Imani unaruhusiwa kuamini chochote.Wewe huna hoja,mijadala hii itaendelea kuwepo tu maadamu kitu chenyewe ni kitu ambacho kinahitaji imani ya mtu kukikubali. Yani jambo la imani halafu wewe unasema et kila mtu angemjua bila utata!!!
Wewe unaongea vitu ambavyo havina hata mantiki.
Is the second law of thermodynamics supernatural or natural?Something that is above and can control nature
supernatural being - an incorporeal being believed to have powers to affect the course of human events
Its natural because it only affects nature...Is the second law of thermodynamics supernatural or natural?
It controls most of nature,it makes water flow downhill and makes time flow from the past to the future.
Ni kutokuwapokwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, angekuwepo angeyazuia yasiwepo.Hayo mabaya asili yake ni wapi ?
Give me an example of something that is supernatural. And a solid proof that it exists, not pure fantasy.Its natural because it only affects nature...
Wewe huna hoja,kifo na sababu za kifo ni vitu viwili hivyo. Kifo sio udhaifu kwamba ukiona mtu kaumwa akafa au kapata ajari na kufa ukadhani kuwa suala la kifo lipo kwa kuwa kuna vitu kama hivyo,kwa maana hiyo visingekuwepo hivyo vitu na kifo kisingekuwepo.Kifo hicho inathibitisha Mungu hayupo, hakithibitishi Mungu yupo.
Aangekuwepo Mungu muweza yote, mweye ujuzi wote na upendo wote, kungekuwa hakuna kifo popote kwa yeyote.
Wewe baba yako yupo?Hakuna ushahidi kwamba Adam alikuwapo na Mungu yupo.
Kwanza kabisa, kabla ya kusema Adam hivi au vile, anza kuthoibitisha Mungu yupo na Adam alikuwapo
Jaribu kusoma na kuelewa,haya nukuu niliposema hivyo.Ukishasema kuna "Muumba" tu ushatoa dhana, unaelewa hilo?
Sio ulaya tu mkuu mimi Niko south Africa miezi m4 sasa,sijanywa flagyl ,ampiclox wala antibiotics yoyote ile.Nikiwa Tanzania natumia dawa sana kwa maradhi ya mara kwa mara, nadhani naweza maliza mwaka bila kuumwa kikohozi kikali.Mazingira kama haya naweza ishi maisha marefu kuliko bongo kama sitapata ajali au kua victim wa uhalifu.Environment siku zote ndiyo ina determine life span ya mwanadam.Pamoja Mkuu...
Mazingira (Evironmental factors) zina determine life span yetu pia
Mazingira ya Afrika huwezi yalinganisha na ya US ama UK ndo maana magonjwa yanatuandama
Factors nyingine kama _Spiritual factors, Intellectual factors, Socio-cultural factors na nyingine zina-determine mortality yetu na well-being
I believe in natural established principles and thus the firts and second law of thermodynamic and others are just among the many discovered laws that pertains to natureGive me an example of something that is supernatural. And a solid proof that it exists, not pure fantasy.
Kwa hiyohukubalikwamba kuna "Muumba" ?Jaribu kusoma na kuelewa,haya nukuu niliposema hivyo.
Asante sana kwa Mfano MkuuSio ulaya tu mkuu mimi Niko south Africa miezi m4 sasa,sijanywa flagyl ,ampiclox wala antibiotics yoyote ile.Nikiwa Tanzania natumia dawa sana kwa maradhi ya mara kwa mara, nadhani naweza maliza mwaka bila kuumwa kikohozi kikali.Mazingira kama haya naweza ishi maisha marefu kuliko bongo kama sitapata ajali au kua victim wa uhalifu.Environment siku zote ndiyo ina determine life span ya mwanadam.
If you believe that your piece of shit is God, does that make your piece of shit God?I believe in natural established principles and thus the firts and second law of thermodynamic and others are just among the many discovered laws that pertains to nature
Coming back to Supernatural beings,... here we are shifting to spiritual thinkin...and without faith in Existence of Supernatural we are going to argue to the moon and back
Let me give you an example the Buddhist and several other Monks mainly in Asia have developed an Innate Healing ability through meditation( This does not come just from mere physics laws but also faith-based abilities)
If you don't believe in the existence of supernatural it doesn't mean it does not exist...
Kama hakuna Mungu hayo mabaya yapo kwa sababu gani na yenyewe yanapata faida gani?Ni kutokuwapokwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, angekuwepo angeyazuia yasiwepo.
Suala hapa ni kutofautisha kati ya mtazamo na uthibitisho.Kama ungekuwa mtazamowenye walakini, ungeweza kuonesha walakini wake uko wapi.
Umeshindwa kuonesha walakini wake uko wapi, kwa sababu si tu ni mtazamo, bali pia ni mtazamo sahihi.
Kamawewe ni mwanamme, nikisemawewe ni mwanamme, huo ni mtazamo wangu pia.
Lakini zaidi ya kuwa mtazamo tu, nimtazamo sahihi.
Ssa miminakwambia wewe mwanamme, unasema huo mtazamo wako tu. Unaishia hapo.
Badala ya kunidhihirishia kwamba mtazamo wangu si sahihi na wewe si mwanamme!
Suala hapa ni kutofautisha kati ya mtazamo na uthibitisho.Kama ungekuwa mtazamowenye walakini, ungeweza kuonesha walakini wake uko wapi.
Umeshindwa kuonesha walakini wake uko wapi, kwa sababu si tu ni mtazamo, bali pia ni mtazamo sahihi.
Kamawewe ni mwanamme, nikisemawewe ni mwanamme, huo ni mtazamo wangu pia.
Lakini zaidi ya kuwa mtazamo tu, nimtazamo sahihi.
Ssa miminakwambia wewe mwanamme, unasema huo mtazamo wako tu. Unaishia hapo.
Badala ya kunidhihirishia kwamba mtazamo wangu si sahihi na wewe si mwanamme!
Mabaya yapokwa sababu hakuna Mungu wa kuyazuia.Kama hakuna Mungu hayo mabaya yapo kwa sababu gani na yenyewe yanapata faida gani?
Then Don't question any faith because its lacks natural evidenceIf you believe that your piece of shit is God, does that make your piece of shit God?
Wewe unajionesha kuwa umedandia jambo usilolijua,nakwambia hivi suala la kwamba kuna Mungu ni imani.Imani unaruhusiwa kuamini chochote.
Sijabishia imani.Nitatetea haki yako ya kuamini, hata kama sikubaliani na imani yako.
Hapa naongelea fact.
Katika fact, Mungu huwezi kuthibitisha kwamba yupo.
Kwa sababu hayupo.
Muumba yupo nakubali.Kwa hiyohukubalikwamba kuna "Muumba" ?