Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hajanioa haiwezekani, ataachwa tu hakuna namna. Kama ni mume na amepata hilo tatizo ndani ya ndoa atavumiliwa...ila atagongewa akae akijua hilo.
Si imeulizwa kuhusu nguvu za kiume? Yaani kushindwa kusimamisha na kufanya tendo? Au sijaelewa?Binafsi niliwahi kuwa na wanawake.(mademu)wengi tu
Wengi waowalikuwa wanalalamika sana pindi tunaposhiriki Zinaa, Walikuwa wanasema Ninawaumiza kwa kuwapelekea moto mkali sana.
Wanawake hawaeleweki kaka.
Ukipeleka moto wanalalama usipo wakojolesha WANALIWA.
WASIKUUMIZE KICHWA
🤣🤣🤣 daaah kwa hiyo wana watamsaidia kukuchakata 🙌Kama ni mume na amepata hilo tatizo ndani ya ndoa atavumiliwa...ila atagongewa akae akijua hilo.
Sasa kwanini msipambane kupata tiba, kuliko kumuacha.Kama hajanioa haiwezekani, ataachwa tu hakuna namna. Kama ni mume na amepata hilo tatizo ndani ya ndoa atavumiliwa...ila atagongewa akae akijua hilo.
Wewe mkeo akishindwa kukutimizia tendo la ndoa kwasababu ya matatizo ya kiafya utavumilia usiende kwa mwingine?🤣🤣🤣 daaah kwa hiyo wana watamsaidia kukuchakata 🙌
Tiba nitapambana kwa mume, sio kwa mpenzi...unaweza pambana na ukaachwa vile vile, apambane mwenyewe.Sasa kwanini msipambane kupata tiba, kuliko kumuacha.
Maana huo nao ni ugonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hautamsaliti ili mradi anakupa mihela?Siyo kwa upendo Bali kwa nguvu ya pesa
Mapema sana natafuta michepukoWewe mkeo akishindwa kukutimizia tendo la ndoa kwasababu ya matatizo ya kiafya utavumilia usiende kwa mwingine?
Halafu unajipoza kwa houseboy au Sio!!?Unavumilika tu ila pesa uwe nayo....ndivyo nijuavyo
Wewe mwanamke wa shoka. Kwa hiyo hautamsaliti hata kidogo?Hakuna ugumu hapo....kwangu mimi naweza
Od
Halafu unajipoza kwa houseboy au Sio!!?
We si unataka mke,unataka familia ? Nitakuhudumia ila sikumoja moja lazima nikunwe njeOd
Halafu unajipoza kwa houseboy au Sio!!?
Mara moja moja si mbayaKwa hiyo hautamsaliti ili mradi anakupa mihela?
Atafuga vipaka vidogo vidogo huyo!!?Wewe mwanamke wa shoka. Kwa hiyo hautamsaliti hata kidogo?
😀😀😀 mara moja moja unaenda kupelekewa moto na mashababi sioMara moja moja si mbaya