blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
- Thread starter
- #241
Kwani shetani kaumbwa na nani?Mi pananichanganya kwamba "Shetani kumuasi Mungu" ni mipango ya mungu ili aje kutu challenge sisi binaadam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani shetani kaumbwa na nani?Mi pananichanganya kwamba "Shetani kumuasi Mungu" ni mipango ya mungu ili aje kutu challenge sisi binaadam
Laana yenyewe ni magumashi tu.Laana ya watumishi inakunyemelea...Tubu mapema
Mkuu umeambiwa hata Mungu akija akikwambia yeye ni Mungu bado utabisha.Hujathibitisha. Unahubiri kwa povu.
Thibitisha Mungu yupo.
Mnalazimisha Mungu ambaye hamuwezi kumthibitisha?Mkuu umeambiwa hata Mungu akija akikwambia yeye ni Mungu bado utabisha.
Wewe ni kipofu hata ukionyeshwa Mungu bado huta weza kumwona.. ulizaliwa hujui chochote ukijikojolea na kuji.. wala hukuona haya, angalau Sahivi unaweza kujisimamamia mwenyewe basi imekuwa shida hatulali!!!Mnalazimisha Mungu ambaye hamuwezi kumthibitisha?
Atakuja lini nimvalie suti na Johnston and Murphy shoes tupige story nimuhoji maswali mazito?
Stop fronting.
Hamuwezi kuthibitisha huyo Mungu wenu wa hadithi yupo.
Kwa sababu hayupo!
Kama mimi kweli ni kipofu hivyo, huo ni ushahidi kwamba huyo Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote, hayupo.Wewe ni kipofu hata ukionyeshwa Mungu bado huta weza kumwona.. ulizaliwa hujui chochote ukijikojolea na kuji.. wala hukuona haya, angalau Sahivi unaweza kujisimamamia mwenyewe basi imekuwa shida hatulali!!!
Kwasababu yeye ni muweza wa yote kaumba kipofu na anaeona, angeumba anaeona tu! Bado ungesema mbona kashindwa kuumba asiye ona. Wewe ni kipofu!!!Kama mimi kweli ni kipofu hivyo, huo ni ushahidi kwamba huyo Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote, hayupo.
Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na vipofu kama mimi.
Hapana,Kwasababu yeye ni muweza wa yote kaumba kipofu na anaeona, angeumba anaeona tu! Bado ungesema mbona kashindwa kuumba asiye ona. Wewe ni kipofu!!!
Yeye ameumba atakavyo, umeshindwa kujua asili yako Mungu utamjuaje?Hapana,
Angeumba anayeona tu angekuwa hana contradiction. Contradiction ingetokea wapi?
Huelewi hata hoja yangu,hoja yangu imejikita kwenye contradiction.
Ambayowewe huielewi.
Na kutoelewa kwako kunaonesha Mungu hayupo.
Angekuwepo, asingeumba kiumbe asiyeelewa kama wewe.
Siwezi kumjua Mungu.Yeye ameumba atakavyo, umeshindwa kujua asili yako Mungu utamjuaje?
Nathibitisha Mungu aliye kuumba wewe amekufanya kuwa kipofu, yale ambayo wengi wanayaona wewe huwezi kuyaona hadi utimie wakati wako wakuyaona.Siwezi kumjua Mungu.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Hujathibitisha. Unalazimisha tu.Nathibitisha Mungu aliye kuumba wewe amekufanya kuwa kipofu, yale ambayo wengi wanayaona wewe huwezi kuyaona hadi utimie wakati wako wakuyaona.
Nani kafanya mtu awe kipofu?Hujathibitisha. Unalazimisha tu.
Mungu angekuwepo, asingefanya yeyote kuwa kipofu.
Thibitisha Mungu yupo.
Kwa nini swali liwe nani?Nani kafanya mtu awe kipofu?
Jibu swali acha kuruka ruka, nani kamfanya mtu awe kipofu??Kwa nini swali liwe nani?
Thibitisha Mungu yupo. Hujathibitisha.
Hii ni point ambayo watu wanatakiwa waijue, mimi huwa nawaza kuwa huenda hata mungu aliumba dunia na akaweka kanuni kisha akaenda zakeImani Yangu Ni Kwamba Mungu ametengeneza kanuni (Principles) Hapa Dunia,...
Kama unaposema (Water is made up of two hydrogen atoms and one oxygen atom) kwa ndo upate maji lazima hii kanuni ifuatwe
Hivi kuna principles nyingi zipo,..
_kama hujui kuendesha gari sio ngumu ww kupata ajali
_ngono zembe na mtu aliyeathirika inaweza kusababisha ww pia kuathirika
_kula vyakula ovyo na lifestyle mbaya inaweza kusababisha magonjwa mengi
Basi Maisha yetu yanafuata hizi kanuni kwamba kama upo hai leo jua ww ni zao la mwanamke na mwanaume,...
Mungu haendi nje ya izi kanuni,...''what others see as work of miracles are just principles of physics and mathematics" huu ni msemo wa mwana sayansi NIKOLA TESLA
Basi ata ukiwafufua wazee wa zamani wakaona the technological advancement wanaweza sema ni miujiza kumbe ni kanuni za hesabu na fisikia tu...
Nafikiri 'Ni Mpango Wa Mungu' ni statement rahisi yakusema 'Sijui kuelezea kilichotokea'
'Mungu amempenda zaidi' ni statement nyingine ya kusema aliyekufa amechukulia na mipango ya Mungu na kwa mara nyingi kifo ni sababu ya uvujanji kanuni hizi (Old age, diseases, accidents and so forth)
'Lets ask ourselves hard questions like why life span in US is at 70 and here at home is at 45'
Laana ipo wewe jidanganye tu.Laana yenyewe ni magumashi tu.
Thibitisha kwamba Mungu yupo, thibitisha laana ipo.
Unaandika tu, hujathibitisha chochote unachoandika.Laana ipo wewe jidanganye tu.
Na mimi siamini katika Mungu naamini katika Muumba
Mungu hata wewe unaweza kuwa_na ni imani yangu kuwa wenye kujifunza/au kujizoeza aina ile ya utaratibu wa kufikiri
Basi hupata zawadi hiyo Ufahamu mpana
Kwaivyo unataka nikakuoneshe anakokaa MuumbaUnaandika tu, hujathibitisha chochote unachoandika.