THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Kuna ukweli kwenye hilo mkuu!Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science!Pia si mkerekweta kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani!.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kumuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake je yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
Hapana mkuu mimi sio bavicha! Huu ni mtazamo wangu huru!Pia nakuheshimu sana kwa unguli wako kwny jukwaa la siasa either post yako iwe hasi au chanya! Ndivyo demokrasia inavyotaka!Mwalimu na JK wamelitumikia Taifa hili kwa nyakati tofauti!Ndo maana nimetumia neno this era si kwamba nimeshusha hadhi ya Baba wa Taifa.Unalinganisha Nyerere na jk wewe kweli barvicha
USSR
Unayemkataa kweli wewe kijani😂Unalinganisha Nyerere na jk wewe kweli barvicha
USSR
Sijajaribu kbs wa equate wazee wangu hawa wawili yawezekana ni watu wenye mitazamo miwili tofauti wakishabihiana kwenye maeneo machache sana nilichokitazama hapo ni legacy na nguvu ya ushawishi pamoja na ku-master political game yao kwa namna ya kipekee na kwa muda mrefu.Never and Never can you equate JK to Father of our nation JKN.
JK ni JK kihivyo tu na kivyake vyake
Ningependa mada yangu ingeanza na neno TAFAKURI labda ingeondoa ukakasi mwingi ,Kwanini nisifanye wkt nimefanya kwa nia njema tu. Nielekeze kwa hoja bro.Bro
Next time usifanye hivyo. Hakuna uhalisia hata 0%.
Nyumbani kwake watu wake viraka tupu,unga shida nk..sijui husifiwa kwa lipi!?Mmoja wao ni sawa na mbaba anayesifiwa na kumbi zote za starehe kwa ukarimu wake na kutokuwa mchoyo wa offer, lakini nyumbani kwake ni shida na dhiki kubwa kwa sababu ya matendo yake.
Nyerere ana kipi Cha maana zaidi ya kusifiwa na wakatoliki wenzie Kwa sababu wajuazo wao!!Bro
Next time usifanye hivyo. Hakuna uhalisia hata 0%.
Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake.
Je, inawezekana yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
Nyerere ana kipi Cha maana zaidi ya kusifiwa na wakatoliki wenzie Kwa sababu wajuazo wao!!
Inawezekana nyie ndo wale wale wa leo mnaoshindwa kutanguliza busara nikwambie tu kwa kifupi, mimi ni kijana wa makamo ninayejitambua niliyezaliwa mwaka 1981.Vijana wa 2000 mnamatatzo kha! Msome NYERERE huko kwenye mitandao afu ndo ulete habari za kulinganisha watu!
Angekuwa kama Nyerere, basi asingeruhusu yule mwendawazimu wa Chato ANAJISI Ikulu yetu. Huo mtihani wa kwanza anapata ZERO kwa kumfanya Magufuli mgombea kisha Rais wa TanzaniaSijajaribu kbs wa equate wazee wangu hawa wawili yawezekana ni watu wenye mitazamo miwili tofauti wakishabihiana kwenye maeneo machache sana nilichokitazama hapo ni legacy na nguvu ya ushawishi pamoja na ku-master political game yao kwa namna ya kipekee na kwa muda mrefu.