WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Asante kwa ufafanuzi mzuri,lakini nikwambie Waarabu walipendelea sehemu ambazo walikuwa wanachuma kitu fulani na ndiyo maana ukataja hizo sehemu zilizokuwa na vitu.Nakuuliza je,Musoma,Mwanza,Sumbawanga,Songea,Arusha,Iringa,Bukoba,Kigoma,Songea,Njombe,Tunduru na sehemu nyingine nilizozisahau Waarabu walijenga shule ngapi?Shule ya msingi lumumba pale karibu na magazeti ya ccm, Kinondoni muslim, kibohehe sec kule moshi.
Yaani kwa ufupi ni nyingi sana.
Wewe soma kitabu cha UNTOLD STORY OF MUSLIM STRUGGLE AGAINST BRITISH COLONIALISM IN TANGANYIKA by MOHAMED SAID kisha ukimaliza urudi hapa kutema pivu lako tuone.
Ukiongeza na kusoma kitabu cha mkatoliki Dr John Sivalon aliykuwa padre utambua kuwa waislamu waliminywa tena maksudi.