Je, inawezekana kila kitu ni mpango wa Mungu?

Sawa.

1.Unaweza kuamini jambola uongo kuwa kweli.
2. Unaweza kuamini jambo la kweli kuwa kweli
3. Unaweza kuamini jambo la kweli kuwa uongo
4. Unaweza kuamini jambo la uongo kuwa uongo.

1. Hata ukikosa uthibitisho, kukosa uthibitisho hakufanyi jambo la kweli kuwa la uongo
2. Hata ukikosa uthibitisho, kukosa uthibitisho hakufanyi jambo la uongo kuwa kweli

Sasa kamaunataka kujua unaloaminini kweli au uongo utafanyaje?

1. Bila uthibitisho huwezi kujua lolote kwa hakika, hata kama unachoamini ni kweli, bila uthibitisho hutajua hilo, utaamini tu.
2. Ukikosa uthibitisho, hilo halithibitishi kwamba unachoamini ni kweli au si kweli, inawezekana si kweli ndiyo maana hujapata uthibitisho, inawezekana ni kweli, ila wewe umeshindwa kupata uthibitisho tu.

Sasa,utajuaje kwamba umekosa uthibitishokwa sababu unachotaka kuthibitisha si kweli na hivyohakina uthibitisho, au nikweli na umekosa uthibitisho tu? Bila uthibitisho huwezi kujua tofauti ya haya mawili.

Na hapo ndipoumuhimu w authibitisho unapokuja.

Uthibitisho una umuhimu gani?

Uthibitisho una umuhimu wa kutunyambulishia hususan pale ambapo hatujui kwamba tumekosa uthibitisho kwa sababu uthibitisho haupo na imani ytu ni potofu au kwa sababu upo na tumeshindwa kuupata tu.

Ndiyo maana nakutakaunipe uthibitisho.

Ukishindwa kuthibitisha,hata wewe mwenyewe unabaki huna hakikakama umeshindwa kuthibitisha kwa sababu unaamini uongona hakuna uthibitisho, au umeshindwakuthibitisha kwa sababu ya mapungufu yako tu na uthibitisho upo.

Thibitisha, usilazimishe.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Sorry mi sio mtaalamu wa sayansi naomba kwa Lugha rahisi uthibitishe kwamba kuna hewa. Make naona kwako neno thibitisha ndo lina utata au pengine nalielewa tofauti na wewe unavyolijua.
-Mtu anayetabiri na ikatimia kwa uelewa wako na sayansi yako imeekaaje kujua yajayo kabla ya wakati wake.Nguvu hii inatoka wapi ya kutabiri.
-Kipofu,kiziwi,bubu au kiwete wanapopona na kuwa kinyumechake baada ya maombi kwa Mungu je huwa ni nguvu ya nan?
-Usiwe mbishi watu tumeshuhudia vipofu wakiona na viwete wakitembea kwa maombi sasa sijui unataka nithitisheje zaidi.
 
Ndiyo maana imani hailazimishwi,unaweza kuamua kuamini au usiamini.

Kwa hivyo suala la kwamba je Mungu kweli yupo kama tunavyoamini au hayupo tunaamini jambo si la kweli?

Naweza kujibu kuwa itakuja kudhihirika kama ilivyo dhihirika kwa imani ya Einstein.

Hivyo sitegemei tena wewe kulazimisha upewe uthibitisho.
 
Ngoja nikwambie mkuu binadamu tuna pande mbili za kuchagua eitha kwa kwa MUNGU au kwa shetani ndicho ninachokijua mimi.
Ukichagua kwa MUNGU basi MUNGU atakutumia ipasavyo ili lengo lake litimie.
Ukichagua kwa shetani maana yake umeasi na mwisho wako utakua wa mahangaiko tuu kama shetani anavyotanga tanga.

Uzuri mmoja ni kwamba MUNGU ni wa haki hivyo kampa wanadamu achague lile alipendalo. Wapo watu wa MUNGU waliokuja kukengeuka baada ila mwishowe ulikua mbaya sana au waliadhibiwa kwanza ndipo wakasamehewa. Wapo watu kama mfalme suleiman, mfalme daudi, adamu na hawa n.k

Kwa hiyo kwa mujibu wa hizo njia mbili hapo tiyari MUNGU anajua utakua mtu wa aina gani kulingana na njia ulioamua kuifata.

NB:Njia ya shetani ni ya uovu tuu wala usitegemee lolote jema zaidi ya kuingizwa kingi kwa starehe za muda mfupi na mwishowe kilio cha milele. Nasema hivi kwa sababu shetani nae anaishi kiujanja hapa duniani tuu kwa sababu yupo kwenye adhabu hivyo lazima awaingize kingi wale wajinga waliopotoka ili apate kuishi.
 
Mungu anasema alitujua tangu kuumbwa kwetu, tangu matumboni mwa mama zetu nafikiri tunapopata matatizo/au tunapojaribiwa na shetani ni mpango wa Mungu kumruhusu shetani atupe hayo majaribu ili aone tutatokaje humo? tutayashinda au tutaanguka? ndio maana hata Yesu alijaribiwa. Anasema kila jaribu lina mlango wa kutokea so unapopata jaribu inabidi utafute mlango wa kutokea humo na si kulalamika. Haluluyah
 
Na pia lengo la majaribu ni kukupima kuona je ni kweli unamsadiki?
Iwapo utayashinda majaribu basi wafaa kuwa mwana wa MUNGU.
 
hahahaa...” Mungu muweza wa yote " Mwenye mapenzi kwa wote "" huku akaruhusu "" Livingston awauwe wahindi wekundu " na kujimilikisha ardhi yao "" ....Mungu huyo " huyo mnaye msema ana mapenzi " kwa wote " hakuwa ameyaona hayo "!?
 
ha haha hahaa
 
haha hahha aiseee ...kuna watu wanavichwa vigumu sana ""... mkuu huwa unatirilika vyema mnooo"".. ajabu ni kwamba "" maswali ambayo huwa unaulizwa Humu ""ulishawahi kuyapatia majibu yake mara 8000" lakini hawakomi bado wanarudia kuuliza tu "" ilhali majibu Yke " walishapatiwaga""...
 
Ha haha haha Aiseee...
 
Adamu maana yake ni damu yaani kwa kifupi mwana wa damu watu wote ni wana wadamu sababu damu ndiyo uhai wetu, labda wewe useme hutumia damu, kwahiyo huwezi kukwepa kutokuitwa binadamu.
mjue mnajitahidi sana " kushindana na kiranga kwa hoja "" lakini sisi wafuatiliaji tunaona wazi kuwa amewaacha mbali mnooo" kutokana na hoja Zake anazozijenga na anavyo jitetea""... hapo umeoungea chanzo cha Adamu kuitwa Adamu ni kwa sababu ana damu "" kwa hiyo MBUZI NAE " NI BINAADAMU "". ""KUNGURU " SIMBA .MAMBA " NA WANYAMA WOTE. WENYE DAMU NI BINAADAMU "....!?mbona huwa mnahoja dhaifu Hivi ambazo huwa zinamfanya kiranga achukue ushindi wa mezani mapema mnooo""...
 
HA haha haha"" ..Mungu Mwenye upendo kwa wote huyo ""...!!!!!
 
Sawa mkuu nimekwelewa vizuri sana, swali kabla sijatenda dhambi Mungu anajua nitatenda dhambi?
hahahaa maswali yako "" huwa yananifanya nijiulize maswali " haswaa "" imani yako ni ipi mkuu"" ...maana naona kama unakubali kuwa mungu yupo lakini unakinzana na maandiko kuhusu utendaji wke ""...
 
Mungu atampimaje mtu wakati yeye Mungu ni muweza wa kujua kitakachotokea mbele. Au sifa ya kujua ya sasa na ya badae Mungu hana? Kama anayo basi atapimaje mtu wakati jibu analijua?
Yaani "" kuna watu wanashindwa hata kujiuliza maswali madogo kama haya ""...
 
Kwa nini Bwana Mungu na si Bibi Mungu?

Huoni Bwana Mungu ni mfumodume wa watu tu wamejipangia?
hahaha siwanasemaga kwamba mungu hana jinsia Hawa ".. !?? sasa hiyo bwana imetoka wapi tena ""!?
 
duuuuhhh"" hahahaaa "" uwongo mwingine bwana ""... eti kageuzwa ng'ombe "" .... mbona kule sumbawanga kuna story za watu kibao kujigeuza simba"",, je unawazungumziaje na hao "" watakuwa na nasaba ya u mungu ""!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…