transaction watu wanatumiana fedha tena billions kwa billions...eti Hali ya sasahivi ..Hali Gani...toka magetoni utafute hela
Hapana mkuu tusifikie hukoπUnazungumzia reality ipi..kwamba unadhani Tanzania hakuna transaction watu wanatumiana fedha tena billions kwa billions...eti Hali ya sasahivi ..Hali Gani...toka magetoni utafute hela
Hio ni pesa ndogo sana kwa nchi hii haswa kipindi hiki Cha mama Samia SULUHU HASSAN...kama ni legitimate issue una was was wa nini ..ikiingia we nenda kafanye transactions zako ukiona huwez kutoa ndio ukawaone uwape uhakikisho kua pesa zimetoka kwenye legitimate source by the way lazima kama watataka ku make sure lazima watakupigia simuMpunga lazima utumwe wote kwa maramoja na sio mafungu mkuu
Toka magetoni utafute pesa uache hasira za ovyo mzee...Ulichofanya hapa ni kuropoka
Sawa tajiri, hope hapo ulipo una mansions za kutosha, viwanda, private jets na una miamala ya billions kwenye account. Na bado unapata muda wa kubishana humu jfUnazungumzia reality ipi..kwamba unadhani Tanzania hakuna transaction watu wanatumiana fedha tena billions kwa billions...eti Hali ya sasahivi ..Hali Gani...toka magetoni utafute hela
Post acc number nikuwekee za cabbageπNaomba niwekee kwa acc angu japo 25M.
Nimebishana na nani kapuku mwenzangu? Wewe unadhani kila mtu ni kapuku hata kutuma mere hundred millions unaona haiwezekani ndio mana nimekuambia tutoke magetoni ili mtu akitamka milioni 100 usipate mshtuko wa moyo...Sawa tajiri, hope hapo ulipo una mansions za kutosha, viwanda, private jets na una miamala ya billions kwenye account. Na bado unapata muda wa kubishana humu jf
TPB, 014768532986.Post acc number nikuwekee za cabbageπ
Sawa nitatoka ila unaweza nitumia acc number PM nikufanyie Ihsani kidogo mdogo wanguπππ si kwa ubayaToka magetoni utafute pesa uache hasira za ovyo mzee...
Tusifikie huko mkuuπSawa nitatoka ila unaweza nitumia acc number PM nikufanyie Ihsani kidogo mdogo wanguπππ si kwa ubaya
Unajidhalilisha dogo... Hizo hundreds million transaction ulizozoea kuzisikia na hazikupi mshituko ulizionea wapi ndugu yetu....Nimebishana na nani kapuku mwenzangu? Wewe unadhani kila mtu ni kapuku hata kutuma mere hundred millions unaona haiwezekani ndio mana nimekuambia tutoke magetoni ili mtu akitamka milioni 100 usipate mshtuko wa moyo...
Hapana mkuu nahitaji tugawane kidogo nilichovuna nikiwa gheto kaka si kwa ubayaTusifikie huko mkuuπ
Sawa mkuu,sasa kama hauna maelezo ya kutosha ya source ya pesa option nyingine ni ipi?Hapana mkuu nahitaji tugawane kidogo nilichovuna nikiwa gheto kaka si kwa ubaya
Wewe kuuliza halikuwa kosa kwa sababu sio kawaida ama haijawahi kutokea kwako kupokea muamala wa ukubwa huo... Iweje yeye ambae "labda" ni kawaida kwake alete "shobo" kwa wengine...
Mbona umefunga pm Sasa ..Sawa nitatoka ila unaweza nitumia acc number PM nikufanyie Ihsani kidogo mdogo wanguπππ si kwa ubaya
Huko PM akikupa hiyo hela, na mie nigawiee.Mbona umefunga pm Sasa ..
NB: na Mimi sio kwa ubaya wanaume tunatakiwa tutafute pesa sana sio jambo la kawaida ikitajwa kiwango flan unashtuka au unawaza haiwezekani, ndio mana watu wengi wakija kutafuta ushauri wanawaza kukebehiwa na kuambiwa chai mara uongo..Yan tunawaza tu utapeli..
Fungua pm Mimi Sina ego
Mkuu nipe hints vp nireport kua nimepokea pesa kutoka unknown source or nibuy crptocoin za 100m tsh ? Maana sina maelezo yakujitoshelezaMbona umefunga pm Sasa ..
NB: na Mimi sio kwa ubaya wanaume tunatakiwa tutafute pesa sana sio jambo la kawaida ikitajwa kiwango flan unashtuka au unawaza haiwezekani, ndio mana watu wengi wakija kutafuta ushauri wanawaza kukebehiwa na kuambiwa chai mara uongo..Yan tunawaza tu utapeli..
Fungua pm Mimi Sina ego
Kwahiyo nifanyaje mkuuTechnically less than 30 seconds provided anayefanya hiyo ban hana uhusiano wowote na chama tawala nchi fulani .
Mbona umefunga pm Sasa ..
NB: na Mimi sio kwa ubaya wanaume tunatakiwa tutafute pesa sana sio jambo la kawaida ikitajwa kiwango flan unashtuka au unawaza haiwezekani, ndio mana watu wengi wakija kutafuta ushauri wanawaza kukebehiwa na kuambiwa chai mara uongo..Yan tunawaza tu utapeli..
Fungua pm Mimi Sina ego