Je, inawezekana kila kitu ni mpango wa Mungu?

Je, inawezekana kila kitu ni mpango wa Mungu?

Binadamu yumepewa freewill.
Tuna maamuzi ya ya kuchagua jema au baya..hivyo ni juu yako
unaweza kumzuia "" mwanao asikue "".. kama nikweli tumepewa free will "".inakuwaje " ushindwe " kufanya jambo kama hilo "". ??
 
Njia ya shetani ni ya uovu tuu wala usitegemee lolote jema zaidi ya kuingizwa kingi kwa starehe za muda mfupi na mwishowe kilio cha milele. Nasema hivi kwa sababu shetani nae anaishi kiujanja hapa duniani tuu kwa sababu yupo kwenye adhabu hivyo lazima awaingize kingi wale wajinga waliopotoka ili apate kuishi.
Shetani aliumbwa na nani?
 
Kwa sababu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote wa kuwawezesha hayupo.

Angekuwapo, kwa upendo wake wote, kwa ujuzi wake wote na kwa uwezo wake wote, bila shaka angewawezesha.

Au unataka kusema Mungu huyo mchoyo? Mungu wako mwingi wa rehema ni Mungu wa kubania bania vitu ambavyo yeye hata havim cost kitu na sisi vitatufaidisha sana?

Kwa nini katunyima dawa ya kansa miaka yote hii watu wanakufa vibaya vibaya?
hahaha hahaa ..Huyo mungu wanaye muhubiri " na matendo wanayotaja kuwa anayo "" na jinsi maisha tunayoyaishi " ni vitu viwili tofauti "."..
 
Mungu anasema alitujua tangu kuumbwa kwetu, tangu matumboni mwa mama zetu nafikiri tunapopata matatizo/au tunapojaribiwa na shetani ni mpango wa Mungu kumruhusu shetani atupe hayo majaribu ili aone tutatokaje humo? tutayashinda au tutaanguka? ndio maana hata Yesu alijaribiwa. Anasema kila jaribu lina mlango wa kutokea so unapopata jaribu inabidi utafute mlango wa kutokea humo na si kulalamika. Haluluyah
Amen! Kwahiyo kila kitu ni mpango wa Mungu?
 
Kwasababu yeye ni muweza wa yote kaumba kipofu na anaeona, angeumba anaeona tu! Bado ungesema mbona kashindwa kuumba asiye ona. Wewe ni kipofu!!!
sasa mantiki ya upendo wake kwa wote hapo iko wapi "". inakuwaje umpatie mtu upofu halafu umpatie MTU mwingine uzima wa macho "" kisha uanze kuwaambia wote kuwa unapendo nao "".. hii Ina make sense kweli ""??
 
Mungu anasema alitujua tangu kuumbwa kwetu, tangu matumboni mwa mama zetu nafikiri tunapopata matatizo/au tunapojaribiwa na shetani ni mpango wa Mungu kumruhusu shetani atupe hayo majaribu ili aone tutatokaje humo? tutayashinda au tutaanguka? ndio maana hata Yesu alijaribiwa. Anasema kila jaribu lina mlango wa kutokea so unapopata jaribu inabidi utafute mlango wa kutokea humo na si kulalamika. Haluluyah
Amen! Kwahiyo kila kitu ni mpango wa Mungu?
 
Unapozungumzia kuhusu wokovu hilo ni tukio la baadae. Tunazungumzia watoto wanaokufa au wanaoteseka kwa maradhi hapa duniani bila kuwa na hatia yoyote. Kama anasababu ya kuwapa uwokovu ilikuwa haina haja ya kuwaleta hapa duniani. Maana Mungu si mwenye haki na asiye na upendeleo?
mkuu mbona unatoweka toweka ...unahoja nzuri sana aisee...
 
Matendo ya mitume 24:16
Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe
ha haha haha
 
Mungu mwenye haki atawatesaje watoto wasio na hatia kwasababu tu ya dhambi za wazazi wao?
Huyo hana majibu"" ataishia kuhubiri tu " maandiko ambayo amekarilishwa "" huko kwenye imani zao"..
 
mjue mnajitahidi sana " kushindana na kiranga kwa hoja "" lakini sisi wafuatiliaji tunaona wazi kuwa amewaacha mbali mnooo" kutokana na hoja Zake anazozijenga na anavyo jitetea""... hapo umeoungea chanzo cha Adamu kuitwa Adamu ni kwa sababu ana damu "" kwa hiyo MBUZI NAE " NI BINAADAMU "". ""KUNGURU " SIMBA .MAMBA " NA WANYAMA WOTE. WENYE DAMU NI BINAADAMU "....!?mbona huwa mnahoja dhaifu Hivi ambazo huwa zinamfanya kiranga achukue ushindi wa mezani mapema mnooo""...
Sisi tumetoka kwa mtu mmoja aitwae Adam, ndiyo maana tunaitwa bin Adam kama mbuzi katoka kwa adam basi nae atakuwa binadam.
 
Mwenyezi MUNGU ni Mwenye nguvu na mwenye hekima na ni mjuzi na muweza juu ya kila kitu
muweza wa kila kitu ...lakini hapo hapo anaacha matetemeko yawe yanaishambulia Japan kila nyakati"... bila kuwa na huruma na watu wanaoishi "" ktika nchi " maana Luna vichanga na wazee "" lakino yeye wala hajali ""kwa huu mfano niliokupa ...je ""!? Waweza kuwa na imani na hayo uliyoyanena"",,,
 
Sisi tumetoka kwa mtu mmoja aitwae Adam, ndiyo maana tunaitwa bin Adam kama mbuzi katoka kwa adam basi nae atakuwa binadam.
achana na hizo bias ndugu " hahaha... kwahiyo chanzo cha wanyama wengine nacho ni kipi ""!? ni udongo kama mnavyoambiwa " maana zaidi ya tofauti ya akili baina yao na Yetu "" hakuna kingine ambacho kinachotutofautisha...hahaha.

hoja yako ya awali ni dhaifu " kwa sababu ulisema kuwa sababu ya binaadamu kuitwa binaadamu ni Adamu "" na nikwakuwa Adamu mwili wake una damu " "ndio maana akaitwa adamu "" ndio maaana na mimi nikakuuliza vipi kuhusu " mbuzi na wanyama wengine nao ni binaadamu maana na wao wanadamu pia..
 
hahahaa maswali yako "" huwa yananifanya nijiulize maswali " haswaa "" imani yako ni ipi mkuu"" ...maana naona kama unakubali kuwa mungu yupo lakini unakinzana na maandiko kuhusu utendaji wke ""...
Mungu yupo tena kajaa tele! Mimi nacho taka kujua je kilakitu ni mpango wa Mungu? Na hili swali ni kwa wale wote wanao amini Mungu yupo.
 
Mungu yupo tena kajaa tele! Mimi nacho taka kujua je kilakitu ni mpango wa Mungu? Na hili swali ni kwa wale wote wanao amini Mungu yupo.
nimefuatilia hili bandiko na hoja zote " lakini sijaona mahali " ambapo umemthibitishia Kiranga kuhusu uwepo wa mungu "" zaidi ya kuongea tu "" kitu ambacho hata mimi naweza kukifanya "" ...naweza kutamka kuwa nina mahusiano ya kimapenzi na Beyonce "" lakini maneno yangu hayawezi kufanya hilo kuwa kweli "",...mthibitishie Kiranga kuwa mungu yupo tafadahali ""...
 
i alwayz wonder , ikiwa mungu alinileta duniani halafu anataka nirudi tena huko heaven, sasa alinileta huku ili iweje, c angetuacha tuu huko peponi, mh something is wrong somewhere
haha haha watu tunadanganyana mnooo chief
 
Ikiwa marekani wanaasilimia chache sana ya vifo vya watoto wanaokufa chini ya miaka mitano kulinganisha na Tanzania hivyo basi kwa maana yako ni kwamba Tanzania ina uzao wa dhambi zaidi kuliko marekani?
ha hahahaaa
 
sasa mantiki ya upendo wake kwa wote hapo iko wapi "". inakuwaje umpatie mtu upofu halafu umpatie MTU mwingine uzima wa macho "" kisha uanze kuwaambia wote kuwa unapendo nao "".. hii Ina make sense kweli ""??
Mkuu ulitaka Mungu aumbe vipi?
 
Back
Top Bottom