inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Jibu ana kipi Cha maana zaidi ya kusifiwa na wakatoliki wenzie?Ficha upumbavu wako mvaa kobazi mmoja wewe usie na akili zaidi ya zile za Makka na Madina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu ana kipi Cha maana zaidi ya kusifiwa na wakatoliki wenzie?Ficha upumbavu wako mvaa kobazi mmoja wewe usie na akili zaidi ya zile za Makka na Madina
Angekuwa kama Nyerere, basi asingeruhusu yule mwendawazimu wa Chato ANAJISI Ikulu yetu. Huo mtihani wa kwanza anapata ZERO kwa kumfanya Magufuli mgombea kisha Rais wa TanzaniaSijajaribu kbs wa equate wazee wangu hawa wawili yawezekana ni watu wenye mitazamo miwili tofauti wakishabihiana kwenye maeneo machache sana nilichokitazama hapo ni legacy na nguvu ya ushawishi pamoja na ku-master political game yao kwa namna ya kipekee na kwa muda mrefu.
Hapana, haiwezwkani. Jakaya yupo juu sana ya Nyerere kiuongozi.Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake.
Je, inawezekana yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
Kweli kabisa, huwezi mlinganisha dikteta na mwana diplomasia.Unalinganisha Nyerere na jk wewe kweli barvicha
USSR
Kiswahili chake ndiyo umesemaje?Never and Never can you equate JK to Father of our nation JKN.
JK ni JK kihivyo tu na kivyake vyake
Hapana, haiwezwkani. Jakaya yupo juu sana ya Nyerere kiuongozi.
Magu ndiye unaweza kumfananisha na Nyerere, wote hao walikuwa hawaambiliki, wakurupukaji na walitumia nguvu nyingi kuliko akili katika uongozi.
Wapi nimetaja ukristo au unajistukia?Aisee kumbe wanaokuitaga wewe ni mahamuma kikongwe mzee wanakutambua vyema! Nami leo naungana nao rasimi! Yaani sijui unachuki gani na ukristo wewe bibi?
Wote wawili wana kitu kimoja "in common" nacho si kingine zaidi yakuweza kujenga "political hegemony" zao zilizoweza kuwapa ushawishi mkubwa wa siasa za kitaifa na kimataifa hata katika kipindi kirefu baada ya wao kutoka madarakani.Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake.
Je, inawezekana yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
Dada Faiza 🤔Hapana, haiwezwkani. Jakaya yupo juu sana ya Nyerere kiuongozi.
Magu ndiye unaweza kumfananisha na Nyerere, wote hao walikuwa hawaambiliki, wakurupukaji na walitumia nguvu nyingi kuliko akili katika uongozi.
Nashukuru 🙏🏿.Wote wawili wana kitu kimoja "in common" nacho si kingine zaidi yakuweza kujenga "political hegemony" zao zilizoweza kuwapa ushawishi mkubwa wa siasa za kitaifa na kimataifa hata katika kipindi kirefu baada ya wao kutoka madarakani.
Mwl. Nyerere alikuwa mwana majinuni maarufu na "typical socialist" kwa mawazo, maneno, matendo na pale alipotimiza wajibu wake kama kiongozi wa umma. Hakuwa na tamaa ya kujilimbikizia mali ama serikali yake kuadamwa na kashfa kubwa za rushwa, ama hata kutiliwa mashaka katika suala zima la maadili ya umma ama uadilifu wake. Na alitawala nchi katika kipindi cha utawala wa chama kimoja.
Upande wa Kikwete nafikiri kwa jinsi anavyoongelewa na "social media" atakuwa ni kipenzi cha sera za kibepari. Mengine kuhusu haiba na hulka yake unaweza kujazia wewe mwenyewe. Yeye ametawala katika kipindi cha utawala wa vyama vingi.
Wewe unafaa wenzako watumie jina lako ulilojiita ( inamankusweke ) uswekwe ili uwe na akiliNyerere ana kipi Cha maana zaidi ya kusifiwa na wakatoliki wenzie Kwa sababu wajuazo wao!!
Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake.
Je, inawezekana yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
Umeelewa ila unataka manenoKiswahili chake ndiyo umesemaje?
Nyerere ana kipi Cha maana zaidi ya kusifiwa na wakatoliki wenzie Kwa sababu wajuazo wao!!