Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wapi nimekwambia nataka unioneshe anapokaa Muumba?Kwaivyo unataka nikakuoneshe anakokaa Muumba
Na neno Muumba nalitumia kama msamiati wa kurejelea nguvu ya asili iliyotokeza vitu vyote
Na wala simaanishi labda ni Mtu kakaa anafinyanga udongo.
Utaratibu wa asili niliokuta katika sayari hii unaeleza picha kubwa ya maana yote
Mimi sijahusika katika kufanya lolote lile wala wazazi wangu hawakuwahi kudai kuhusika na chochote na wala watu wa pembeni kama wewe na wengine hakuna anaeweza kudai hilo, hata kwa wanangu siwezi kujinadi kwao juu ya hilo.
Ila tunajua kwa hakika kwamba tumetokana na vitu hivyo
'So being as human being we just say there is huge Human being sitting up there'.
Hiyo ndio njia rahisi ya kurejelea nguvu ya asili na watu kukuelewa kwa wepesi juu ya kile unachomaanisha.
Kwa iyo kama akili yako inashindwa kutengua pattern ndogo kama hii sikulaumu
Na mimi binafsi sichukulii maisha kama kitu serious sana kwangu ni kama game tu ya Tatu Mzuka
Unajua kusoma?