Je, inawezekana kila kitu ni mpango wa Mungu?

Je, inawezekana kila kitu ni mpango wa Mungu?

Nathibitisha kwamba wewe upo na ni mbishi
Sawa, huenda unaweza kuwa umethibitisha kwamba mimi nipo nambishi, lakinihujathibitisha Mungu yupo.

Sijaomba uthibitishe mimi nipo, nimetakauthibitishe Mungu yupo.
 
Kwa sababu in all closed systems entropy tends to increase with time, second law of thermodynamics.

Thibitisha Mungu yupo.
Mungu aliye kupa pumzi mwisho wa siku ataichukua tena! Je, unaweza kumzuia?
 
Vizuri sana na ndiyo maana nasema kuna mitizamo na uthibitisho.
Na mtazamounaweza kuthibitishwa kwamba nimtazamo sahihi.

Einstein alivyoleta mtazamo wake wa Relativity watu waliupinga, wakasema si sahihi.

Sir Arthur Eddington akauthibitisha kwamba umetabiri sayari ya Zebakiitatokea pale ilipotokea katika kupatwa kwa jua kwa mwaka 1919.

Mtazamowa einstein ukawa ni sahihi. Mpaka leoumetibitika na unatumika kuendesha GPS.
 
Sawa, huenda unaweza kuwa umethibitisha kwamba mimi nipo nambishi, lakinihujathibitisha Mungu yupo.

Sijaomba uthibitishe mimi nipo, nimetakauthibitishe Mungu yupo.
Uwepo wako ni udhibitisho tosha Mungu yupo. Mi nilijua utasema haupo.
 
Uwepo wako ni udhibitisho tosha Mungu yupo. Mi nilijua utasema haupo.
Kwanza sijauliza udhibitisho, nimeuliza uthibitisho.

Kamahujui spelling tu, ninaweka shaka kamautaweza kuthibitisha Mungu yupo.

Pili, hujaonesha uwepowangu unathibitishaje Mungu yupo, umeandika tu.

Mimi naweza kukujibu kwamba uwepo wako ni uthibitishokwamba Mungu hayupo.

Kwa sababu unasikia njaa, unaumwa, unakunya, unakufa. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, usingekuwepo katika ulimwengu ambao hayo yote yanawezekana.
 
We kesho yako unaijua?
 
Kwahiyo kila kitu ni mpango wa Mungu?
Mkuu wewe mbona ni mgumu sana kuelewa?? Hivi mpaka leo hujui tofauti ya "kujua kitu fulani kitatokea" na "kupanga kitu fulani kitokee"?? Kuna tofauti kubwa sana katika haya mambo mawili, kujua na kupanga.

Narudia tena kukuelewesha, iko hivi; MUNGU anajua yale yote utakayoyatenda au yale unayotaka kuyatenda, lakini MUNGU hakufanyi utende au hakupangii utende kitu usichokitaka kukitenda wewe. Lolote ulifanyalo ni maamuzi yako wewe binafsi. Ukisoma BIBLIA utaona kuna mifano mingi sana imeandikwa.

Uwezo wa MUNGU kujua kuwa wewe labda kesho utaiba haina maana kuwa yeye BWANA MUNGU ndiyo anakufanya uibe au yeye ndiye amekupangia uibe.

Kama bado hujaelewa basi wewe endelea kukaa na hayo hayo mawazo yako ya kulazimisha kuwa MUNGU anapanga kila kitu. Kwa hiyo wewe blackstarline unataka kutuambia kuwa kwa mfano; ukienda kulala na mke wa jirani yako ni MUNGU amepanga ukalale na mke wa jirani yako??? Au ukimlawiti mtoto mdogo ni MUNGU amepanga wewe umlawiti mtoto????
 
We kesho yako unaijua?
Siijui, kwa sababu Mungu hayupo.

Angekuwepo ningeijua, maana Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, asingenibania nisiijue.

Mimi kutoijua kesho ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.

Si ushahidi kwamba Mungu yupo.
 
Mkuu wewe mbona ni mgumu sana kuelewa?? Hivi mpaka leo hujui tofauti ya "kujua kitu fulani kitatokea" na "kupanga kitu fulani kitokee"?? Kuna tofauti kubwa sana katika haya mambo mawili, kujua na kupanga.

Narudia tena kukuelewesha, iko hivi; MUNGU anajua yale yote utakayoyatenda au yale unayotaka kuyatenda, lakini MUNGU hakufanyi utende au hakupangii utende kitu usichokitaka kukitenda wewe. Lolote ulifanyalo ni maamuzi yako wewe binafsi. Ukisoma BIBLIA utaona kuna mifano mingi sana imeandikwa.

Uwezo wa MUNGU kujua kuwa wewe labda kesho utaiba haina maana kuwa yeye BWANA MUNGU ndiyo anakufanya uibe au yeye ndiye amekupangia uibe.

Kama bado hujaelewa basi wewe endelea kukaa na hayo hayo mawazo yako ya kulazimisha kuwa MUNGU anapanga kila kitu. Kwa hiyo wewe blackstarline unataka kutuambia kuwa kwa mfano; ukienda kulala na mke wa jirani yako ni MUNGU amepanga ukalale na mke wa jirani yako??? Au ukimlawiti mtoto mdogo ni MUNGU amepanga wewe umlawiti mtoto????
Thibitisha Mungu yupo.
 
Unahubiri na kukemea, lakini hujathibitisha Mungu yupo bado.
Mfalme Nebukadreza alikuwa na mawazo na msimamo kama wako, BWANA MUNGU akamgeuza Nebukadreza na akawa kama ng'ombe, akala majani na kuishi porini kwa miaka saba, baada ya kurudishiwa ubinadamu wake, Nebukadreza akakiri mbele ya watu wote kuwa hakika BWANA MUNGU yupo na hakuna kama Yeye.

Sikuombei hayo yakukute, lakini kuwa mwangalifu sana na kauli zako. BWANA MUNGU ni mvumilivu sana, ni mpole sana na ni mwenye upendo sana, na huruma sana, lakini hasira zake zikifurika hakutakuwa na wakukuokoa. Hata hivyo BWANA YESU KRISTO alisema, hakuja kuziangamiza roho bali kuziokoa; naamini ipo siku utaijua KWELI.
 
Hujathibitisha Mungu yupo. Unahubiri.

Sijaomba mahubiri.

Nimekutaka uthibitishe Mungu yupo.
 
Thibitisha Mungu yupo.
Mimi nikijitazama kwenye kioo, nikitoka nje na kuwatazama binadamu wenzangu, wanyama wafugwao na wale wa porini, ndege wa angani, wadudu warukao na watambaao, samaki wa baharini, ziwani, na mitoni, nyota za angani, jua na mwezi, mimea ya kila namna, milima, mabonde, tambarale, mito, maziwa na bahari; vyote hivyo na vile vyote ambavyo sijavitaja ni uthibitisho tosha kuwa yupo mmoja mwenye nguvu, maarifa na uwezo usiopimika aliyefanya yote haya kwa mkono wake, na huyo siyo mwingine bali ni BWANA MUNGU.

Hakuna uthibitisho mwingine kuwa BWANA MUNGU yupo zaidi ya kazi aliyoifanya, kazi ya KUUMBA, UUMBAJI uliotukuka, kazi ya mikono yake inaonekana kwa macho, na Yeye ndiye aliyeyafanya macho, naam hata viungo vyote vya mwili na udongo alioufinyanga akaufanya kuwa nafsi hai, leo hii udongo huo uliofinyangwa na kuwa nafsi hai umejaa kiburi hata unatamka hakuna MUNGU!
 
Mungu atampimaje mtu wakati yeye Mungu ni muweza wa kujua kitakachotokea mbele. Au sifa ya kujua ya sasa na ya badae Mungu hana? Kama anayo basi atapimaje mtu wakati jibu analijua?
Binadamu yumepewa freewill.
Tuna maamuzi ya ya kuchagua jema au baya..hivyo ni juu yako
 
Tusimsingizie Mungu kwa majaribio tunayopitia…..siamini kama kweli mwenyezi Mungu alituletea kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete, hili nitapinga mpaka mwisho. Ila naweza kukubali kuwa tuliletewa hao tajwa hapo juu na shetani kutokana na matendo waliyotufanyia kuwa ya kihuni. Nchi za wenzetu hawa wananyongwa, kwa kweli hii katiba LAZIMA ifumuliwe ili hawa marais washikishwe adabu kabla hawajafa na pressure, tunataka kuona wanavyonyongwa.
 
Mkuu watu wakila wakivimbia wanabana pua na kusema hakuna Mungu, kwanza tu jinsi watu wanvyo kutana na wenza wao wa ndoa ni ajabu tupu.
Vpi kuhusu watoto wanaouawa vitani ,wanaobakwa na kulawitiwa ?Mungu hana mpango nao?Wale wanaokufa kwa kukosa chakula? Watoto kwenye cancer?wakina Maria na consolata?Mungu hana na hakua na mpango wa kuwaokoa?
 
Na mtazamounaweza kuthibitishwa kwamba nimtazamo sahihi.

Einstein alivyoleta mtazamo wake wa Relativity watu waliupinga, wakasema si sahihi.

Sir Arthur Eddington akauthibitisha kwamba umetabiri sayari ya Zebakiitatokea pale ilipotokea katika kupatwa kwa jua kwa mwaka 1919.

Mtazamowa einstein ukawa ni sahihi. Mpaka leoumetibitika na unatumika kuendesha GPS.

Bado unazunguka mule mule tu.
 
Binadamu yumepewa freewill.
Tuna maamuzi ya ya kuchagua jema au baya..hivyo ni juu yako
Freewill ni uongo mwingine.

Free will is an illussion.

Read the Scientific American articke below

Is Free Will an Illusion?

MIND
Is Free Will an Illusion?

Don't trust your instincts about free will or consciousness, experimental philosophers say

513577EA-2898-4B57-A7257F174208B3EE.jpg

Credit: DAVID SENIOR
IT SEEMS OBVIOUS to me that I have free will. When I have just made a decision, say, to go to a concert, I feel that I could have chosen to do something else. Yet many philosophers say this instinct is wrong. According to their view, free will is a figment of our imagination. No one has it or ever will. Rather our choices are either determined—necessary outcomes of the events that have happened in the past—or they are random.

Our intuitions about free will, however, challenge this nihilistic view. We could, of course, simply dismiss our intuitions as wrong. But psychology suggests that doing so would be premature: our hunches often track the truth pretty well [see “The Powers and Perils of Intuition,” by David G. Myers; Scientific American Mind, June/July 2007]. For example, if you do not know the answer to a question on a test, your first guess is more likely to be right. In both philosophy and science, we may feel there is something fishy about an argument or an experiment before we can identify exactly what the problem is.

The debate over free will is one example in which our intuitions conflict with scientific and philosophical arguments. Something similar holds for intuitions about consciousness, morality, and a host of other existential concerns. Typically philosophers deal with these issues through careful thought and discourse with other theorists. In the past decade, however, a small group of philosophers have adopted more data-driven methods to illuminate some of these confounding questions. These so-called experimental philosophers administer surveys, measure reaction times and image brains to understand the sources of our instincts. If we can figure out why we feel we have free will, for example, or why we think that consciousness consists of something more than patterns of neural activity in our brain, we might know whether to give credence to those feelings. That is, if we can show that our intuitions about free will emerge from an untrustworthy process, we may decide not to trust those beliefs.

Unknown Influences
To discover the psychological basis for philosophical problems, experimental philosophers often survey people about their views on charged issues. For instance, scholars have argued about whether individuals actually believe that their choices are independent of the past and the laws of nature. Experimental philosophers have tried to resolve the debate by asking study participants whether they agree with descriptions such as the following:

Imagine a universe in which everything that happens is completely caused by whatever happened before it. So what happened in the beginning of the universe caused what happened next and so on, right up to the present. If John decided to have french fries at lunch one day, this decision, like all others, was caused by what happened before it.

When surveyed, Americans say they disagree with such descriptions of the universe. From inquiries in other countries, researchers have found that Chinese, Colombians and Indians share this opinion: individual choice is not determined. Why do humans hold this view? One promising explanation is that we presume that we can generally sense all the influences on our decision making—and because we cannot detect deterministic influences, we discount them.

Of course, people do not believe they have conscious access to everything in their mind. We do not presume to intuit the causes of headaches, memory formation or visual processing. But research indicates that people do think they can access the factors affecting their choices.

Yet psychologists widely agree that unconscious processes exert a powerful influence over our choices. In one study, for example, participants solved word puzzles in which the words were either associated with rudeness or politeness. Those exposed to rudeness words were much more likely to interrupt the experimenter in a subsequent part of the task. When debriefed, none of the subjects showed any awareness that the word puzzles had affected their behavior. That scenario is just one of many in which our decisions are directed by forces lurking beneath our awareness.

Thus, ironically, because our subconscious is so powerful in other ways, we cannot truly trust it when considering our notion of free will. We still do not know conclusively that our choices are determined. Our intuition, however, provides no good reason to think that they are not. If our instinct cannot support the idea of free will, then we lose our main rationale for resisting the claim that free will is an illusion.

Is Consciousness Just a Brain Process?
Though a young movement, experimental philosophy is broad in scope. Its proponents apply their methods to varied philosophical problems, including questions about the nature of the self. For example, what (if anything) makes you the same person from childhood to adulthood? They investigate issues in ethics, too: Do people think that morality is objective, as is mathematics, and if so, why? Akin to the question of free will, they are also tackling the dissonance between our intuitions and scientific theories of consciousness.

Scientists have postulated that consciousness is populations of neurons firing in certain brain areas, no more and no less. To most people, however, it seems bizarre to think that the distinctive tang of kumquats, say, is just a pattern of neural activation.

Our instincts about consciousness are triggered by specific cues, experimental philosophers explain, among them the existence of eyes and the appearance of goal-directed behavior, but not neurons. Studies indicate that people’s intuitions tell them that insects—which, of course, have eyes and show goal-directed behavior—can feel happiness, pain and anger.

The problem is that insects very likely lack the neural wherewithal for these sensations and emotions. What is more, engineers have programmed robots to display simple goal-directed behaviors, and these robots can produce the uncanny impression that they have feelings, even though the machines are not remotely plausible candidates for having awareness. In short, our instincts can lead us astray on this matter, too. Maybe consciousness does not have to be something different from—or above and beyond—brain processes.

Philosophical conflicts over such concepts as free will and consciousness often have their roots in ordinary intuitions, and the historical debates often end in stalemates. Experimental philosophers maintain that we can move past some of these impasses if we understand the nature of our gut feelings. This nascent field will probably not produce a silver bullet to fully restore or discredit our beliefs in free will and other potential illusions. But by understanding why we find certain philosophical views intuitively compelling, we might find ourselves in a position to recognize that, in some cases, we have little reason to hold onto our hunches.

This article was originally published with the title "Perspectives: Is Free Will an Illusion?"

(Further Reading)
  • Experimental Philosophy. Edited by J. Knobe and S. Nichols. Oxford University Press, 2008.
  • On the Psychological Origins of Dualism. B. Fiala, A. Arico and S. Nichols in Creating Consilience: Integrating the Sciences and Humanities. Edited by E. Slingerland and M. Collard. Oxford University Press, 2011.
ABOUT THE AUTHOR(S)
SHAUN NICHOLS is a philosopher and cognitive scientist at the University of Arizona, where he directs the Experimental Philosophy Laboratory.
 
Back
Top Bottom