Je, inawezekana kila kitu ni mpango wa Mungu?

Kwaivyo unataka nikakuoneshe anakokaa Muumba

Na neno Muumba nalitumia kama msamiati wa kurejelea nguvu ya asili iliyotokeza vitu vyote

Na wala simaanishi labda ni Mtu kakaa anafinyanga udongo.

Utaratibu wa asili niliokuta katika sayari hii unaeleza picha kubwa ya maana yote

Mimi sijahusika katika kufanya lolote lile wala wazazi wangu hawakuwahi kudai kuhusika na chochote na wala watu wa pembeni kama wewe na wengine hakuna anaeweza kudai hilo, hata kwa wanangu siwezi kujinadi kwao juu ya hilo.

Ila tunajua kwa hakika kwamba tumetokana na vitu hivyo

'So being as human being we just say there is huge Human being sitting up there'.

Hiyo ndio njia rahisi ya kurejelea nguvu ya asili na watu kukuelewa kwa wepesi juu ya kile unachomaanisha.

Kwa iyo kama akili yako inashindwa kutengua pattern ndogo kama hii sikulaumu

Na mimi binafsi sichukulii maisha kama kitu serious sana kwangu ni kama game tu ya Tatu Mzuka
Wapi nimekwambia nataka unioneshe anapokaa Muumba?

Unajua kusoma?
 
Sasa Uthibitisho unakuzunguka umeshindwa kuutambua

Ambao ndio wengi wanautumia katika kuelewa

Unataka nizuie akili yangu kujua wewe unahitaji uthibitisho gani zaidi...!? Ajabu
 
Hjathibitisha,unasema tu uthibitisho unanizunguka.

Kichaa yeyote anaweza kusema hivyo.

Kazi ni kuthibitisha.
 
Wala sio kazi

Bali wewe unaipa uzito kuwa kazi kulingana na akili yako

Na kwetu hakuna kichaa anaeweza kutype vichaa wa kwetu wanashinda jalalani

Labda wa kwenu wapo juu
 
Mkuu ipyax unaelewa nini kuhusu "wokovu"? Nani kakuambia kuwa hao watoto wanaokufa hawataokolewa? Au wewe unafikiri kupona magonjwa na kuendelea kuishi hapa duniani kwa maisha marefu ndiyo wokovu?? Kula na kushiba ndiyo wokovu??

Iko hivi; BWANA MUNGU anampango na hao watoto wote uliowataja na wote wataokolewa siku ikifika watafufuliwa na kupewa maisha mengine mapya kabisa, ambapo wataishi milele kwa raha mustarehe hapa hapa duniani. Fahamu kwamba sasa hivi MUNGU anaandaa kuuleta Ufalme wake hapa duniani, na siku aliyoipanga ikifika, basi MESSIAH atakuja tena duniani na kuitawala dunia yote na kuibadilisha kabisa, na dunia yote itakuwa paradiso!

Unamlaumu MUNGU kwa sababu hujui mpango wake aliouandaa kwa ajili ya binadamu wote. Na hii inatokana na watu kama wewe kutokusoma BIBLIA ambayo imeandika kila kitu atakachokifanya BWANA MUNGU kwa watu wake. Watu kama ninyi mnafikiri maisha ni haya haya na hakuna maisha mengine ndiyo maana mnakuwa wepesi kumlaumu MUNGU pale mnapoona maisha hayaendi vizuri.

Kaa ufahamu kwamba hapa duniani ni sehemu ya kupita tu, ni sehemu ya maandilizi kwa ajili ya maisha ya baadaye ya milele, lakini ili ufanikiwe kwenye hayo maisha ya milele ni lazima kwanza umtii MUNGU na kuzishika Amri zake na maagizo yake yote. Uwe maskini uwe tajiri, uwe kilema uwe mzima, uwe umeungana kama Maria na Consolata au uwe vyovyote uwavyo, jukumu lako ni KUTII na kutekeleza yote yale yaliyoagizwa na MUNGU. Ukifa, utapumzika kaburini kwako kwa muda, na siku ikifika, utafufuliwa na kulipwa kwa kadiri ya matendo yako.

Kama ulikuwa tajiri utahukumiwa kwa kadiri ya matendo yako, kama ulikuwa maskini pia utahukumiwa kwa kadiri ya matendo yako, kama ulikuwa kilema pia utahukumiwa kwa kadiri ya matendo yako, kama ulikuwa mzima kabisa pia utahukumiwa kwa kadiri ya matendo yako. Kama ulikuwa kipofu ama kiziwi ama bubu, kila mmoja atahukumiwa kwa kadiri ya matendo yake. Watoto wadogo hawatahukumiwa sababu watoto hawajui mema wala mabaya, na MUNGU ni mwenye haki na hukumu zake ni za haki.

Acha kabisa kumlaumu MUNGU, anza kubadilisha maisha yako na matendo yako, muda huu uliopewa wa kuishi hapa duniani ni wa kupita tu, maisha yawe mazuri au mabaya kwako, wewe tenda mema kwani baada ya maisha haya umeandaliwa neema ama zawadi ya uzima wa milele. Kama una akili utakuwa umenielewa ndugu yangu ipyax
Unapozungumzia kuhusu wokovu hilo ni tukio la baadae. Tunazungumzia watoto wanaokufa au wanaoteseka kwa maradhi hapa duniani bila kuwa na hatia yoyote. Kama anasababu ya kuwapa uwokovu ilikuwa haina haja ya kuwaleta hapa duniani. Maana Mungu si mwenye haki na asiye na upendeleo?
 
Mkuu kwamaana yako Mungu hayupo au..?
 
Mambo mengine husababishwa na binadamu kama vifo, maafa mbalimbali kwa ushirikina. Labda tujiulize Mungu anamruhusu binadamu kutenda maovu ? Kama ni shetani Mungu hawezi kumzuia?
 
Unapozungumzia kuhusu wokovu hilo ni tukio la baadae. Tunazungumzia watoto wanaokufa au wanaoteseka kwa maradhi hapa duniani bila kuwa na hatia yoyote. Kama anasababu ya kuwapa uwokovu ilikuwa haina haja ya kuwaleta hapa duniani. Maana Mungu si mwenye haki na asiye na upendeleo?
Unapataje wokovu pasipo kupitia duniani kwanza?? Hao watoto wanaoteseka kwa maradhi ni sababu ya dhambi zenu na maovu yenu ndiyo maana mnazaa watoto wenye maradhi. Kama mngekuwa hamtendi dhambi na maouvu basi mngezaa watoto waliobarikiwa. Fahamu kwamba watoto wanatokana na mbegu za kiume zikiungana na mbegu za kike. Hujui kwamba dhambi ndiyo imefanya miili yetu kuwa dhaifu??

Sasa mbegu zenu zimejaa laana ya dhambi na maovu unategemea zitazaa watoto wasiokuwa na magonjwa na madhaifu mbalimbali?? Halafu bila akili za kufikiri unamlaumu MUNGU, huoni kama MUNGU ni mwenye haki sababu licha ya maovu yenu lakini bado amewapa nafasi ya kuishi tena maisha mazuri zaidi na yenye kupendeza ninyi na watoto wenu hapo baadae?

Kama MUNGU angekuwa hana haki, au angekuwa anawaza kama wewe, basi angekufutilia mbali na wala usingepewa nafasi ya kuishi tena hapo baadaye.
 
Swali kabla Mungu hajaumba chochote alijua dhambi itakwepo duniani?
 
Matendo ya mitume 24:16
Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe
 
Mungu ni mwenye haki atamuadhibu vipi kiumbe kingine kwa kosa alilotenda mwingine?
 
Wala sio kazi

Bali wewe unaipa uzito kuwa kazi kulingana na akili yako

Na kwetu hakuna kichaa anaeweza kutype vichaa wa kwetu wanashinda jalalani

Labda wa kwenu wapo juu
Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Hujathibitisha Mungu yupo.
Heshima kwako mkuu,upo vyema sana katika mambo mengi naheshimu sana uwezo wako.

Wakati mwingine naona watu wengi unaofanyanao mijadala hapa huwa wanashindwa kuelewa vitu rahisi unavyoelezea hapa mara kwa mara,jambo ambalo naliona ni kubwa hapa walio wengi ni wavivu wa usomaji vitabu achilia mbali vitabu vyao.

Kama wengi wao wangekuwa si wavivu sidhani kama ungepata taabu kuwaelesha mambo mengi mepesi.

Vipi kuhusu huyu bwana William Craig(kashafanya debates na sam harris & christopher hitchens n.k )mzee wa the ontological arguments & The kalam cosmological arguments wewe unamtazama vipi/au unamaoni gani kuhusu yeye..?
 
Matendo ya mitume 24:16
Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe
Acha kukariri "maandiko" usiyoelewa maana yake. Unaelewa maana ya neno "kuuawa"?
 
Heshima kwako mkuu,upo vyema sana katika mambo mengi naheshimu sana uwezo wako.

Wakati mwingine naona watu wengi unaofanyanao mijadala hapa huwa wanashindwa kuelewa vitu rahisi unavyoelezea hapa mara kwa mara,jambo ambalo naliona ni kubwa hapa walio wengi ni wavivu wa usomaji vitabu achilia mbali vitabu vyao.

Kama wengi wao wangekuwa si wavivu sidhani kama ungepata taabu kuwaelesha mambo mengi mepesi.

Vipi kuhusu huyu bwana William Craig(kashafanya debates na sam harris & christopher hitchens n.k )mzee wa the ontological arguments & The kalam cosmological arguments wewe unamtazama vipi/au unamaoni gani kuhusu yeye..?
Craig is an apologist for Old Testament genocide, I mean I know some self respecting churchmen who would like to tiptoe around that, using such abracadabra tricks as interpretation, perspective, historical context, you name it.

But Craig is unabashedly unashamed.

What kind of moral bankruptcy is that?

Dawkins wrote a scathing piece about that here

Why I refuse to debate with William Lane Craig | Richard Dawkins

Sasa hapa utabishana na mtu ambaye hamjui Dawkins wala Craig na kibaya zaidi hajui hata hoja zao.

Na wengine wengi hata Kiingereza cha kuweza kusoma hivyo vitabu unavyosema hawajui.

Halafu wanabishana katika mambo ambayo hayajaandikwa kakika vitabu vya Kiswahili!
 
Hujathibitisha Mungu yupo.
Wewe usioamini Mungu na wenye kuamini Mungu,kama mnajadili suala la uwepo wa Mungu nje ya kuwa ni jambo la imani basi hamtakuja kuelewana hapa.

Na wewe unatumia mwanya huo kusema hakuna Mungu na ndiyo maana hawawezi kuthibitisha kwa sababu umelitoa suala la uwepo wa Mungu kama jambo la imani.
 
Back
Top Bottom