Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Binafsi niliwahi kuwa na wanawake.(mademu)wengi tu

Wengi waowalikuwa wanalalamika sana pindi tunaposhiriki Zinaa, Walikuwa wanasema Ninawaumiza kwa kuwapelekea moto mkali sana.

Wanawake hawaeleweki kaka.
Ukipeleka moto wanalalama usipo wakojolesha WANALIWA.

WASIKUUMIZE KICHWA
Si imeulizwa kuhusu nguvu za kiume? Yaani kushindwa kusimamisha na kufanya tendo? Au sijaelewa?
 
Sasa kwanini msipambane kupata tiba, kuliko kumuacha.

Maana huo nao ni ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tiba nitapambana kwa mume, sio kwa mpenzi...unaweza pambana na ukaachwa vile vile, apambane mwenyewe.
Naweza kumsaidia kwa kumtia moyo lakini hakutakuwa na guarantee kuwa sitamove on kwa mwingine.
Akipona haraka, basi itakuwa vzr zaidi
 
Back
Top Bottom