Je, inawezekana Jakaya Kikwete ndiye Nyerere wa leo?

Je, inawezekana Jakaya Kikwete ndiye Nyerere wa leo?

Hapana, haiwezwkani. Jakaya yupo juu sana ya Nyerere kiuongozi.

Magu ndiye unaweza kumfananisha na Nyerere, wote hao walikuwa hawaambiliki, wakurupukaji na walitumia nguvu nyingi kuliko akili katika uongozi.
😁😁😁😁😁👆👆👆🤣🤣
 
Nyerere alikuwa juu sana huwezi kumlinganisha na hawa wote waliomfuatia. Diplomatic figure of highest quality, na nina uhakika hata Kikwete mwenyewe alijifunza mengi ya kimaisha kutoka kwake kwa muda wote aliokuwa ikulu.
Tusitumie Nguvu sana kulazimisha mambo.Kwa nini watu wote waliokuwa na Nyerere walienda kinyume na yeye kama kweli walijifunza kwake?
 
Nadhani hujaelewa hoja ya mhusika.
Hoja ya mchangiaji ipo katika kufananisha, " Alichokuwa anafanya Nyerere kwa RAIS aliyekuwepo madarakani kipindi yupo hai" ni sawa na anachofanya Kikwete kwa RAIS ambaye yupo madarakani kipindi hiki.( Hoja ya ulinganisho ndio ilikuwa hapo).
NB
URAISI ni kazi ngumu sana, katika uongozi huwezi kuwa unakubali kila kitu, ukifanya hivyo utaruhusu mambo ya ajabu sana kwa kigezo cha demokrasia( Hivyo, Udikteta katika baadhi ya mambo ni MUHIMU. Hasa yale yanayolinda maslahi ya nchi).
Kashfa za rushwa, wizi, matumizi mabaya ya madaraka, uuzaji wa rasilimali za nchi, nk. Nyerere hakuwa nazo, Hivyo aliondoka na mikono safi( Hii inaonesha kuwa alikuwa ana nia njema).
Hao waliokuwa wanamshauri walikuwa wana mtazamo wa chini na walikuwa wanatumika na maadui wa nchi. Ndio maana Nyerere alikataa ushauri wao.
Sifa pekee ya Mwalimu ni kujenga utaifa,hakuna zaidi ya hicho.
 
Nyerere alikuwa juu sana huwezi kumlinganisha na hawa wote waliomfuatia. Diplomatic figure of highest quality, na nina uhakika hata Kikwete mwenyewe alijifunza mengi ya kimaisha kutoka kwake kwa muda wote aliokuwa ikulu.
Hakuwa kama unavyofikiria, angekuwa kama unavyifikiria asingeng'atuka na nchi ni masikini wa mwisho duniani.
 
Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.

Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake.

Je, inawezekana yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
Never, jamaa kauza nchi kukomboa jangili asiye na maslahi na nchi yetu (Ridhiwani) ili asinyongwe na Wachina kwa kuuza madawa ya kulevya. Nyerere angemwachia mwanaye anyongwe tu ili iwe fundisho kwa wananchi wake wajinga
 
Hakuwa kama unavyofikiria, angekuwa kama unavyifikiria asingeng'atuka na nchi ni masikini wa mwisho duniani.
Kung'atuka ni maono ya hali ya juu kulinganisha na marais wa kizazi chake wa nchi za Afrika wakati ule.

Kaunda aling'ang'ania madarakani, nini kilikuja kumkuta?. Banda rais wa maisha ya Malawi, nini kilimkuta baada ya kushindwa kuongoza nchi?.

Umaskini upo nchi nyingi duniani, na usione mabadiliko ya wakati wa JK kwa kulinganisha na ule wa Nyerere ukaja kumsifu Mkwere, ni muda unafika na mabadiliko ya uchumi yanatokea.

Hata JPM hatakiwi kujisifu sana kwa kujenga miundo mbinu aliyokuja kujenga, wasomi walioandaliwa miaka ya Nyerere walikwisha kufika wakati wa wao kufanya kazi wakati wa JPM hivyo wakamrahisishia kazi ya urais.
 
Tusitumie Nguvu sana kulazimisha mambo.Kwa nini watu wote waliokuwa na Nyerere walienda kinyume na yeye kama kweli walijifunza kwake?
Kwenda kinyume ni presha za wahisani zinazokuwa ni sababu tusizozifahamu za nyuma ya pazia.

Kwenda kinyume pengine ni ile roho ya wasaidizi wa marais wanaotaka kutajirika wakijua kuwa kipindi cha kupata neema ni ile miaka kumi ya kuwa pamoja na rais.

Kuongoza nchi sio kazi ya rais peke yake, anakuwa na timu nzima ya wasaidizi nyuma yake.
 
Hapana, haiwezwkani. Jakaya yupo juu sana ya Nyerere kiuongozi.

Magu ndiye unaweza kumfananisha na Nyerere, wote hao walikuwa hawaambiliki, wakurupukaji na walitumia nguvu nyingi kuliko akili katika uongozi.
Hili bibi lina udini na linaonekana lichawi
 
Kikwete ni zaidi ya Nyerere. Nyerere alikuwa mnafiki sana mdini kupita maelezo akipendelea kanisa katoliki kuliko wengine hasa waislamu. Aliunga mkona Biafra kujitenga na Nigeria huku akipigia chapuo umoja wa Africa na akinza na muungano wa tanganyika na Zenj. UNAFKI HUU.
Alikuwa mdini kwa kuifungia jumuia ya kiislamu ya maendeleo ya Africa Mashariki EAMS huku akiliahidi kanisa kulipa a better chance. Rejea padre John Sivalon.
Alienda kusapoti Biafra kwa kuwa kule wengi ni wakatoliki ili wajitenge na influence ya nothern Nigeria ambayo ina waislamu wengi.
KIKWETE NI BORA SAAAAANA KULIKO NYERERE. KIKWETE NI MLIMA KILIMANJARO WAKATI NYERERE NI KICHUGUU.
Ni bora kwa sababu ni muislamu mwenzio
 
Nadhani hujaelewa hoja ya mhusika.
Hoja ya mchangiaji ipo katika kufananisha, " Alichokuwa anafanya Nyerere kwa RAIS aliyekuwepo madarakani kipindi yupo hai" ni sawa na anachofanya Kikwete kwa RAIS ambaye yupo madarakani kipindi hiki.( Hoja ya ulinganisho ndio ilikuwa hapo).
NB
URAISI ni kazi ngumu sana, katika uongozi huwezi kuwa unakubali kila kitu, ukifanya hivyo utaruhusu mambo ya ajabu sana kwa kigezo cha demokrasia( Hivyo, Udikteta katika baadhi ya mambo ni MUHIMU. Hasa yale yanayolinda maslahi ya nchi).
Kashfa za rushwa, wizi, matumizi mabaya ya madaraka, uuzaji wa rasilimali za nchi, nk. Nyerere hakuwa nazo, Hivyo aliondoka na mikono safi( Hii inaonesha kuwa alikuwa ana nia njema).
Hao waliokuwa wanamshauri walikuwa wana mtazamo wa chini na walikuwa wanatumika na maadui wa nchi. Ndio maana Nyerere alikataa ushauri wao.
Nilisikia kuna meli ya serikali iliuzwa kwenye utawala wake.Hii unaisemaje?.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ukiwapanga marais wanne bora kidemokrasia nchini
Namba 1 ni JKN
2. Mzee Ruksah
3. Ni JMK
4. Samia (huyu mpaka amalize kipindi chake akiendelea hiv, akawapuuza wahafidhina) kuna uwezekano akawa namba 2)
5. Mkapa
6. Hakuna
Udini unakusumbua
 
Nyerere hakuwa fisadi. Acha kabisa kumlinganisha baba wa taifa na hivi vitu vingine vya .........!
Meli ya serikali iliyouzwa kipindi chake siyo ufisadi?.
Halafu kumpa sifa mtu aliyeshindwa kukuza uchumi wa watu kati ya milioni 9 na 15,ni upuuzi ukimlinganisha na aliyekuza uchumi wa watu kati ya milioni 40 na 50.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom