Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Kama hajanioa haiwezekani, ataachwa tu hakuna namna. Kama ni mume na amepata hilo tatizo ndani ya ndoa atavumiliwa...ila atagongewa akae akijua hilo.
Jaman,kumbe na wew Ni mkorofi kias hik ?? Kidole na ulimi chumvin havitosh mkuu ??
 
Kumbuka wanawake wengi ckuiz wapo kwenye mahusiano kimaslahi, kwa hiyo unaweza ukawa na tatizo la nguvu za kiume ila Kuna vitu vingine vingine anafaidika navyo kutoka kwako especially pesa zako.
Ila huyo lazima atatafuta mchepuko atakayekuwa abampelekea Moto kila anapohitaji.

Nasiztiza kwamba mwanaume ukiwa na tatizo la nguvu za kiume lazima utachapiwa tu.
 
Back
Top Bottom