Je, inawezekana kila kitu ni mpango wa Mungu?

Mkuu umeambiwa hata Mungu akija akikwambia yeye ni Mungu bado utabisha.
Mnalazimisha Mungu ambaye hamuwezi kumthibitisha?

Atakuja lini nimvalie suti na Johnston and Murphy shoes tupige story nimuhoji maswali mazito?

Stop fronting.

Hamuwezi kuthibitisha huyo Mungu wenu wa hadithi yupo.

Kwa sababu hayupo!
 
Wewe ni kipofu hata ukionyeshwa Mungu bado huta weza kumwona.. ulizaliwa hujui chochote ukijikojolea na kuji.. wala hukuona haya, angalau Sahivi unaweza kujisimamamia mwenyewe basi imekuwa shida hatulali!!!
 
Kama mimi kweli ni kipofu hivyo, huo ni ushahidi kwamba huyo Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote, hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na vipofu kama mimi.
 
Kama mimi kweli ni kipofu hivyo, huo ni ushahidi kwamba huyo Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote, hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na vipofu kama mimi.
Kwasababu yeye ni muweza wa yote kaumba kipofu na anaeona, angeumba anaeona tu! Bado ungesema mbona kashindwa kuumba asiye ona. Wewe ni kipofu!!!
 
Kwasababu yeye ni muweza wa yote kaumba kipofu na anaeona, angeumba anaeona tu! Bado ungesema mbona kashindwa kuumba asiye ona. Wewe ni kipofu!!!
Hapana,

Angeumba anayeona tu angekuwa hana contradiction. Contradiction ingetokea wapi?

Huelewi hata hoja yangu,hoja yangu imejikita kwenye contradiction.

Ambayowewe huielewi.

Na kutoelewa kwako kunaonesha Mungu hayupo.

Angekuwepo, asingeumba kiumbe asiyeelewa kama wewe.
 
Yeye ameumba atakavyo, umeshindwa kujua asili yako Mungu utamjuaje?
 
Siwezi kumjua Mungu.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
Nathibitisha Mungu aliye kuumba wewe amekufanya kuwa kipofu, yale ambayo wengi wanayaona wewe huwezi kuyaona hadi utimie wakati wako wakuyaona.
 
Nathibitisha Mungu aliye kuumba wewe amekufanya kuwa kipofu, yale ambayo wengi wanayaona wewe huwezi kuyaona hadi utimie wakati wako wakuyaona.
Hujathibitisha. Unalazimisha tu.

Mungu angekuwepo, asingefanya yeyote kuwa kipofu.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Hii ni point ambayo watu wanatakiwa waijue, mimi huwa nawaza kuwa huenda hata mungu aliumba dunia na akaweka kanuni kisha akaenda zake
 
Laana yenyewe ni magumashi tu.

Thibitisha kwamba Mungu yupo, thibitisha laana ipo.
Laana ipo wewe jidanganye tu.

Na mimi siamini katika Mungu naamini katika Muumba

Mungu hata wewe unaweza kuwa_na ni imani yangu kuwa wenye kujifunza/au kujizoeza aina ile ya utaratibu wa kufikiri

Basi hupata zawadi hiyo Ufahamu mpana
 
Unaandika tu, hujathibitisha chochote unachoandika.
 
Unaandika tu, hujathibitisha chochote unachoandika.
Kwaivyo unataka nikakuoneshe anakokaa Muumba

Na neno Muumba nalitumia kama msamiati wa kurejelea nguvu ya asili iliyotokeza vitu vyote

Na wala simaanishi labda ni Mtu kakaa anafinyanga udongo.

Utaratibu wa asili niliokuta katika sayari hii unaeleza picha kubwa ya maana yote

Mimi sijahusika katika kufanya lolote lile wala wazazi wangu hawakuwahi kudai kuhusika na chochote na wala watu wa pembeni kama wewe na wengine hakuna anaeweza kudai hilo, hata kwa wanangu siwezi kujinadi kwao juu ya hilo.

Ila tunajua kwa hakika kwamba tumetokana na vitu hivyo

'So being as human being we just say there is huge Human being sitting up there_who made all this'.

Hiyo ndio njia rahisi ya kurejelea nguvu ya asili na watu kukuelewa kwa wepesi juu ya kile unachomaanisha.

Kwa iyo kama akili yako inashindwa kutengua pattern ndogo kama hii sikulaumu

Na mimi binafsi sichukulii maisha kama kitu serious sana kwangu ni kama game tu ya Tatu Mzuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…